Inasemekana ana akili sana baloz just FYI na serikal inampenda sana maana ana akili sana Sema mambo mengine ni siri ila kiukweli mwache ampe za uso kijana wake. Hivi ujiuliz why huyu tu ndio anaisimanga serikal while ananyonya ziwa la ccm?Kazi kwelikweli naona baba mdogo kaingilia kati wakati baba mzazi yuko kimya....