Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,994
Reaction score
5,233
Mh Karume amejitaidi kuongea na mwanae kwa njia ya kiugwana na kumwambia akuna jambo linapendeza kama kuwa heshimu viongozi. Akaenda mbali zaidi nakuelezea elimu alio nayo haina viwango chakumpa uwezo kumshauri Rais.

Mh Karume akasema mara nyingi anamshauri mwanae kuwa siku hizi watu wamesoma na kuthibitisha akasema arudi shule UK asome ile elimu ya juu zaidi alafu afanye kazi kule then akirudi ndipo atakuwa amefikia mahali pakushauri.

Pia anasema sikuhiz watu wamesoma na mwanae anapaswa kujuwa hilo.

Namsifu sana Baloz Karume kasema ukweli japo kwa sisi tunamjuwa hatushangai kuwa amekuwa msitar wa mbele kumkanya mwane mara nyingi sana na kwa hili tunampongeza nimfano wa wazazi wanasema kweli na ndivyo inapaswa tuwe.
Hongera Baloz Karume



Msikilize hapa..
 

Attachments

Kazi kwelikweli naona baba mdogo kaingilia kati wakati baba mzazi yuko kimya....
Kamuadabisha kweli kweli. Kimsingi yule binti kakosa adabu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijasikiliza alichokisema, ila kama ni Karume huyu aliefukuzwa Barclays hawezi kuwa na moral authority ya kumwambia lolote auntie. Love or hate her Fatma knows what she is standing for.
 
Nami nasema "jiwe kaa upande" in shangazi's voice
 
Back
Top Bottom