Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Nilishasema na nilitaka kuandika uzi kuhusu yeye ila nikaona kama nitampa kick.

Fatuma anabebwa na jina kubwa la familia yao lakini upstairs hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi ni classic hoja fulani hivi mufilisi!

Fatuma hakuchagua kuzaliwa na rais wa Zanzibar!Amejikuta!

Wewe hukuchagua kuzaliwa mavumbini huko madongo kuinama!Umejikuta!

Ni ukichaa fresh kiwango cha lami mtu kuwahukumu kwa vitu ambavyo hamkua na uwezo navyo!

Sasa wewe ndio unachofanya hapa!

Hoja sahihi ni kwamba,jee ni kweli unampita Fatuma akili kama unavyojidai hapa?

Tuamini kwa wewe kutoa tu sentensi hapa isiyokua na udhibitisho wowote tuone?Tukuamini wewe nani?

Fatuma anatoa hoja na misimamo yake mbalimbali kuhusu mambo mbalimbali,shida mnashindwa kupambana nae kwenye hoja huko mnakuja kumsema kwa vitu personal!

Vingi mnaonesha wivu wa kipumbavu,eti "kwavile kazaliwa familia jina kubwa",sasa yeye alipenda au alichagua?

Yaani hapa humo CCM kuna mambuzi mengi sana!
 
ndio maana nchi bado ipo changa kiuchumi na haya yote ni kutokana na akili mgando za hawa wazee.....

NB..sio kila mzee ana busara wengine ni msala
 
Halafu nae ana ndoto za kukwaa URAIS wa GOT au ZM dah inashangaza dingi halisi anashangaa tu vibwengo vya mwanae
 
Kwani Fatuma anahoja gani za msingi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Hizo hoja ambazo kwa upeo wako binafsi unaona sio hoja zitaje hapa na useme sio hoja kwasababu ipi na ipi!

Usituletee general sentence tu "Eti ana hoja gani ya msingi"....

Taja wewe hizo hoja chambua moja baada ya ingine tukuone!

We are waiting........still waiting......
 
Hizo hoja ambazo kwa upeo wako binafsi unaona sio hoja zitaje hapa na useme sio hoja kwasababu ipi na ipi!

Usituletee general sentence tu "Eti ana hoja gani ya msingi"....

Taja wewe hizo hoja chambua moja baada ya ingine tukuone!

We are waiting........still waiting......
Moja ni ile ya Mukulu kujua kiingilishi.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Moja ni ile ya Mukulu kujua kiingilishi.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Sasa huyo "Mukulu" wako ni kweli anajua English?

Wewe kwa uelewa wako,na umesoma toka Primary School,umepita Secondary School,na ukimsikia unaona kabisa ana Kiingereza sahihi?

Na hiyo ni hoja mufulisi kwa misingi ipi hasa kutokana na upeo wako?

Tuambie,weaknesses zinatokea wapi kwenye hiyo point yake!

Still waiting.......
 
Usichanganye mila za wazungu na za Kiafrika.
Wazungu hawana mjomba na baba mdogo. Wote ni uncle. Fatma ni mwanaye sio mpwae.
Mkuu mods ndio wamebadilisha kichwa cha habari baada ya kuunganisha mada hii na nyingine. Uelewa wangu wa lugha ya kiswahili ni mkubwa sana.
 
Kesi ipi ya Kutetea wanyonge Fatuma amewahi shinda?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hata kama si kwa mfano wa chenge. Ameshirikiana na mabeberu weupe na weusi wa CCM kuangamiza taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi hajataja jina la MTU kwenye hiyo clip,
Hakuna sehemu aliposema Fatuma Karume

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hiyo clip,Barozi karume alikuwa anatoka hotuba kwa wanafunzi,mwaka 2016,tena January,Maghufuri kaingia November 2015,
January 2016,hata Tundu lisu bado hajatangwa risasi,Mbowe hajafungwa jera,bombadia hazijanunuliwa,Low society of Tanganyika bado hawajanyimwa ruhusa ya kufika ikulu,
Hata huyo shangazi yenu,bado hajajua kama kuna siku atamtukana Raisi,sasa iweje Baba yake mdogo amkanye kwa kitu ambacho hajafanya,?
Hizi clip za kutengeneza,perekeni Facebook,ndio maana Mzee baba,aliomba maraika washuke waifunge mitandao
IMG_20190202_185846_127.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fatume Karume ndio mashujaa wa Taifa hili.Alitaka awe kama wale kina Kabati,mhagama,kairuki na waongea upupu wengine.
Kuna watu ukiongelea suala la wakubwa kuvunja sheria kwao ni kuwatukana wakubwa.
Huyo balozi karume hata elimu yake kama ninkubwa basi haimsaidii maana bado yupo gizani na hekima yake ya kumuanya bintiye imekuwa sifuri.
"Wanaojiona wana hekima hushushwa na kutegwa na hekima zao wenyewe."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muktadha huo naomba utusaidie kufahamu mheshimiwa Balozi alikuwa akimlenga nani?
Hotuba hiyo ilitolewa 2016,January Maghufuri kaingia madarakani November 2015. January 2106,choko choko za kubana demokrasia zilikuwa hazijaanza,wasio jurikana hawakuwepo,wala Fatuma Karume(ambaye wengi wanadhani ndie mlengwa)hakuwa Raisi wa TLC,
Sikumbuki aliyekuwa anaongelewa,lakini sio Shangazi,hapa ni propaganda tu,clip imeunganishwa,unganishwa,hata ubora wake,unaonyesha ni ya zamani,
IMG_20190202_185846_127.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom