Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Ukisikiliza baba ake anavyomchambua nafikiri hutamkweza huyo fatuma hata kdg.Angekua intelligent angesoma vyuo vyenye heshima huko aliko pelekwa. Cambridge na Oxford alichemka. Ndio maana father anahoji huu ujuaji mwingi unatoka wapi?Na ni kweli kabisa, Yaani Fatuma mjuaji kuliko hata Chenge wa Harvard university hahahahahahah.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hiyo sio issue ya kitoto. Kuna kitu kinaitwa Tanganyika Law society...lawyers..advocates ndio member. Unataka kutuambia walimuona Shangazi ni kilaza mvuta unga wakampa the highest post of their society? Kwamba nao wamesoma kivulini university kwahiyo wakaona wachague kiongozi wao ambae sio?

Chengee is a thief... has never done this country any good. Go down the history, this guy a a crooked son of evil.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemkumbuka marehemu Bi Kidude, angalitoka na single nyingine. Ila ndio hivyo udongo umemeza wengi huu.

Huyu shangazi ajue kuwa uko wajibu wa heshima ya familia yao anao ubeba, asipayuke payuke ovyo kama chokoraa wa kisiasa wengine wanaotafuta umaarufu wa kisiasa. Yeye umaarufu wa kisiasa ulishawekwa na Babu na Baba.
 
Hapo ndio utaelewa kwanini hata kwenye vyuo bora alikopelekwa na wazazi wake alichemka. Tatizo Tanzania ukiongea Kiingilishi kidogo tu na kutupa tuvifungu tuwili twa sheria hata kama hatuendani na Hoja iliyopo LAZIMA WAKUITE MSOMI. Mimi sijasoma sheria lkn huwa nikimsikiliza huyu Fatuma huwa naona kabisa HUMO KICHWANI KWAKE NI MWEUPE KABISA, sio sheria wala logical Arguments.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Illogical argument, sheria sio sociology...hakuna pamparampa. Niamvie ikawaje her learned sisters and brothers wakamuona anafaa kuwaongiza?

Your personal opinion ambayo ipo based on your ego is flawed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote waliosoma Ivy League ,Cambridge / Oxford universities ni mabingwa wa taaluma waliosomea kwani wengi wao husajiliwa kwenye hivyo vyuo kutokana na sifa za familia zao pamoja na ukwasi/umaarufu wa familia husika!! Ni watoto wa masikini wachache sana husoma kwenye vyuo hivyo hata wakiwa na akili kama mchwa!!
 
Yeye tabia ya kushinda pubs kila siku mpaka saa nane za usiku tuite vipi? Vile vile kusema kama hatochaguliwa kugombea uraisi wa Zanzibar hatokubali ni nini kama si utovu wa nidhamu!
 
Ukisikiliza baba ake anavyomchambua nafikiri hutamkweza huyo fatuma hata kdg.Angekua intelligent angesoma vyuo vyenye heshima huko aliko pelekwa. Cambridge na Oxford alichemka. Ndio maana father anahoji huu ujuaji mwingi unatoka wapi?Na ni kweli kabisa, Yaani Fatuma mjuaji kuliko hata Chenge wa Harvard university hahahahahahah.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
London School of Economics siyo chuo cha heshima ?? Say whaaaaat! Bwahahaha kumbe na wewe jamaa ni mwepesi hivyo.
 
Huyu si ndiye alienda mahakamani akafanya utetezi kwa kutumia sheria iliyokwishafutwa? Kumbe ni msomi?
Kabudi alikimbia Bar Exam akapewa uwakili na Jaji Mkuu kupitia njia za kinyemela. Hajawahi fanya Bar Exam lakini leo hii ni Wakili na Waziri wa Katiba na Sheria. Juzi tena akatudanganya bungeni kitu ambacho hakipo akikwepa swali la Zitto...Bwahahaha CCM ni wepesi sana.
 
Swafiiii sana
Familia ya Karume imemkana sasa bado mumewe dr omar Awadhi naye pia atamkana tu walahi
Bibie kazi kupayuka tu na li uso limemkakamaa utafikiri mlevi wa togwa walahi
Aache kujitoa ufahamu kwa unga walahi
Swafiiii sana baba mdogo walahi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabudi alikimbia Bar Exam akapewa uwakili na Jaji Mkuu kupitia njia za kinyemela. Hajawahi fanya Bar Exam lakini leo ni Waziri wa Katiba na Sheria. Juzi tena akatudanganya bungeni kitu ambacho hakipo akikwepa swali la Zitto...Bwahahaha CCM ni wepesi sana.

Ondoa uwongo wako wewe kijana mdogo walahi
Chadrama mkikosa mnadandia kutunga maneno walahi
Mijitu mizima ovyooooooo walahi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ndo tuko Huku Zanzibar huyu mzee anavizia vizia madaraka tunamjua vizuri tu ...Kuna vitu havibishaniwi kishabiki ...2015 alikua wakala wa CCM ...katika watu was mbele kutoka CCM kusupport kupigia debe uchaguzi wa marudio ...na kupiga propaganda za kutoa takwimu feki eti kura za mgombea wa urais Pemba zimezidi kwamba ni sahihi kurudiwa kwa uchaguzi ...wakati sie wananchi wa kawaida tunajua fika kila uchaguzi CCM lazima ifanye udanganyifu na wanaoshiriki huo udanganyifu miongoni mwao ni ndugu zetu ...rafiki zetu ...jamaa zetu ...kumbukumbu Zanzibar kijiografia ni ndogo sana watu tunajuana na lolote linalofanyika habari zake zinasambaa Mara moja ...so ni rahisi kulifahamu Jambo kwa muda mchache!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar siyo ndogo kivile kiasi cha kufanya kila MTU ajuane Na wazenji wote. Tatizo ni KAFU ya Sharrif walipojiunga Na chama cha democrasia ya mashoga ambao walipanga njama za wizi mdiyo maana kura zilizidi Na mawakala kupigana vituoni. Mimi nilisimamia uchaguzi huo kwa njia ya kuzuia uhalifu najua yaliyojitokeza ya kuzidisha kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio issue ya kitoto. Kuna kitu kinaitwa Tanganyika Law society...lawyers..advocates ndio member. Unataka kutuambia walimuona Shangazi ni kilaza mvuta unga wakampa the highest post of their society? Kwamba nao wamesoma kivulini university kwahiyo wakaona wachague kiongozi wao ambae sio?

Chengee is a thief... has never done this country any good. Go down the history, this guy a a crooked son of evil.






Sent using Jamii Forums mobile app
TLS wamapungufu ya ujuzi wa uchunguzi ndiyo maana wakachagua kishabiki kupitia wingi wa wanachama katka tasisi yenye kutetea ushoga
na ushetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CV YA FATUMA KARUME HII HAPA(AMEPOST MWENYEWE HII)



FATMA AMANI KARUME

+255 22 211 1622

karume@immma.co.tz

WORK DEPARTMENT

Litigation Partner

POSITION

Fatma Karume is a partner at IMMMA Advocates. Her areas of practice include commercial litigation, judicial review, tax disputes, arbitration, winding-up, receivership, company law, intellectual property law and media l w.

CAREER

Fatma was involved in the merger between Karume & Co and IMMMA 2007, Founder of Karume & Co, Advocates 2004, junior Partner, Mkono & Company, Advocates 2000- 2003, Pupil, 5 Raymond Building, Gray’s Inn, London 1998, Of the Middle Temple, Barrister since 1998, Associate, Mkono & Company, Advocates, 1996, Advocate, High Court of Zanzibar since 1994, apprenticed as State Attorney, Attorney General’s Chambers, Zanzibar, 1993 and apprenticed as State Attorney, Attorney General’s Chambers, Dar es Salaam, 1992.

LANGUAGES
English, Swahili & French

MEMBER

Bar Council of England and Wales Law Society of Zanzibar Tanganyika Law Society

EDUCATION

Degree of the Utter Bar, Middle Temple, London, 1998 Postgraduate Diploma in Professional Legal Skills, Inns of Court School of Law, 1998 LLM, London School of Economics, 1997 Diplome de Sciences Juridiques, Universite de Strasbourg, 1991 LLB (Hons), University of Sussex, 1992

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba mdogo Hana mantiki anachoongea,Shangazi ni mtu huru na ni mTanzania Kama walivyoona Watanzania wengine ana haki ya kuongea chochote anachoona kinafaa haya masula ya kumuona Raisi no Kama Baba wa familia hawezi kuambiwa ukweli eti kisa utaonekana unamkosea adabu hayo sasa ndio masuala ya kijinga maana kumkosea Raisi sio kuikosea sheria.Kwani kosa la Shangazi ni lipi? Kusema kuwa Kama Sheria ya kikokotoo imepitishwa lakini inawaumiza walio wengi hivyo itizamwe upya ni kosa? Au kusema nchi iongozwe Kwa kufuata Sheria sio matamko ya mtu no kosa? Au kusema kuwa Spika haruhusiwi kumuwajibisha CAG Kwa mujibu wa Sheria ya Tanzania?
Amesoma wapi na lini si hyo haituhusu kikubwa anaongea ukweli Kwa mujibu wa Sheria yuko sahihi mara 1000 Sana Sana huyo Baba mdogo anazidi kudhihirisha kuwa kuwa kumbe ukiwa CCM lazima uziache akili zako huko ulikotoka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom