Hana akili huyu Ali KarumeAna akili Sana huyu mh Karume
Hana akili huyu Ali KarumeAna akili Sana huyu mh Karume
Upo sahihi mkuu. Hata katika mchakato wa kutafuta mgombea wa CCM mwaka 2015 binafsi nilidhani huyu mzee ndiye atapeperusha bendera ya CCM. Hakufanikiwa lakini ukweli ni kuwa bado tunamuhitaji..Ana akili Sana huyu mh Karume
You are not even an inch close to the intelligence of this woman. Tulia na ujinga wako ukingoja hisani ya wanaokutuma.Mnahangaika na malaya aliekubuhu tu nyie. Fatma wala si wa kumjadili. Mnafahamu kabisa wanetu tukiwapeleka ulaya na america mara nyingi wanakwenda kunifunza kubwia unga na kuvuta bange si wa kike au w akiume. Huyo changudoa ni bange na madawa yanamsumbua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yake atakuwa ana msupoti kisirisiri, kalelewa vibaya hana adabu kabisa Fatuma
Ukisikiliza baba ake anavyomchambua nafikiri hutamkweza huyo fatuma hata kdg.Angekua intelligent angesoma vyuo vyenye heshima huko aliko pelekwa. Cambridge na Oxford alichemka. Ndio maana father anahoji huu ujuaji mwingi unatoka wapi?Na ni kweli kabisa, Yaani Fatuma mjuaji kuliko hata Chenge wa Harvard university hahahahahahah.You are not even an inch close to the intelligence of this woman. Tulia na ujinga wako ukingoja hisani ya wanaokutuma.
Kama umesoma kwenye zizi la ng'ombe usiwachukie waliopata nafasi kusoma in proper schools in the world.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu si ndiye alienda mahakamani akafanya utetezi kwa kutumia sheria iliyokwishafutwa? Kumbe ni msomi?Anamuonea kwani sifa ya msomi has a wa sheria ni kujiamini na anakuwa sio muoga kwani ukijua sheria MTU akuonei
Hapo ndio utaelewa kwanini hata kwenye vyuo bora alikopelekwa na wazazi wake alichemka. Tatizo Tanzania ukiongea Kiingilishi kidogo tu na kutupa tuvifungu tuwili twa sheria hata kama hatuendani na Hoja iliyopo LAZIMA WAKUITE MSOMI. Mimi sijasoma sheria lkn huwa nikimsikiliza huyu Fatuma huwa naona kabisa HUMO KICHWANI KWAKE NI MWEUPE KABISA, sio sheria wala logical Arguments.Huyu si ndiye alienda mahakamani akafanya utetezi kwa kutumia sheria iliyokwishafutwa? Kumbe ni msomi?
chenge mjuaji kwenye wizi, huyu mjuaji kwenye kutetea wanyonge.Ukisikiliza baba ake anavyomchambua nafikiri hutamkweza huyo fatuma hata kdg.Angekua intelligent angesoma vyuo vyenye heshima huko aliko pelekwa. Cambridge na Oxford alichemka. Ndio maana father anahoji huu ujuaji mwingi unatoka wapi?Na ni kweli kabisa, Yaani Fatuma mjuaji kuliko hata Chenge wa Harvard university hahahahahahah.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Kesi ipi ya Kutetea wanyonge Fatuma amewahi shinda?chenge mjuaji kwenye wizi, huyu mjuaji kwenye kutetea wanyonge.
kwa ujuaji wa kuiba na kujificha kwenye sheria chenge yuko vzr
..Ali Karume alikuwa anapinga hata serekali ya umoja wa kitaifa.
..huyu mzee ni radical na watu wa aina yake they live in the past wamepitwa na wakati.
Cc Kibunango
Alikuwa hapingi Per se bali alikuwa anampinga kaka yake ambaye alikuwa mwanzilishi wa serikali ya umoja wa kitaifa.
Hiyo familia imegawanyika sana mpaka kisiasa.
Utachekwa bwana mdogo. Mseme lingine, shangazi amesoma London School of Economics, si shule ya kubeza hata kidogo. Tafiteni drama nyingine lakini si shule yake.Hapo ndio utaelewa kwanini hata kwenye vyuo bora alikopelekwa na wazazi wake alichemka. Tatizo Tanzania ukiongea Kiingilishi kidogo tu na kutupa tuvifungu tuwili twa sheria hata kama hatuendani na Hoja iliyopo LAZIMA WAKUITE MSOMI. Mimi sijasoma sheria lkn huwa nikimsikiliza huyu Fatuma huwa naona kabisa HUMO KICHWANI KWAKE NI MWEUPE KABISA, sio sheria wala logical Arguments.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Sisi ndo tuko Huku Zanzibar huyu mzee anavizia vizia madaraka tunamjua vizuri tu ...Kuna vitu havibishaniwi kishabiki ...2015 alikua wakala wa CCM ...katika watu was mbele kutoka CCM kusupport kupigia debe uchaguzi wa marudio ...na kupiga propaganda za kutoa takwimu feki eti kura za mgombea wa urais Pemba zimezidi kwamba ni sahihi kurudiwa kwa uchaguzi ...wakati sie wananchi wa kawaida tunajua fika kila uchaguzi CCM lazima ifanye udanganyifu na wanaoshiriki huo udanganyifu miongoni mwao ni ndugu zetu ...rafiki zetu ...jamaa zetu ...kumbukumbu Zanzibar kijiografia ni ndogo sana watu tunajuana na lolote linalofanyika habari zake zinasambaa Mara moja ...so ni rahisi kulifahamu Jambo kwa muda mchache!!!
Povu Kama lote!!!Mnahangaika na malaya aliekubuhu tu nyie. Fatma wala si wa kumjadili. Mnafahamu kabisa wanetu tukiwapeleka ulaya na america mara nyingi wanakwenda kunifunza kubwia unga na kuvuta bange si wa kike au w akiume. Huyo changudoa ni bange na madawa yanamsumbua tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikiliza baba ake anavyomchambua nafikiri hutamkweza huyo fatuma hata kdg.Angekua intelligent angesoma vyuo vyenye heshima huko aliko pelekwa. Cambridge na Oxford alichemka. Ndio maana father anahoji huu ujuaji mwingi unatoka wapi?Na ni kweli kabisa, Yaani Fatuma mjuaji kuliko hata Chenge wa Harvard university hahahahahahah.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
We umemuona huyo baba mdogo Cha pombe mpaka anaacha madeni bar Ali karume hakuna asiemjuaBaba mzazi anaitwa "My dear bottle"....Mze anapenda pombe kali utafikiri ndiyo yeye aliyeanzisha kunywa hapa duniani, maana hataki kupitwa na wenzake.