Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Utachekwa bwana mdogo. Mseme lingine, shangazi amesoma London School of Economics, si shule ya kubeza hata kidogo. Tafiteni drama nyingine lakini si shule yake.
Kwamba wewe unamjua fatuma kuliko baba wake aliyekuwa anamtafutia chuo huko London?Baba wake kasema kwenye vyuo vya maana kama Cambridge na Oxford alichemka. Hata hapa Tanzania kuna vyuo vya maana vingi lkn kuna vile Top, Kushindwa kusoma kwenye vyuo Top nako ni Questionable. Na ni kweli Fatuma anajifanya Hapa Tanzania ye ndio mtaalam wa sheria kuliko watu wote,lakini records zake ni ZERO.Labda ulieleze Jukwaa Fatuma kashinda kesi gani nzito au yyt ile?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kusoma chuo kikubwa sio tija ...jee ulichokisoma unakifanyia kazi ...na jee ulichokisoma kina tija kwako!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
We unaona kuna la maana analofanya Fatuma ktk upande wa sheria?Kesi ngapi zinatupiliwa mbali ambazo hata kama sio Mwanasheria unaona kabisa huyu mtu kichwani ZERO?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hiyo sio issue ya kitoto. Kuna kitu kinaitwa Tanganyika Law society...lawyers..advocates ndio member. Unataka kutuambia walimuona Shangazi ni kilaza mvuta unga wakampa the highest post of their society? Kwamba nao wamesoma kivulini university kwahiyo wakaona wachague kiongozi wao ambae sio?

Chengee is a thief... has never done this country any good. Go down the history, this guy a a crooked son of evil.






Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kila kitu kinawezekana. Hujuilizi inawezekanaje Rais wa TLS anashindwa kesi kwa kutumia Sheria zilizofutwa?Hujuilizi inawezekanaje Rais wa TLS anashindwa kuandaa vizur sheet ya kesi hadi inashindwa pokelewa na ukisoma kweli unaona imejaa upuuz mtupu?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Illogical argument, sheria sio sociology...hakuna pamparampa. Niamvie ikawaje her learned sisters and brothers wakamuona anafaa kuwaongiza?

Your personal opinion ambayo ipo based on your ego is flawed

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kila kitu kinawezekana.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Huyu naye analake jambo, mambo ya kifamilia anakuja kuyazungumzia kwenye mkutano wa CCM badala ya kuyamaliza nyumbani kwake mpaka baadhi ya wanaccm wenzake wanamshangaa.

Anamshambulia Fatma kwenye mambo ya elimu wakati huenda hata baba yake aliyekuwa rais wa Zanzibar hata elimu ya kidato cha 4 hakuwa nayo?, sinafuu ya Fatma kasoma uwingereza kawashinda hata viongozi wengi waliowahi kutuongoza.
 
Anamuonea kwani sifa ya msomi has a wa sheria ni kujiamini na anakuwa sio muoga kwani ukijua sheria MTU akuonei
Huyu ni failure ndiyo maana kashindwa ku practice law UK. Mweupe ka Ridhiwani vyeti vya mapambo. Hawezi kuwa QC huyu. QC kama Cherie Blair kapambana kutetea watu v serikali ya mumewe. Huyu Lissu kamzidi mara 1000.
 
Basi hili taifa sio mchezo, old school mentality ndio tatizo gani hilo?
Thinking in the past.... Ndiyo maana kila siku reference yetu ni Nyerere tu. Utafikiri ni yeye tu ndiye alikuwa Ana uwezo wa kufikiri...!!!
 
Mnahangaika na malaya aliekubuhu tu nyie. Fatma wala si wa kumjadili. Mnafahamu kabisa wanetu tukiwapeleka ulaya na america mara nyingi wanakwenda kunifunza kubwia unga na kuvuta bange si wa kike au w akiume. Huyo changudoa ni bange na madawa yanamsumbua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo upo sawa. Na wazanzibar wanapenda sana bangi. Atakua alikua member wa kimchezo chao wanaume wanacheza mzunguzo kila mtu kamsokomeza mwenzake mkiani na wanawake kivyao wakisagana
 
Amani Karume kakosea sana, alipaswa kumuita mtoto wake nakuongea naye faragha, kwa haya aliyosema ajiandae kuanikwa mpaka wanawe wa kuzaa watamuonea huruma.
 
We unaona kuna la maana analofanya Fatuma ktk upande wa sheria?Kesi ngapi zinatupiliwa mbali ambazo hata kama sio Mwanasheria unaona kabisa huyu mtu kichwani ZERO?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
Na ninashangilia kujiamini kwako kwa kumsema Fatma Karume kuwa kichwani ni ZERO!!!
Unawaambia Wanasheria wa Tanganyika kuwa waliyemchagua kuwa Rais wa Chama chao, TLS, kichwani ni ZERO!!
Unatafsiri vipi vichwa vinavyochagua mtu ambaye kichwani ni ZERO?
Maana yake ni kwamba Wanasheria wetu nao kichwani ni zero!
And you write this with a lot of confidence; repeating the same wrong assertion.
With a lot of confidence!
For sure, THE STUPID ONES ARE FULL OF CONFIDENCE.
You just qualified yourself to the position of leader of the "stupid ones".
 
CV YA FATUMA KARUME HII HAPA(AMEPOST MWENYEWE HII)



FATMA AMANI KARUME

+255 22 211 1622

karume@immma.co.tz

WORK DEPARTMENT

Litigation Partner

POSITION

Fatma Karume is a partner at IMMMA Advocates. Her areas of practice include commercial litigation, judicial review, tax disputes, arbitration, winding-up, receivership, company law, intellectual property law and media l w.

CAREER

Fatma was involved in the merger between Karume & Co and IMMMA 2007, Founder of Karume & Co, Advocates 2004, junior Partner, Mkono & Company, Advocates 2000- 2003, Pupil, 5 Raymond Building, Gray’s Inn, London 1998, Of the Middle Temple, Barrister since 1998, Associate, Mkono & Company, Advocates, 1996, Advocate, High Court of Zanzibar since 1994, apprenticed as State Attorney, Attorney General’s Chambers, Zanzibar, 1993 and apprenticed as State Attorney, Attorney General’s Chambers, Dar es Salaam, 1992.

LANGUAGES
English, Swahili & French

MEMBER

Bar Council of England and Wales Law Society of Zanzibar Tanganyika Law Society

EDUCATION

Degree of the Utter Bar, Middle Temple, London, 1998 Postgraduate Diploma in Professional Legal Skills, Inns of Court School of Law, 1998 LLM, London School of Economics, 1997 Diplome de Sciences Juridiques, Universite de Strasbourg, 1991 LLB (Hons), University of Sussex, 1992

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni member wa EW Bar association angalia kesi ngapi kashinda huko uk
 
Back
Top Bottom