Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Kaongea pumba. Kutokusoma Ivy league haimanishi kua huwezi kua lawyer mzuri, limeongea pumba yaani mizee mingine haina hata umuhimu duniani yanaendekeza njaa mwishowe yanajiabisha
 
Hayo amesema baba yake mdogo.
Ila mimi nipo kimya bado siyaafiki maneno yake. Bibi yake huyo Fatma Karume (Bi Fatma Karume) yupo hai siku akiongea yeye na atakachokiongea kuhusu mjukuu wake ndio nitakubaliana nacho. Maana mtoto (Fatma Karume) anaweza kuwa yuko vizuri upstairs na baba mdogo (Ali Karume) zero brain.

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
Na ninashangilia kujiamini kwako kwa kumsema Fatma Karume kuwa kichwani ni ZERO!!!
Unawaambia Wanasheria wa Tanganyika kuwa waliyemchagua kuwa Rais wa Chama chao, TLS, kichwani ni ZERO!!
Unatafsiri vipi vichwa vinavyochagua mtu ambaye kichwani ni ZERO?
Maana yake ni kwamba Wanasheria wetu nao kichwani ni zero!
And you write this with a lot of confidence; repeating the same wrong assertion.
With a lot of confidence!
For sure, THE STUPID ONES ARE FULL OF CONFIDENCE.
You just qualified yourself to the position of leader of the "stupid ones".
Mkuu hakuna kinachoshindikana Tanzania, eti kwanini walimchagua Fatuma kuwa Rais wa TLS. Kwamba we hujui hizi chaguzi saiz zimekuwa za kisiasa zaid na sio WELEDI?Fatuma ana qualities zipi kushinda wenzie kiasi afae kuwa Rais?Kesi ngapi zimefunguliwa akihusishwa na yeye lkn ni FEDHEA tupu,kama sio kutupiliwa mbali basi kuangukia pua?Mwanasheria na wakili msomi anatakiwa awe na vitu kama;Academic Publications za kutosha, Awe na record nzuri ya kushinda kesi na uwezo mzuri ktk kujenga hoja mbalimbali. Kushinda tweeter kupaste vifungu vya sheria huku ukishangiliwa na wafuasi wako sio Kigezo hata siku moja cha kupima usomi wako.

Kesi nyingi za Fatuma zinaanzia tweeter, anajazwa upepo huko na wafuasi wake Mwisho akifika mahakaman anaangukia pua. Ulishawah jiuliza kesi ya yeye kushikwa vibaya na mtu si jinsia yake iliishia wapi licha ya kugunguliwa kwa mbwembwe nyingi?Kama hata kesi iliyohusu HAKI zake alishindwa kuisimamia na akapata HAKI yake,huku kwingine ataweza?So utaona navyosema FATUMA KICHWANI NI ZERO namaanisha kweli FATUMA KICHWANI NI ZERO yaani HAMNA KITU zaidi ya MIHEMKO ya KISIASA.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Huyu naye analake jambo, mambo ya kifamilia anakuja kuyazungumzia kwenye mkutano wa CCM badala ya kuyamaliza nyumbani kwake mpaka baadhi ya wanaccm wenzake wanamshangaa.

Anamshambulia Fatma kwenye mambo ya elimu wakati huenda hata baba yake aliyekuwa rais wa Zanzibar hata elimu ya kidato cha 4 hakuwa nayo?, sinafuu ya Fatma kasoma uwingereza kawashinda hata viongozi wengi waliowahi kutuongoza.
Kwamba huko uingereza alienda kwa kufaulu au kubebwa na mbereko ya mtoto Wa Rais?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Mkuu hakuna kinachoshindikana Tanzania, eti kwanini walimchagua Fatuma kuwa Rais wa TLS. Kwamba we hujui hizi chaguzi saiz zimekuwa za kisiasa zaid na sio WELEDI?Fatuma ana qualities zipi kushinda wenzie kiasi afae kuwa Rais?Kesi ngapi zimefunguliwa akihusishwa na yeye lkn ni FEDHEA tupu,kama sio kutupiliwa mbali basi kuangukia pua?Mwanasheria na wakili msomi anatakiwa awe na vitu kama;Academic Publications za kutosha, Awe na record nzuri ya kushinda kesi na uwezo mzuri ktk kujenga hoja mbalimbali. Kushinda tweeter kupaste vifungu vya sheria huku ukishangiliwa na wafuasi wako sio Kigezo hata siku moja cha kupima usomi wako.

Kesi nyingi za Fatuma zinaanzia tweeter, anajazwa upepo huko na wafuasi wake Mwisho akifika mahakaman anaangukia pua. Ulishawah jiuliza kesi ya yeye kushikwa vibaya na mtu si jinsia yake iliishia wapi licha ya kugunguliwa kwa mbwembwe nyingi?Kama hata kesi iliyohusu HAKI zake alishindwa kuisimamia na akapata HAKI yake,huku kwingine ataweza?So utaona navyosema FATUMA KICHWANI NI ZERO namaanisha kweli FATUMA KICHWANI NI ZERO yaani HAMNA KITU zaidi ya MIHEMKO ya KISIASA.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Umeandika maneno mengi alafu yote ujinga mtupu.Hujui ata majukumu ya mwanasheria na mahakama unakazania tu kushinda kesi kushinda kesi.Wewe sema hampendi kuambiwa ukweli ayo mengine ni bla bla tu zinazotokana na chuki yenu kwa uyo dada kwasababu hayuko upande wenu.
 
Mkuu vigezo vya wakili au Mwanasheria bora ni vipi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hapo ndio utaelewa kwanini hata kwenye vyuo bora alikopelekwa na wazazi wake alichemka. Tatizo Tanzania ukiongea Kiingilishi kidogo tu na kutupa tuvifungu tuwili twa sheria hata kama hatuendani na Hoja iliyopo LAZIMA WAKUITE MSOMI. Mimi sijasoma sheria lkn huwa nikimsikiliza huyu Fatuma huwa naona kabisa HUMO KICHWANI KWAKE NI MWEUPE KABISA, sio sheria wala logical Arguments.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Ahaaa haaa haaa
umenifungua KITU hapo mtu yeyote akiongea kiingereza basi ANAJUA, au msomi.
lkn lingine pia ambalo ni mtego ambao wengi wetu wamenaswa ni ule wa kuangalia JINSI anavyoongea kwa mihemuko, badala ya kujielekeza kwenye KITU AU MANTIKI ANAYOJARIBU KUJENGWA. BINAFSI kwa KUWA najua KUTENGANISHA kati ya NAMNA ya kuongea na JAMBO analoongea, mara nyingi nabaini hoja anayoitolea jasho kuijenga ni ya kawaida tu, lkn inamezwa na drama anazoonesha. hali kadharika tundu lisu, naye anaongea vitu vya kawaida sana, lkn ile mihemuko ndiyo inayochukua NAFASI KUBWA ionekane anaongea JAMBO zito na geni, lkn kumbe ni kawaida sana.
 
She's such a poseur! Ukimcheki youtube huyu fatma hata uongeaji wake ni wa kulazimisha body language aonekane mtu mwenye confidence!
Confidence flows naturally, sio unafosi!
 
Alli Karume ni miongoni mwa wasimamizi feki wa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar , Alishiriki kikamilifu wizi wa kura 2015 , Jina lake liko Namba 5 kwenye list ya kuhangaika nayo siku ikifika
Endelea kuota tu
 
Hahahaha
Kichwani mweupe kweli maana kumejaa unga walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kakutana na Ustadhi meinyi mpeku mzee wa kuosha Lungu Zitto Ruyangwa Zuberi Kalumanzira Kabwe mzee nikahepa nikasema vichwa vimo. Zitto hana cha kesi wala nini anatakuongeza idadi baada ya yule wa Deo Folikunjombe Shangazi naye atatumbukia. Soon atakumbatiwa na mzee wa nikahepa akanipiga Rukabari nikafuta rupepo harutoki futa rupepo harutoki rukatoka rwa nyuma
 
Attachments

  • IMG-20190129-WA0003.jpg
    IMG-20190129-WA0003.jpg
    40.6 KB · Views: 48
Mimi na watanzania wenzangu huwa hatumuelewi Fatuma Karume aka Shangazi. Tunashukuru kwa ufafanuzi tulioupata hapa. Maranyingi huwa tunatilia shaka elimu yake kumbe kweli hakana kitu kichwani kana puyangapuyanga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Karume amejitaidi kuongea na mwanae kwa njia ya kiugwana na kumwambia akuna jambo linapendeza kama kuwa heshimu viongozi. Akaenda mbali zaidi nakuelezea elimu alio nayo haina viwango chakumpa uwezo kumshauri Rais.

Mh Karume akasema mara nyingi anamshauri mwanae kuwa siku hizi watu wamesoma na kuthibitisha akasema arudi shule UK asome ile elimu ya juu zaidi alafu afanye kazi kule then akirudi ndipo atakuwa amefikia mahali pakushauri.

Pia anasema sikuhiz watu wamesoma na mwanae anapaswa kujuwa hilo.

Namsifu sana Baloz Karume kasema ukweli japo kwa sisi tunamjuwa hatushangai kuwa amekuwa msitar wa mbele kumkanya mwane mara nyingi sana na kwa hili tunampongeza nimfano wa wazazi wanasema kweli na ndivyo inapaswa tuwe.
Hongera Baloz Karume
 
Alli Karume ni miongoni mwa wasimamizi feki wa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar , Alishiriki kikamilifu wizi wa kura 2015 , Jina lake liko Namba 5 kwenye list ya kuhangaika nayo siku ikifika
Hiyo haiondoi haki yake ya kumpasha mtoto wa kaka yake.
 
Swafiiii sana
Familia ya Karume imemkana sasa bado mumewe dr omar Awadhi naye pia atamkana tu walahi
Bibie kazi kupayuka tu na li uso limemkakamaa utafikiri mlevi wa togwa walahi
Aache kujitoa ufahamu kwa unga walahi
Swafiiii sana baba mdogo walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mnayasema utafikiri mna udugu na hip familia ...hatujapata kauli yoyote kutoka kwa babake mzazi ...sio yule Ally karume mvizia madaraka
 
Zanzibar siyo ndogo kivile kiasi cha kufanya kila MTU ajuane Na wazenji wote. Tatizo ni KAFU ya Sharrif walipojiunga Na chama cha democrasia ya mashoga ambao walipanga njama za wizi mdiyo maana kura zilizidi Na mawakala kupigana vituoni. Mimi nilisimamia uchaguzi huo kwa njia ya kuzuia uhalifu najua yaliyojitokeza ya kuzidisha kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Doooh naona unachangia kiushabiki ...mi siko huko hata nikufahamishe vipi hutoelewa ...mi nishapiga kura chaguzi tatu naelewa ninachosema 2010 nilifanya kazi tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom