Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Unachodhani anaongea madini ni kuwa Elimu yako nyembamba utajua hivjo, Lakini wenye Elimu pana huona anaropoka tu pumba zake kama chizi vileKiukweli mimi binafsi sijawahi kumsikia bimkubwa akiongea pumba! Kila anachotamka ni madini tupu, ifikie mahali tukubali tu kuwa yuko sahihi kwa anayotamka na ni mkweli na tukiri tu kuwa hatupendi kuyasikia maneno yake yanatuchoma sababu ya umungu mtu uliotujaa kutoka na athari za fikra za elimu ya kikoloni za kupuuza utawala wa sheria na haki za binadamu. Kama upeo wako wa akili ni mdogo na umeshiba ushabiki wa kisiasa si vizuri kumsikiliza sababu huwa anazungumza kisomi si rahisi mtu mjinga kuelewa anachosema na anachopigania!
Sent using Jamii Forums mobile app