Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,418
Heri angekaa kimya alinde tumbo lake amwache anaesimama na wanaoonewa,shangazi usimamia ukweli kama Lisu ndio wazalendo wa kweli. Bi Fatuma na Maria Sarungi wanatoka familia zenye misingi na wangeweza tulia wale vya kwao plus uhakika wa teuzi yeyote, Lkn wameviacha vyote hawataki kuwa wanafiki ili kulinda tumbo wanasimamia haki maisha utu ni zaidi ya tumbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu
Exactly my feelings.....
Atleast hawa wanadamu wanaongea wanapoona uonevu.....walao!
Sasa mapunguani kama hili zee bwabwa balozi,ni majitu ya hovyo mno....
Wakiwazima hawa,sijui tutapata nani hata wa kututetea kwa kusema?
Wote wenye nia mbaya nao na wafe kabisa!