Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.

Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.

Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

For that matter, I am the King and Head of State of the United Kingdom and 15 other Commonwealth realms.
 
Wadanganyika walivyo wepesi kusahau, wameshasahau tu mambo ya ufisadi uliofanywa na Balali na wenzake, baadhi yao wataipigia kura CCM iliyowakumbatia hao majambazi!

Mbona WASHABIKI na WAPIGA DEBE (wakiongozwa na Malaria Sugu) walisheheni sana humu ndano, kuipigia debe CCM?

Halafu ndio hao hao wanaolalamika leo TUNATAKA KATIBA MPY!

Acheni unafiski!
 
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.

Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.

Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Inasemekana kuwa hata Chacha Wangwe aliuawa ili asiseme ukweli wa alipo Balali
 
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.

Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.

Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Habari kam hii lazima watu watahitaji kuijua kwa undani na usahihi, so em weka kama source au sema vyanzo vyenyewe basi ni gani!
 
Mbona WASHABIKI na WAPIGA DEBE (wakiongozwa na Malaria Sugu) walisheheni sana humu ndano, kuipigia debe CCM?

Halafu ndio hao hao wanaolalamika leo TUNATAKA KATIBA MPY!

Acheni unafiski!

Sasa kwani katiba mpya ni ya wapinzani!! ah haya sijui maswali gani?? wakina bomani, manento, ramadhani,shivji na warioba ni wapinzani wale?? we vp!
 
Hi kali, nahisi kizunguzungu, fanyeni utafiti wa kina kupata ukweli. ikidhihirika ni kweli! watakimbia hii nchi kama yule jamaa wa kisiwa cha Anzuani.
 
Kusikia Balali yuko hai nahisi kizunguzungu, hivi kama ni kweli yu hai ndiyo nini? hii nchi ni tanzania ama? tunaongozwa na watu wasio serious ? fanyeni utafiti wa kina kupata ukweli wake, ili ikidhihirika ni kweli, du! viongozi wa nchi wapewe nishani kwa usanii.
 
Kila jambo lina mwisho wake hao waliomwua nao watafikia mwishowao na hapo kila kitu kitakuwa wazi. Nikiwa na maana Hao vigogo walio singizia amekufa na kumpeleka afanyiwe plastic surgery itafika mahali hawatakuwa na madaraka wala nguvu ya pesa kumdhibiti itavuja tu. kwa sasa tuyaache yalivyo maana hayatusaidii saaaaaaana. yatatusaidia baadaye tukiwa shika.
 
kwani alikuwa m tz yule? Alikuwa na uraia wa marekani hata alipokuja kuwa gavana si alitokea marekani,fununu zinatoka kwa watanzania waishio marekani kuwa anaonekana lakini kwa nadra,kama kuna mwana jf aliye na mawasiliano na wa tz waishio marekani tafadhali wape hiyo kazi ya kufuatilia jambo hili hili linawezekana likawa kweli

Lakini kwanini magavana wa bank kuu watoke IMF.Sisi tuko wajinga kweli. Hivi hatuoni kwamba tunapigwa changa la macho.Kaazi kweli kweli.
 
Reality is a balali is alive. Na ni kweli wadanganyika tulichakachuliwa. Swali langu hapa, Huyu JK (jambazi kubwa) alitishia waliochukua pesa warejeshe la atawachukulia hatua, walirudisha wangapi na ambao hawakurudisha amewachukulia hatua gani???TZ ni kisiwa cha viongozi majambazi wanaojiita CCM- chama cha majambazi.
 
Watu wamezidi kuchonga sana humu jf. Kwani nani kasema balali kafa. Mimi ninachojua nikuwa balali hayuko hai bali yuko rombo! Ebo????
 
Itachukua muda kupata ukweli wa jambo zito kama hilo,lakini kwa sasa inabidi tuamini amefariki,na kama kwa makusudi habari za kifo ni za kubuni ,basi si muda watammaliza atakufa kikweli kweli,asije kuleta shida.
 
Balali amefanyiwa ukarabati na ndo yule mwimbaji taarabu maarufu, amerudishwa umri nyuma na kua demu mwenye miaka 18 tu! Dah serikali ya kifisadi hii inarudisha mpaka umri nyuma!! Lol
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom