Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
ule msiba tangu siku yenyewe ulikua unautata na sijui kama kuna mtu aliamini kweli amekufa.daah!jk na serikali yake wanadhambi kiama.mpaka wanadanganyia kifo!!!ila wabongo tumeshazoea kidanganywa na kuibiwa.acha tuwe wapole tuone mwisho wake
 
tuwape kazi marekani wamtafute akiwa hai au Mfu kama Sadamu na Osama, nafikiri yupo Hawaii kwani hakuna Mtanzania anaweza kufika huko kisima cha garama, kama yeye alitumbua mamilioni na kagoda yeye alijibakizia ngapi? kumbuka Balali aliitwa kama expert kusaidia kuinua uchumi wa tanzania akitokea World Bank, aliombwa na BMW , kama kweli alizikusanya za WB, na BoT hata Kisiwa cha Bruinei anaweza kuishi, tumeshidwa kuwapata mapolice waliotoroka baada ya kuua wafanyabiashara wa maenge tuje tumpate Balal mtu pesa!!!?
 
Msishangae kwa style hii, Viongozi wengi baada ya miaka minne inayokuja itakuwa kama balali tu...tutasikia wako nje then bye bye....(TUSIDANGANYIKE)
 
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.

Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.

Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Lisemwalo lipo kama halipo li njiani linakuja. Bado tutajua mengi tuu!!!!!!! Utafiti uendelee.
 
Nikumkumbuka Balali nasikitika sana.. Huyu jamaa ndiye player mkubwa wa hela za EPA na Twin Tower...

Najua kuwa huyu jamaa hajafa ila serikali inajua kuwa ikimleta huyu jamaa hapa itakuwa mbaya sana...

sasa nini kifanyike... Jibu ni moja tu tubadilishe serikali na tuchague serikali makini na yenye kupenda mabadiliko.. na yenye utaifa...
 
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.

Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.

Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

TUSIKURUPUKE. What is your source of this information? I don't believe until I get the source.
 
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.

Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.

Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

WikiLeaks wanasemaje kuhus hili any wires or cables?
:target::target::target::target::target::target::target::target::target::target::target:
 
Dont wor wanajf,balali yupo mambo yatavumbuka mda c mref kueni wavumilivu haifiki februar
 
NI KWA SABABU YA UCHAKACHUAJI ILIKUWA MAPANGA YATEMBEE SASA BORA KUBADILI MFUMO KULIKO KUUANA KAMA WAKENYA SIO VIZURI-SABABU NI NYINGI LAKINI KUBWA KUTOA AMANI YA KWELI MANAKE HAKUNA AMANI PASIPO HAKI, NA HIZI NYINGINEZOInakandamiza haki ya mgombea binafsi
2. Inatoa fursa ya kuwa na tume ya uchaguzi ya uchakachuaji
3. Inatoa fursa ya watawala kuwanyonya watanzania kwa kuficha mikataba
4. Inatoa fursa kwa rais wa nchi kuwakandamiza watanzania kwa maamuzi yasiyo na mpaka idadi ya wizara, teuzi mabalimbali
5. Inatoa fursa ya matumizi hovyo ya mali ya umma mfano kazi ya naibu waziri na mkuu wa wilaya v. Katibu wa wizara na mkurugenzi wa wilaya
6. Inavunja kanuni ya principle of separation of powers -mbunge anakuwa waziri, watawala wetu wengi wapo juu ya sheria
7. Inatoa fursa ya ufisadi kwa watawala wetu kwa kuzuia hatua yoyote dhidi yao
8. Ilitungwa kwa ajili ya chama kimoja na sasa ni vyama vingi
9. Katiba ya sasa ya tanzania haitambui zanzibar kama nchi
10. Katiba ya sasa inabeba sheria 40 za nyalali alizosema zifutwe
11. Katiba ya sasa inarusu uzandiki mwingi wa kuchakachua
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom