Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Tanzania hii bwana viongozi wanatia
hasira sana wewe iddi amin ambae
alithubutu kula mpaka nyama za watu
lakini mwili wake umezikwa uganda Leo
hii sisi balali wajati anaondoka kwenda
nje kwa matibabu vyombo vya habari
vilisema alipokufa kwanini hatukuonyeshwa
na kwa nini azikwe nje ya nchi Iko siku
tutamwona watakimbia roho ziwatoke
kama wanafikiri hiki ni kizazi cha kusahau
hawajui kusoma nyakati.
 
Ni vizuri swali hilo akatupiwa mama Muganda Balali naye si mkurugenzi kwenye Meremeta, bila shaka atakuwa anakuja huku mara kwa mara kuhudhuria vikao vya bodi ya kampuni hiyo.
 
JFs;
Labda kuna ajuaye BAlali aliugua ugonjwa gani hadi mauti yake?:peep:

Mkuu, kuna mambo mawili hapa.

Moja je Balali alikufa? Hili limeandikwa tu magazetini, hakuna ushahidi hata wa Jeneza, wala kupewa heshima ya mwisho, japo ile ya acting tu. Hili linatia shaka dhana nzima ya kuwa Balali kafa.

Pili. Huyu Mtu aliondoka kwenda matibabu, alikuwa anaumwa ugonjwa unaoitwa "ufisadi- EPA". Akiwa anatibiwa huko aliandika barua ya kuacha kazi, halafu, Mkuu wa nchi naye akamtwanga barua ya kumuachisha kazi. Kwa hiyo kama alikufa yawezekana alikufa kwa (Mshituko wa mwili na akili) kuchanganyikiwa, kutoelewa kuwa ameacha kazi au aliachishwa kazi.

Kama alikufa basi ,yawezekana walim-cremate, lakini balali si Muhindi au baniani.
Kwa hiyo, inawezekana pia ikawa ni changa la macho kwa Watz milioni 40.
Kwa bahati mbaya hata wanafamilia Ya Balali hawajatuonesha picha, at least, ya sehemu ambayo ,tungeaminishwa kuwa ndio makazi yake ya kudumu.

kwa kumalizia, Tuchukulie kuwa Mzee mzima amestaafu tu na amerudi nchi aliyokuwa kabla ya kuitwa kuja kuwa gavana wa mapesa ya TZ na anapopata nafasi anachungulia media kuona vipi tunamsema sema.
 
Huyu jamaa afe or if he's alive hatusaidii kitu otherwise machungu tu yanazidi kuwa makali watuwengine tunaposikia bado anatajwa kwenye media...!:redfaces:
 
Remmy amekufa ila Balali who told you he died? Mwili wake uko wapi? Akitokea na kukushitaki kwa kumsingizia kifo itakuwaje?
 
Usije shangaa siku moja unakutana naye MILIMA YA UDZUNGWA
Au mkakutana mlimani city akifanya shopping. bwaha ha ha ha ha ha. Hivi nani aliona mwili wake wakati wa mazishi? Why wamzike marekani? nani hapa JF aliyehudhulia mazishi yake atuhakikishie kwamba aliona mwili wake? bado nina maswali mengi sana kuhusiana na huyu bwana,
Tanzania tunachakachua mpaka maisha ya watu.
 
Lakini yeye alikuwa ninani katika nchii mpaka asizikwe nchini kwake??kama Rais,waziri mkuu walizikwa nchi kwa nini yeye?je kwanini hawakutaka ndugu wakaribu wasifike kwenye mazishi yake?kama kadrinali Rugambwa alizikwa nchini balali yeye ninani??Kuna maswali mengi hayana majibu!
 
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.

Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.

Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Alitumia paosport ya jina gani kuingia Tanzania? Alitokaje huko marekani aliposemakana alikuwepo? sipati picha bado...! Kama alifoji jina basi huyo sio yeye
 
Tanzania hii bwana viongozi wanatia
hasira sana wewe iddi amin ambae
alithubutu kula mpaka nyama za watu

lakini mwili wake umezikwa uganda Leo
hii sisi balali wajati anaondoka kwenda
nje kwa matibabu vyombo vya habari
vilisema alipokufa kwanini hatukuonyeshwa
na kwa nini azikwe nje ya nchi Iko siku
tutamwona watakimbia roho ziwatoke
kama wanafikiri hiki ni kizazi cha kusahau
hawajui kusoma nyakati.

Una ushahidi katika hapo penye red, au nawe una base conclusions zako kwenye story za western media zilizoamua kupika stori za uongo kuhusu Iddi Amin? Iddi was amog the best presidents of Uganda. Ukiwauliza waganda leo Amin na Museveni bora yupi utasikia watakachokwambia.
 
Ugonjwa wa kizungu zungu... anatusaidia nini huyu bana!

Alituibia pesa zetu.....hivyo sharti sisi wenye mali tujue mwizi wetu yuko wapi ikiwezekana tumchukulie hatua mkononi kama sheria imershindwa.
 
Thank God Rachel na Octovian hawajui kusoma kiswahili, hii habari ingewaumiza, ,acheni jamani The late Balal alale pema peponi, kha!
 
Thank God Rachel na Octovian hawajui kusoma kiswahili, hii habari ingewaumiza, ,acheni jamani The late Balal alale pema peponi, kha!

We as Tanzanians reserves the right of questioning the whereabouts of our governer. Remember he left the country as a legitimate governor. Further there are many questions than answers regarding the circumstances surrounding the death of the late Dr Balali so Tanzania do have the right of asking those questions. If you know where he was buried we would be gladly like you to prove it to us and whether you have seen his body.
 
Labda tuwaombe WIKILEAKS watupe ukweli, maana hili jmbo ni tata sana
 
Tanzania hii bwana viongozi wanatia
hasira sana wewe iddi amin ambae
alithubutu kula mpaka nyama za watu
lakini mwili wake umezikwa uganda Leo
hii sisi balali wajati anaondoka kwenda
nje kwa matibabu vyombo vya habari
vilisema alipokufa kwanini hatukuonyeshwa
na kwa nini azikwe nje ya nchi Iko siku
tutamwona watakimbia roho ziwatoke
kama wanafikiri hiki ni kizazi cha kusahau
hawajui kusoma nyakati.

Una uhakika wa unayo sema kwa Iddi Amin, au unakurupuka tu? Au kila usomacho hata kama pumba wewe kwako inakuwa ni pepeta?
 
Wadanganyika walivyo wepesi kusahau, wameshasahau tu mambo ya ufisadi uliofanywa na Balali na wenzake, baadhi yao wataipigia kura CCM iliyowakumbatia hao majambazi!

Buchan:

Wadanganyika bado hatujasahau ndio maana Small Boy kaanzisha hii thread, wengi wa wadanganyika wanaamini Daudi balali bado yuko hai kutokana na mazingira ya kifo chake na jinsi ishu ya msiba ilivyoshughulikiwa.
 
Kwani alikuwa M TZ yule? alikuwa na uraia wa Marekani hata alipokuja kuwa Gavana si alitokea Marekani,Fununu zinatoka kwa watanzania waishio Marekani kuwa anaonekana lakini kwa nadra,kama kuna mwana JF aliye na mawasiliano na wa TZ waishio Marekani tafadhali wape hiyo kazi ya kufuatilia jambo hili hili linawezekana likawa kweli
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom