Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Amefanya uamuzi mzuri akifa atazikwa na ndugu tu hakuna watu wafukunyuzi kuudhuria maziko yake ya kweli kweli.
 
Huu ni uongo na upuuzi mtupu. Mtu anayetaka kuthibitisha kama Daudi Ballali amekufa amtafute Anna Muganda au Malva Ballali awaeleze hata mahali alipozikwa. Nahisi wana mama hawa wawili wanaishi Washington D.C.

Watoto wake wawili aliozaa na mke wake wa kwanza, Malva, walikuja Tanzania miezi kadhaa baada ya kifo chake Ballali, na wamerudi Merikani kumalizia masomo yao. Majina yao ni Octavio Ballali na Rachel Ballali. Kwa vile walizaliwa U.S.A. wao wana uraia wa Kimerikani. Na kama baba yao ni kweli alipata fedha za EPA, basi hakuna shaka wanaweza kusoma kadri ya uwezo wao.
 
Nimepata taarifa kwamba yeye ndiye anayetuma zile sms za kumchafua doctor wa ukweli (dk Slaa)ili wakose wote
 
....hakuwahi kuzaliwa ila alifanya kazi bank kuu na hakuwahi kufa na hata kaburi lake halipo!!! na mama yake anajua kuwa kaburi lipo. Kazi kwelikweli!!!



CHAGUA CHADEMA....
 
Nini hasa lengo la yeye kufanya hayo yote???. Habari hii sidhani kama inawatendea haki ndugu na jamaa wa Balali. Kama habari hii ina ushahidi kamili ni vizuri ikautoa kuliko ku-Gossip. Habari kama hizi zinashusha thamani ya mtandao na kuonekana ni sehemu ya watu kutoa habari zisizokuwa na mashiko. Tuulinde mtandao wetu uwe na ubora kama ambavyo umekuwa ukifanya kila siku.



Hii habari inawatendea haki ndugu, jamaa zake na Watanzania wote vizuri sana kwa kuwa hao wote hakuna aliyeiona maiti yake, mazishi yake, achilia mbali kaburi lake. Na kama unavyoamini wewe kuwa alikufa, usiri wote juu kifo na mazishi yake ni vyanini?

NINI HASA LENGO LAKE KUFANYA HIVYO? Jibu lako ni kuwa: Hakuwa na uchaguzi. Uhusika wake katika EPA akiwa FACILITATOR wa uovu ule najitihada za kujinasua nao na kuwanasua WALIOMWAGIZA ndio uliopelekea pawepo na mutual consent ya yeye kujifanya kafa.

Ukitaka kuendelea kuamini kuwa alikufa, hilo ni chaguo lako, lakini Watanzania wote sio wajinga kiasi hicho.
 
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

inawezekana sanasana nikianagalia hiki kikaragosi yalio mkuta MJ alikuwa black mpaka akawa white , ila hawezi kushinda kifo ukisoma novel ya sophies "the history of philosophy" kuna great thinker mmoja alimention momento mori akimaanisha [Remember that you must die]

15313_112779815408909_100000306738583_147382_1310839_n.jpg
 
Kumbe kufa au kutokufa kwa balali ni swala la kisiasa nalo?..................kweli siasa yetu .... kazi ipo

Au hii story haiko mahali sahih???????????..
 
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
kama kawa muhindi, why tinted car?
 
JFs;
Labda kuna ajuaye BAlali aliugua ugonjwa gani hadi mauti yake?:peep:
 
kuweni makini msije mkashitakiwa kwa kumzushia balali kifo maana maiti yake haikuonekana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom