Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

we nawe unaboa
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

we nawe unaboa si uweke picha zake
 
MOD Tafadhari naomba Funga huu mjadala kwa usalama wa hii forum.

Usalama upi unaozungumzia wewe?

JK and EL wanagaragazwa hapa kila siku na mods wanaacha?

Hicho mnachikimbizia threads za Balali ni nini?

Umejitia una simanzi, sasa unakuja na swala la usalama????
 
Mwacheni Mzee Balali apumzike kwa amani, kama angekua hai ingejulikana tu..
 
Wabongo tunajua kuwa Bw Balali ni marehemu. Alifariki na kuzikwa USA, hakuna aliudhuria hayo mazishi wala kupatikana kwa picha za hayo mazishi. Hivi karibuni kupitia mtandao wa twitter kajitokeza mtu anayedai kuwa yeye ni Bw Balali. Kuna gazeti liliandika kuhusu hiyo ishu. Cha ajabu bado huyu mtu anaendelea kutoa "tweets" kila mara. na leo kaweka picha anasoma kitabu pande za kwa obama. Je kama kweli huyu jamaa is indeed ALIVE! inakuwaje hapo ndugu zangu watanzania?
Hizi thread zingine zinapelekea tuu watu wa usalama wazidi kujiandikia miposho ya kwenda ulaya kupunguza uwezekano wa yeye kujitokeza hadharani
 
Hizi thread zingine zinapelekea tuu watu wa usalama wazidi kujiandikia miposho ya kwenda ulaya kupunguza uwezekano wa yeye kujitokeza hadharani

Bila hata ya Balali pesa zinaliwa tu kwenye shamba la bibi.:A S 13:
 
kama ni yeye kweli au........am not sure ila nlipita tuu kwenye twitter nkakutana na charting za balali ( yeye kweli au sio cjui) na picha imewekwa akiwa shop ( si commit ukweli au uhalisia wake mana sina uhakika hata mimi binafsi). Nashare tuu nlichokikuta twitter........



18 Mar Daudi Balali ‏ @daudibalali

Purchasing groceries in Lauer's Maryland on Friday, 16th March 2012. http://twitpic.com/8y30xe

View photoHide photo

Flag this media
TwitPic.png
TwitPic




 
daudi ba;la.jpg
november-13-2012-Balali.jpg
november-13-2012-Balali.jpg
Nimefuatilia kwenye mtandao wa twitter na nimekuta Daudi Balali ni member na ana followers wengi tu.
Na hata kwenye website ya millard Ayo ameweka twittes zake mbalimbali.
Wadau ni vp jambo hili
 
Ni kweli. Wenye mitandao yao siku hizi hata ukifa unaendelea kuishi. Hivyo huyo jamaa awe hai au maiti anaweza kuendelea kuchonga. Na isitoshe mtu yeyote anaweza kufungua akaunti kwa kutumia jina la Balali.
 
Hii ni hatari sana.. Bora tujue yuko hai au hizi akaunti zifungwe daima
 
Jamani, hatuchoki? Hata lini huu mchezo wa kuchezea mawazo ya watu utaendelea hadi lini. Hii kitu ikiachwa ikiendelea itaathiri sana wananchi - maana hizi kashfa za BOT, na hisia za kuwa tulidanganywa kuwa balali kafa, zitaendelea daima so long as kuna watu wanazichochea moto namna hii, taratiibu! Ama ni psychological torture kwa wahusika au ni vitisho vya kitoto kutoka kwa watu wenye muda wao!

Kwa vyovyote vile, serikali ilipaswa kulifikisha hili swala mwisho, kwa kuchora mstari. Na sio kulitumia hili suala kucheza siasa chafu, kwa faida ya wajinga wachache.
 
hata akifa account haifi...au hujui account za kanumba zna exist.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom