Losomich
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 371
- 71
Salaam ndugu.......uwapo mgeni sharti kusalimia wenyeji wako. Natimiza wajibu
Olesaidiimu keyaa? Karibu sana lepalai kake ing'urai miilotu amtaa ilashumba leiking'a.
Salaam ndugu.......uwapo mgeni sharti kusalimia wenyeji wako. Natimiza wajibu
duh! Hii kali, wizi, ufisadi mbaya jamani!Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed. Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
Small Boy. Ndio maana juzi nilimuona Mhindi mmoja pale mtaa wa Swahili akila chips kavu, nikawa najiuliza ni Mhindi gani yuleee? Aaah, kumbe ni Balali? Nikikutana nae tena ntakutonya. Nipe namba yako ya cm eeenh?
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
Kwani wewe huamini kama balali anaishi?watanzania tuna DEGREE ya kutunga saana , story kama kwenye kile kitabu cha nchi ya'' kusadikika''
Wabongo tunajua kuwa Bw Balali ni marehemu. Alifariki na kuzikwa USA, hakuna aliudhuria hayo mazishi wala kupatikana kwa picha za hayo mazishi. Hivi karibuni kupitia mtandao wa twitter kajitokeza mtu anayedai kuwa yeye ni Bw Balali. Kuna gazeti liliandika kuhusu hiyo ishu. Cha ajabu bado huyu mtu anaendelea kutoa "tweets" kila mara. na leo kaweka picha anasoma kitabu pande za kwa obama. Je kama kweli huyu jamaa is indeed ALIVE! inakuwaje hapo ndugu zangu watanzania?
picha iko wapi ileta hapa kama sio uzushi:hand:
Kwani wewe una maoni gani kuhusu hili?Wabongo tunajua kuwa Bw Balali ni marehemu. Alifariki na kuzikwa USA, hakuna aliudhuria hayo mazishi wala kupatikana kwa picha za hayo mazishi. Hivi karibuni kupitia mtandao wa twitter kajitokeza mtu anayedai kuwa yeye ni Bw Balali. Kuna gazeti liliandika kuhusu hiyo ishu. Cha ajabu bado huyu mtu anaendelea kutoa "tweets" kila mara. na leo kaweka picha anasoma kitabu pande za kwa obama. Je kama kweli huyu jamaa is indeed ALIVE! inakuwaje hapo ndugu zangu watanzania?