Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
MOD naomba uifunge hii topic maana inatupa simanzi sana.

Wala huna hata haja ya kuomba, Mods watainyofoa hapa muda wowote, maana swala na Balali linaogopwa humu ndani kuliko kitu chochote kile.

Mtaniambia.
 
View attachment 49779
hii nimeikuta leo kwenye gazeti la fahamu.gazeti jipya

Hili sio gazeti jipya bali ni gazeti la chama cha CUF.Lilikufa kama miaka mitatu iliyopita baada ya viongozi wa CUF kushindwa kuliendesha.Baada ya CUF kuwa hoi kisiasa viongozi wa CUF wameamua kulirudisha kwa ajili ya propaganda ya kisiasa.Hili gazeti kabla ya kushindwa kujiendesha na kusimama lilikuwa linatoa makala kali za kukashifu Ukristo na CDM.Niwaombe wahariri waache tabia hiyo ya awali kwani wananchi watalisusia tena.
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

Wewe Mr Emmy una mambo mazito sana!!
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

tubandikie hapa picha yoyote ya mazishi au akiwa ndani ya jeneza mkitoa heshima za mwisho ili tuamini unayo yasema. Unafikiri kuwa ndugu wa karibu wa Balali ni sifa apa Tanzania? kwanini kama ni ndugu hamtoi majibu ya maquiz kama haya?
 
View attachment 49779
hii nimeikuta leo kwenye gazeti la fahamu.gazeti jipya

Tatizo la mtu kutohudhuria mazishi ni kuzaa utata kama huu, kama mtu angehudhuria au kama kashindwa kufika/kuwahi katika mazishi basi huweka mchanga,mawe au nyasi katika kabuli la marehemu kama ishara au kumbukumbu ya kwamba ameshiriki katika mazishi.
Sasa huyo bw Balali kama kweli kafanyiwa yote hayo na ndugu,jamaa,marafiki na wengineo waliopata wasaa na bado anaonekana, basi huyo ni mzuka huku tunaita msukukule.
Kama kweli yuko hai atakufa tu.LAZIMA AU ATAONEKANA ILI KUAIBISHA NA KUKANUSHA JAMBO BAYA NYUMA YAKE.
Hakuna mtu anayejificha milele. Hata Osama bin Laden alizushiwa kifo na majeshi ya Marekani baada ya muda alijitokeza na kurahisisha kifo chake halisi.
Sasa ndugu wa Balali kazi kwenu,mfichue msukule au mkubali laana ya mtu ahi kuitwa maiti.

Kule Iringa kuna team ya Soccer inaitwa Balali na week iliyopita imepokea vifaa vya michezo kutoka kwa mdhamini wake mkubwa Daud Balali.
 
Hapo nadhani mwana sheria mkuu wa serikali una haki ya kumshitaki mkurugenzi mkuu wa gazeti hilo kwa kutoa taarifa ya uongo kwa mujibu wa taarifa ambazo tayari serikali mlitutangazia. kama kweli serikali iko hai sidhani kama ufedhuli huu mtaukalia kimya, na endapo kama mkikaa kimya that means ni kweli yuko hai then tutawaomba wanasheria binafsi waishitaki serikali na vyombo vyote vilivyohusika ktk kutangaza kifo cha mtu ambaye bado anasema yuko hai.
Siamini kama suala la kifo cha mtu nalo ni la kivyama.
 
MKUU balali alikuwa baba yako?
Kinachokupa Simanzi ni nini?
Mbona watoto wa Nyerere hawajadai Threads za baba yao zifutwe?
Mkuu, una lako jambo.
huyu jamaa anayeweka kipima joto ni kada maarufu wa ccm, p u m ba f u
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

jaman yupo bwana ulizika wapi hadi mama yake hakwenda na nyumba ya mama yake mkapa alituma polis watu wasimbiguzi mama yake ikawa inalindwa? mwakilishi yupi wa serikali alienda kuwakilisha nchi? na jeneza la rangi gani lilitumika kuhifadhi mwili wake!
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

Wewe ni mnafiki sana tena miongoni mwa wanafiki duniani wewe ni number moja, fisadi mkubwa kabisa, una undugu gani na balali wewe? usiwadanganye watu bana tunakujua. Ndo maana hata humu unatumia id mbili tofauti ila kwa ufupi wa akili zako kuna vitu umeviacha vinafanana, mar Mr emmy, mada secondID, huna lolote, kwa hili nawe naona unafikiri kwa kutumia masaburi yako.

Hao ndugu wa balali ni feki na Hisi ni GAMBA fulani ameamua kujiita ndugu wa Balali
 
MKUU balali alikuwa baba yako?
Kinachokupa Simanzi ni nini?
Mbona watoto wa Nyerere hawajadai Threads za baba yao zifutwe?
Mkuu, una lako jambo.

Kuna nyuzi iliyokuja ikasema Nyerere yuko hai?
 
Wewe ni mnafiki sana tena miongoni mwa wanafiki duniani wewe ni number moja, fisadi mkubwa kabisa, una undugu gani na balali wewe? usiwadanganye watu bana tunakujua. Ndo maana hata humu unatumia id mbili tofauti ila kwa ufupi wa akili zako kuna vitu umeviacha vinafanana, mar Mr emmy, mada secondID, huna lolote, kwa hili nawe naona unafikiri kwa kutumia masaburi yako.

MOD Tafadhari naomba Funga huu mjadala kwa usalama wa hii forum.
 
Naomba mjadala wa balali ufungwe. Watanzania hatuna destuli ya kuwasema vibaya watu waliotangulia mbele ya haki.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom