![]()
Kama photo shop vile
Zinakutosha kichwani? Akitokea kichaa mmoja akakaa plae mnazi mmoja akajiita mwalimu Nyerere wewe utaamini ni yeye kweli?Wabongo tunajua kuwa Bw Balali ni marehemu. Alifariki na kuzikwa USA, hakuna aliudhuria hayo mazishi wala kupatikana kwa picha za hayo mazishi. Hivi karibuni kupitia mtandao wa twitter kajitokeza mtu anayedai kuwa yeye ni Bw Balali. Kuna gazeti liliandika kuhusu hiyo ishu. Cha ajabu bado huyu mtu anaendelea kutoa "tweets" kila mara. na leo kaweka picha anasoma kitabu pande za kwa obama. Je kama kweli huyu jamaa is indeed ALIVE! inakuwaje hapo ndugu zangu watanzania?
Acheni kumchulia kifo mwenzenu
![]()
Sio photo shop hii?
huyu jamaa anakula bata sana