Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
solo thanga anakwambia - '' shemeji nae kazikwa bila hata picha ya kaburi''- miss tanzzniz,,,, jiulizee
 
Mbona hata wewe unaweza kufungua akaunti kwa jina la Nyerere na ukajifanya ni Nyerere unaandika kutoka ahera? Kwenye mitandao hiki si kitu cha ajabu wala hakihitaji mjadala.
 
inabidi tuwe na sheria kwenye matumizi ya majina ya watu wengine kwenye Social Media
imagine mtu anatumia jina kama Zito Kabwe alaf anaanza kutukana chama tawala,
in the end, Mhe. Mbunge anapoteza credibility kwa makosa ambayo hajayafanya.

nahisi anayetumia account tenye jina la Daudi Balali anasababu zake za msingi
 
Jaman huyu mtu bado yupo hai na anakula bata gazeti la FAHAMU cku ndo linazinduliwa lilitoka na habari yake huyu mtu ukurasa wa mbele ikisema Its time to go home,na kuongea mambo meng sana jamaa yupo hai ila walisema kafa kuzuia mambo flani na ameanza kujiachia kwa sababu flan flan za mambo ya kulipuana hii ni TZ wanachezea bongo zetu
 
Vijana amkeni, hili ni changa la macho kwenu. Tafsiri hii na iboreshwe na wachumi wa nchi hii.
Lifanyiwe kazi.
 
Mtahangaika weeeeeeeeee mwenzenu anaendelea kula bata tu, kwani lazima aje tz dunia kubwa hii.

Ila kuhusu matumizi ya mtandao itakuwa ni mtu mwingine ndo anatumia hilo jina

We unadhani angekuwa ni yeye magamba wangemuacha, wangemwambia acha hiyo kitu cz wananchi wanajua wewe ni marehemu nw.
 
Unajua yote mawili yanawezekana kabisa. Huyu jamaa inawezekana kabisa yuko hai au kweli amekufa. Lakini siku zote ukweli hujidhihirisha, ipo siku kama kweli huyu jamaa yuko hai, atajitokeza hadharani tu. It's just a matter of time. Kama kweli amekufa pia tutajua tu. Kuna watu hawana kazi za kufanya, watu hawa hutumia majina ya watu wengine kwenye mitandao kwa kujifurahisha wao na kuwachafua wengine. Mtu yeyote anaweza kuingia kwenye mtandao na kutumia jina la mtu yeyote yule awe hai au amekufa. Mimi binafsi sishangai kabisa. Inawezekana Balali akawa hai some where, Serikali nyingi duniani zina uchafu mwingi sana.
 
Inawezekana mizimu ina uwezo wa kuingia mtandaoni
 
Hii habari niliwahi kuiona kwny gazet la The Gurdian huku wakiweka acc no yake ya twiwer ikiwa na code no ya USA! Then later kwny gazeti la Fahamu (the same date) kama mama Kokuu alivoteta hapo juu!

Swali ni je kama kwl alifariki huu c ni uchochezi wa vyombo vya habari? Ukizingatia alikuwa mtumishi wa serikali na akatuhumiwa kwa ufisadi, serikali kwa nn isifungie ama kuyatolea kalipio kali haya magazet yaliyotoa hiyo habari hizi? Tuamini MWANAHALISI ndiye mchochezi pekee?

Kuwa kimya it means he is still alive, kama ndivyo bac serikali ilihusika kutuhadaa watz!

Hukumu yao yaja 2015! Pipoooooozz! ! !
 
Ndugu zangu baada ya kusikia mama Meghji karudi kuwa mtunza hazina wa CCM kichwa changu kimepata simanzi na Taifa tulilonalo, kwa lugha nyingine watanzania muelewe kesi zote za EPA ni danganya toto kama CCM imerudi kumuamini huyu mama ambaye ndie alikuwa singnatory mkubwa wa fedha za EPA, naomba mwandishi yeyote wa habari akikutana naJK amuulize DR. Balali gavana wa zamani wa BOT yupo wapi? kweli watanzania mnashikwa masikio sasa.
 
We wadhan hata ukimwuliza atajibu nn? Sitegemei jibu lolote la maana.....
 
We wadhan hata ukimwuliza atajibu nn? Sitegemei jibu lolote la maana.....

Rais mwenyewe ana Understanding capacity ndogo sana. Ukimuuliza swali gumu kama hilo itabidi akakremishe majibu kwanza toka kwa Rweyemamu
 
cha ajabu ccm ina wasomi na wachapa kazi wazuri na vijana wengi tu na ambao hawana damu ya kifisadi sasa badala ya kuanza kuwaweka watu kama hao bado wanarudisha magamba yale yale tuliyoyazoea, leo hii wanaweka mangula, meghi, kinana hivi wanapeleka ujumbe gani kwa vijana wa ccm? kwamba wako tayari kurudisha wazee kama akina meghi waliokua na maskendo huko nyuma kuliko kuweka vijana ambao wana damu safi na hawana skendo za kifisadi...nawaonea huruma sana wana ccm hasa vijana
 
Mkuu De'Levis ana majibu ya maswali yako!! Muombe aje atupe dondoo. Binafsi ningependa kujua kama huyu Mzee bado yupo kisiwani au vp, afya yake pia kuna kipindi alikuwa anaumwa, na atarudi lini Bongoland maana nakumbuka aliwahi kuahidi ila naona kama siku zinapita!!

De'Levis pleaseee njoo pande hii!!
 
Mwandishi gani wa tz anae weza muuliza swali hilo?Hawa Dhaifu anao waandalia maswali ya kuuliza???Labda kubenea na Gazeti lake ila hawa waganga njaa hawazei thubutu hata kidogo!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom