Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Unapiga promo ya gazeti, si aje tumuone!
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.
 
balali nilikutana naye canada yupo hai anaendelea kuponda mali za WATANZANIA
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

Kwa hiyo ndugu wa Balali walikwenda America kuzika??? Mbona hatukusikia mama yake, kaka yake au mjomba wake aliyesafiri kutoka Bongo kwenda kuzika??? Mke wa Balai akisema hivyo labda tutamuelewa......... siyo ndugu!!
 
Hajafa jaman ni mzima kabisaa anakula zake bata'! Achani kutudanganya wadanganyika kwa kiasi hiki hivi kama kweli alifarik kwa wadhifa wake as a gavana tushindwe kuona hata maiiti yake? Na kwanin azikwe nje ya nchi! Ni changa la macho hlo!!
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

lete video/picha ya mnato hapa balali akiwa kwenye jeneza ama lasivyo funga mdomo wako na ukae kimya milele
 
Ndugu wa balali.! ndugu gani acha kudanganya waungwana.!
 
lete video/picha ya mnato hapa balali akiwa kwenye jeneza ama lasivyo funga mdomo wako na ukae kimya milele

Ndugu yangu usiwe na hasira, kwani kila kifo hapa tanzania kinachukuliwa kwenye mavideo au mapicha? sio vyema kukumbusha majonzi yaliyotukuta.
 
Kwa hiyo ndugu wa Balali walikwenda America kuzika??? Mbona hatukusikia mama yake, kaka yake au mjomba wake aliyesafiri kutoka Bongo kwenda kuzika??? Mke wa Balai akisema hivyo labda tutamuelewa......... siyo ndugu!!

MOD naomba uifunge hii topic maana inatupa simanzi sana.
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

maiti uliiona wapi na ulimzika wapi?
Mamluki???
 
Sisi ndugu wa BALALI tunasikitishwa sana na hizi taarifa kwa kuwa tumeshalia na kusahau. Tuliiona maiti ya mpendwa wetu na tulimzika. Tafadhari sana tunaomba msitutoneshe majeraha yaliyoanza kupona.
AMIN
Ndugu wa karibu wa marehemu BALALI.

Habari za kufikirika tu hizi, mtu yupo mavuno house anajifanya yeye ndie balali
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom