Kuna tetesi mitaani kua jamaa kaonekana sehem flani za marekani, na aliyemuona pia bado yupo huko. Aliandika kwenye ukurasa wake kua mwenye picha ya balali amtumie ili ahakiki. Sijui jinsi ya kuaupload hyo link yake ya twitter, msaaada. Source.mimi
sasa kama amemuona si ina maana anamjua?? hayo ya kuhakiki yatoke wapi??Kuna tetesi mitaani kua jamaa kaonekana sehem flani za marekani, na aliyemuona pia bado yupo huko. Aliandika kwenye ukurasa wake kua mwenye picha ya balali amtumie ili ahakiki. Sijui jinsi ya kuaupload hyo link yake ya twitter, msaaada. Source.mimi
Aliandika kwenye "ukurasa wake" gani?Marhaba said:Aliandika kwenye ukurasa wake kua mwenye picha ya balali amtumie ili ahakiki.
Small Boy. Ndio maana juzi nilimuona Mhindi mmoja pale mtaa wa Swahili akila chips kavu, nikawa najiuliza ni Mhindi gani yuleee? Aaah, kumbe ni Balali? Nikikutana nae tena ntakutonya. Nipe namba yako ya cm eeenh?Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
Small Boy. Ndio maana juzi nilimuona Mhindi mmoja pale mtaa wa Swahili akila chips kavu, nikawa najiuliza ni Mhindi gani yuleee? Aaah, kumbe ni Balali? Nikikutana nae tena ntakutonya. Nipe namba yako ya cm eeenh?
Salaam ndugu.......uwapo mgeni sharti kusalimia wenyeji wako. Natimiza wajibu
Kuna tetesi mitaani kua jamaa kaonekana sehem flani za marekani, na aliyemuona pia bado yupo huko. Aliandika kwenye ukurasa wake kua mwenye picha ya balali amtumie ili ahakiki. Sijui jinsi ya kuaupload hyo link yake ya twitter, msaaada. Source.mimi
Wanajamii nimepata tetesi kuwa dr balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ya tanzania haijulikani alipozikwa na hata ndugu zake hawakuudhuria mazishi yake wala serikali haikutuma mwakilishi nataka kujua kama alizikwa au ilikuwaje?
Si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
Vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema Balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Z'bar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinted car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
Huyo jamaa mi namuonea huruma
cz yuko hai halafu amezushiwa amekufa na yy amekubali kisa ufisadi
eeeeeeee Mungu hebu naomba siku1 katika pitapita zake akutane na kiongozi wa CDM halafu ndo watajua mbichi na mbivu
najua tu wazee hawa sio wazushi watarusha live ili watz tujue
umenikumbusha waandishi wa habari walivyokatazwa kuingia ndani kwa mfiwa,
houseboy karudishwa getini leo hamna kazi.........hsgirl kapewa likizo ya muda
misiba mingine bwana........................