Balali yuko HAI - He is not dead

Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Kumbuka hii kauli ya aliyekuwa (PM) EL aliwaambia wana sisiem kipindi kile walipokuwa wanakomalia watu wajivue magamba na EL akatoa kauli hii kwa mkubwa wao na aliposema hivyo kimya kikatawala mpaka leo: ""Wakimwaga mboga Anamwaga Ugali"
 
Hili la Balali maadam tulishatangaziwa ya kuwa amefariki na amezikwa huko Marekani, tuliache maana hata suala la Sokoine lilikuwa na uzushi wa namna hiyo
swala la balali na sokoine halifanani
balali hakun am tu aliehurudhuria mazishi yake wala hakuna picha zozote zilizokuwa zinamuonesha akiwa amekufa-
ila ninachoamini ni kwamba kama yupo hai,kuna siku atapatikana tu na ukweli utajulikana
 
Huyo jamaa mi namuonea huruma
cz yuko hai halafu amezushiwa amekufa na yy amekubali kisa ufisadi
eeeeeeee Mungu hebu naomba siku1 katika pitapita zake akutane na kiongozi wa CDM halafu ndo watajua mbichi na mbivu
najua tu wazee hawa sio wazushi watarusha live ili watz tujue
umenikumbusha waandishi wa habari walivyokatazwa kuingia ndani kwa mfiwa,
houseboy karudishwa getini leo hamna kazi.........hsgirl kapewa likizo ya muda
misiba mingine bwana........................
 
kumbuka hata rais bush wa marekani aliutangazia uma kuwa osama amekufa, lakin ukweli umekuja kujulikana mwaka huu.
 
Waibe tu kwakudanganya wenzio ni wafu angali wako hai kwani uongo wao huohuo ndo itawamaliza
 
Hivi kwa mfano achukuliwe video na maeneo yanayonekana live na ya wakati huu serikali itajibu nini kujikosha??maana uongo mwingine kama nikweli!itakuwa aibu ya mwaka!

Jamaa yupo ila kajibadili sura. so huwezi pata hiyo video yake. hata ndugu zake kule Luganga-Mafinga wanajua yupo
 
Kwa kumbukumbu zangu Balali alioa na mke wake anatoka familia fulani inayojulikana kiasi kutoka musoma. Je huyo mke wake naye alikufa? Na kama yuko hai anaishi akijua mume wake yuko hai lakini anajiaminisha yeye na kuwaaminisha wengine kuwa mume wake ni mfu? Kitendawili kizito hiki!
 
kAKA HILI LA BALALI WEWE,ACHA TU NI KAMA UNATAKA KUGUSA KAGODA.NAKUSHAULI ACHANA NALO KWANI LIMEKWISHA GHARIMU MAISHA YA WATU WENGI MPAKA SASA.
 
Mi nilikutana nae chojo, akaniambia dogo mezea ntakutoa! Lakini mpaka leo kimya. Nimekaa huko mpaka nimerudi. Mafisadi bwana! Teh, teh teheee!
 
Jamani huko USA kuna Ma-great thinkers wengi tu ambayo kwa namna moja au nyingine walifanikisha maswla kadhaa yenye utata ikiwemo EPA,sasa wanashindwaje kutafuta ukweli wa jambo hili na kutujuza sisi wamatumbi tuliobaki nyumbani ili tupate kuwaumbua wanafiki?
 
Natangaza rasmi kumsaka, jaman Lazima tumpate.
Kuna tetesi kuwa mara nyingi yuko Bolivia,nch masikin kabisa,na ana nyumba huko,
na nch nyingine 3. Du Sirikali itaumbuka sana.
Kipaka...kipaka.. Kwanini usimsake kimyakimya? Huogopi wewe?
Kwa hili wanaweza kukuzima saa na dakika yoyote!
 
Hebu tufuatilie kule BOT kwamba nani amechukua mafao yake na tunaweza kujua mirathi imefunguliwa katika mahakama gani kwa sababu hinyo vit sio siri.
 
Duuuu kuna kitu hapa ngoja niwasiliane na retired cia afanye kazi hiyo jamaa yangu yupo dc
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom