Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Tusiwe watu wa mambo ya kusadikika BALAL yupo hai na ni siri kubwa kwa Taifa. hata akionekana uwanja wa ndege hapa bongo, tutaongea tuu ila hatutamfanya chochote. Mwacheni aishi kwani kama ni mauti bado atayakuta siku ikifika. 'We are always stands as invisible activists without any impact to the decision makers.'. Nchii hii iaenda tuu pasipo na Balal au CCM
 
Jamani si alikuwa na familia?Hebu watu wa dar chunguzeni hata majirani zake huko mtapata ukweli.
 
Hii ndio TZ.Sasa tuongelee ukombozi wa nchi yetu kwani imetekwa na kundi la mafia.
Shahidi mkubwa na muhimu wa DOWANS Mhs Mwakyembe kaenda India kutibiwa, au nayo ni mipango ya maghamba's kuficha ukweli ili ushahid upotee??????????
 
Tusiwe watu wa mambo ya kusadikika BALAL yupo hai na ni siri kubwa kwa Taifa. hata akionekana uwanja wa ndege hapa bongo, tutaongea tuu ila hatutamfanya chochote. Mwacheni aishi kwani kama ni mauti bado atayakuta siku ikifika. 'We are always stands as invisible activists without any impact to the decision makers.'. Nchii hii iaenda tuu pasipo na Balal au CCM
Nchi yetu inazidi kufilisika lakini na ukweli utajulikana siku moja!!!!!!!!!!!
 
Labda nae kafufuka kutoka katika makabuli ya Silver spring kama yesu.

Makubwa hayo.
 
balali-web.jpg


HILI NDILO KANISA LILILOENDESHA MISA YA KUMWOMBEA MAREHEMU DAUDI BALLALI, WASHINGTON DC. KULE MBELE KABISA NI JENEZA LENYE MWILI WA BALLALI .


Kanisa hili limenikumbusha mengi juu ya Balali.
Padre aliyehusika na ibada ya mazishi alipohojwa alisema yeye hakuiona maiti ndani ya sanduku kwani hakuruhusiwa kulifungua. Aliambiwa kuwa mambo yote yamefanyika nyumbani kwa Balali, na yeye alichofanya ni kuhitimisha ibada!
Tafuteni kwenye thread za nyuma suala hili mtalikuta:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kauli-mbalimbali-toka-kwa-watanzania-53.html
Soma mahojiano yaliyofanywa kati ya kinepi na padre mhusika.
 
Kifo yake ilikuwa na mazngira tata sn!
Mara oooh kazikwa kusikojulikana
ooo wanaohudhuria ni ndugu wa karibu
oooh kachomwa
asee nji hii khaaaaa
 
Mmmmmmmh!!, ila kwa kuwa ushahd bado ni tete juu ya hil, hebu ngoja tuiachie kwanza tume ifanye kazi yake maana twaweza zua makubwa halafu yakatushinda bure.
 
Bilali yupo hai, anakula bata kama kama., itakuwa wamemnunulia kisiwa huko carrebean.
 
Next tym mkimuona tu wasilianeni na FBI ili akamatwe na aje kujibu tuhuma zake
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom