Simiyu one
Member
- Jun 16, 2012
- 26
- 4
waislam bana, hivi nani ana authority ya kutoa kauli ya waislam Tanzania kati ya Shekh Mkuu na Shekh Kundecha?
nimesikitishwa sana na kitendo cha kiongozi wa jumuiya za kiislam ndugu yangu sheikh issa ponda kutangaza kuwa waislamu wasishiriki sensa kinyume na taarifa aliyoitoa mufti simba.mufti simba hata kama hautaki ndiye kiongozi mkuu wa waislamu hapa tanzania,kimsingi ndiye msemaji mkuu wa waislamu kama alivyo pengo kwa wakatoliki.kitendo cha kumpinga na kumdhalilisha mufti simba hadharani kinashusha hadhi ya mufti ,uislamu na waislamu wenyewe.hapa ndipo tunapoonekana watu tuliokosa maarifa na ujzi achilia mbali elimu.haiwezi kutokea padre yeyote akampinga pengo iweje sis waislamu tuanze kupingana na mufti wetu/huu ni udhalilishaji wa hali ya juu na unapaswa kusitishwa mara moja.
Huyu atakuwa hajasikia habari kuwa Pilau litakuwepo
harakati za waislam hazifanywi na bakwata. Waislam tunamuamini ponda
Kama nyie wenyewe mnabaguana, hicho mnachopigania mtakipata kweli??!
Hata nyie mnapingana na ndomaana kunamaaskofu wanakubali ushoga wengine wapinga, bakwata sio ya waislam wote, bakwata ni ya waislam ccm, we unakubali ndoa ya jinsia moja?Hapo ndipo uwa nawashangaa waislamu..ni watu wa ajabu na kusikitikia sana. Tazama, baada ya kelele zao za muda kuwa wanagomea sensa kiongozi wao katepeta tena hoi. Ni kweli kuwa BAKWATA ni moja ya taasisi za CCM japo waislamu hawataki kusema wazi hilo na wanajua vyema. Hii ni dalili kuwa kuna waislamu wanaleta chokochoko binafsi wakati taasisi yao imekaa na kutoa tamko hilo. Huyo Ponda anawezaje kupingana na mawazo ya taasisi kubwa na yenye uwakilishi wa waislamu wote?
Nimekuwa nikisema hapa mara nyingi uislamu ni dini nzuri ila kuna wahuni na wajinga wachache wanaifanya ionekane kama dini ya kigaidi na wapenda vurugu nk. Mufti kadhihirisha ukweli kuwa Radio Imaan na TV imaan ni majanga kwa taifa hili. Ni wachochezi na wavuruga amani.
Kama nyie wenyewe mnabaguana, hicho mnachopigania mtakipata kweli??!
Nahisi kama uwezo wa watu kufikiri umepungua kwa kiasi kikubwa sana. Hivi kweli watu wenye akili timamu wanaweza wakaja na hoja za kipuuzi namna hii kupinga vitu vya msingi namna hii!
Hawa jamaa nadhani wana kiu sana ya damu, sijui wanataka kuyanywesha yale yaliyofukuzwa mbinguni? Yaani kila kukicha wanatafuta sababu za kuvuruga amani! Washindwe katika Jina la YESU.
83/17 huijui?[/QU Siyo tu kama siijui bali pia sijawahi kuisikia labda ufafanue zaidi mkuu!
akili ndogo inaongoza akili kubwa[/QU Akili ndogo ni ya nani na kubwa ni ya nani?
Waislamu hawakutaka wao kuhesabiwa ila walikuwa wanaomba kipengere cha dini kiwepo kama zinavyowekwa katika fomu mbalimbali kama umewahikutana kujaza,mfano za utumishi zipo zenye kipengere hiki,za vyuo nk.
Lakini jambo hili kwa sasa halipo tena kama jumuia ya waislam lilisha sawazishwa na tamko la kufuta kauli hiyo ilishatolewa na mamlaka husika.
Kama bado lipo basi ni kwa matakwa ya mtu binafsi,ajitokeze hapa aeleze lengo lake ni nini.
Hivi endapo mtagoma then zoezi likafanyika,mtafaidika nini? Naamini siyo wote,naomba wanaJF wenye data mwageni hapa-kwa nini waislamu wanataka wajue idadi yao tofauti na wapagani na Wakristo
Connection ya dini na sensa siipati. Huu ni udini uliokithiri
waislam wamekataa kuhesabiwa kwenye kongamano lilofanyika jumapili jijini Arusha
wakitoa msimamo wao wamesema hawaoni umuhimu wa kuhesabiwa bila kipengele cha DINI kwani kilikuwepo kikaondolewa bila maelezo sasa waislam wanataka kipngele hicho kirudi tupate takwimu sahihi ambazo zitatumika na wadua wa maendeleo na jamii mbalimbali, kinnachoshangaza ni kwamba watahesabu nyumba za ibada bila kuwahesabu wanaosali humo. idadi ya misikiti na makanisa yanini wakati wanaosali humo hawahesabiwi.
waislam waweke bango la "Hatuhesabiwi" kwenye milango yao
mwongozo wa sensa wa UN unaelekeza kipengele cha dini na dhehebu kiwepo angalia website yake un.org