MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,097
- 15,033
Kwako MtamaMchungu ni haki itafuatwa
Haki ipi? Mbona haisemwi? Mnatakaje, tuanze religion profiling kila eneo?
Last edited by a moderator:
Kwako MtamaMchungu ni haki itafuatwa
MM,Kwako Mohamed Said, hivi kipengele cha dini kikiwekwa then matokeo ya sensa yakasema waislamu ni wengi kuliko wakristo, nini kitafuata?
MM,
Mbona hilo swali umelielekeza sipo?
Ingependeza sana kama ungewaulizawahusika.
Kwako Mohamed Said, hivi kipengele cha dini kikiwekwa then matokeo ya sensa yakasema waislamu ni wengi kuliko wakristo, nini kitafuata?
MM,
Mbona hilo swali umelielekeza sipo?
Ingependeza sana kama ungewaulizawahusika.
MM,
Mbona hilo swali umelielekeza sipo?
Ingependeza sana kama ungewaulizawahusika.
Maju,
Ungeweza sana kutoa fikra zako kunipinga bila ya kutumia neno "ujinga" hilo ni tusi.
Mimi si mjinga na hiyo haijapata kuwa sifa yangu.
Jenga hoja tujadiliane bila ya matusi kwani huu ni mjadala tu hatugombani.
Kwa ajili hii hapana haja ya mtu kumtukana mtu khasa kwa hii sifa tuliyojipa sie wenyewe, "The Great Thinkers."
Umetaja majina.
Hayo ni machache sana katika uendeshaji wa nchi.
Inabidi uangalie ni watu wa dini gani wamehodhi fursa za utendaji wa kila siku na uadilifu wao katika kutoa haki sawa kwa jamii.
Ndiyo maana unaona Kanisa linapewa na serikali fedha nyingi kuendeleza miradi yake chini ya MoU kitu ambacho sisi Waislam hatuna. Sasa vipi mtu atusimange kwa kukosa msaada huo na kumtaja Sabodo.
Ama kuhusu kujipanga na kufanya mambo ya maendeleo Waislam hawana fursa na uhuru wa kufanya hivyo kama ndugu zao Wakristo kwa sababu serikali imepanga kuvunja bidii hizo.
Nadhani unakijua kisa cha Sheikh Hassan bin Amir (mmoja wa masheikh waliokuwa mstari wa mbele katika kimjenga Nyerere na kupigania uhuru wa Tanganyika), mgogoro wa EAMWS na kuvunjwa kwake na Nyerere kwa shinikizo la Kanisa Katoliki ilipodhihiri kuwa wanajenga Chuo Kikuu. Hii ilikuwa mwaka 1968 ilipoundwa Bakwata ambayo Waislam wameikataa kwa kuwa haikuundwa na Waislam bali Nyerere.
Waislam tumefanya mengi katika hali hii ya kukandamizwa na Kanisa na Serikali yake.
Tumefanya juhudi za chinichini kupambana na serikali na kanisa hadi hapa tulipofika.
Hapa tulipo leo ni safari iliyotuchukua miaka 40.
Hakuna Muislam ambae hajui kuwa ipo dhulma.
Hii leo Bakwata haina watu wana ofisi na kushikilia mali za Waislam.
Nadhani unashuhudia harakati nyingi sana nchi nzima ambazo Bakwata wala hawatajwi.
Tumejenga shule nyingi pembezoni mwa kila msikiti nchi nzima kwa jasho letu wenyewe na juu ya hayo tunafanyiwa hujuma.
Hivi sasa tuna matatizo makubwa na NECTA kwa kuhujumu watoto wetu.
Serikali tumeifahamisha hilo kuwa hiyo NECTA ni mmoja wa mkono wa Kanisa.
Serikali iko kimya.
Majibu ya shida zetu zinatolewa na waumini wa Kikristo ndani ya JF.
Unaweza kuyapata hayo katika sehemu ya tatu ya kitabu changu, "Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes..."
Hayo yote ulosema majibu yake yamo humo.
Ukipenda naweza nikakuwekea sehemu yote ya tatu hapa jamvini ila nachelea ni ndefu mno singependa kuwachosha wasomaji.
Mimi sikusema kuwa Waislam ni wengi nimeeleza kwa kufanya rejea za wasomi wengine na kati ya hao wapo walosema Waislam ni wachache na Wakristo ni wengi.
Nakushukuru sana kwa mchango wako mzuri ambao umenifanya nami nihamasike kukujibu lau kwa muhtasari.

Apo kwenye blue unamaanisha hizi madrasa ninazoziona huku mitaani kwenye kila msikiti?? Ebu kuweni serious bana elimu is beyond madrassa...halafu hata shule chache mlizonazo hebu wekeni wataalamu waliobobea kwenye elimu acheni kuweza wafujaji kibao muajiri walimu wenye sifa karabatini miundombinu......i visited Al Harramain and Kinondoni muslim ss actually they are at pathetic situation.....sijui zilizopo mikoani kama makao makuu panakuwa vile...unaweza kulinganisha na shule ipi ya kikristu iliyopo hapa mjini?? Hakuna uchawi wala kubebana hapo.....Pamoja na kuzawadiwa chuo cha walipa kodi wa nchi hii kule morogoro bado mnapeleka failures.Tumejenga shule nyingi pembezoni mwa kila msikiti nchi nzima kwa jasho letu wenyewe na juu ya hayo tunafanyiwa hujuma.
Hivi sasa tuna matatizo makubwa na NECTA kwa kuhujumu watoto wetu.
Serikali tumeifahamisha hilo kuwa hiyo NECTA ni mmoja wa mkono wa Kanisa.
Serikali iko kimya.
.
Kwako Mohamed Said, hivi kipengele cha dini kikiwekwa then matokeo ya sensa yakasema waislamu ni wengi kuliko wakristo, nini kitafuata?
Angalau umekuwa wazi kiasi cha kutosha...kumbe mnapopewa nafasi mnaingiza udini kwenye taasisi za umma sio?? Kumbe ninyi mnapambana na kanisa sio?? hapo ndipo mnapochemsha .......Na wala milango ya kuzimu haitalishinda......Mathayo 16:18....wakati mwingine huwa nawahurumia sana kwakuwa hamjui mtendalo wala mnalopaswa kupambana nalo...badala ya kupambana na umaskini ujinga na maradhi ninyi mnapambana na kanisa...You are wasting your precious time....fanyeni kazi....wenzenu wana ujumbe ......sala na kazi....huo ndio ukombozi pekee wa kuondokana na hali mliyo nayo...waambie ndugu zako huku pwani waache uvivu wakwee kwenye minazi na wasisubiri eti nazi zidondoke....Hapo hakuna miujiza
Kwamba mmeikataa BAKWATA kwakuwa imeundwa na Nyerere.....shukurani ya punda ni mateke...mkisaidiwa mnaishia kutukana na kutoa kejeli....na sasa if at all uko sahihi mnataka serekali iwaundie mahakama ya kadhi.....watoto wenu watajasema hatuitaki iliundwa na serekali..
Hiyo MoU inawatesa sana wakati nanyi mnatibiwa na kusoma kwenye hizo shule za kanisa?? Kwani wanahudumia watu kwa kuangalia vyeti vya ubatizo?? Wekezeni miradi ya maana nanyi muingie MoU yenu acheni kununua Loud Spika na kufunga kila mahali mkitnga kuwa Yesu si Mungu na kufadhili vikundi vya kufanya vurugu...haya hayawafikishi popote na nasisitizi adui wenu ni ninyi wenyewe badilikeni acheni kulalama.
Apo kwenye blue unamaanisha hizi madrasa ninazoziona huku mitaani kwenye kila msikiti?? Ebu kuweni serious bana elimu is beyond madrassa...halafu hata shule chache mlizonazo hebu wekeni wataalamu waliobobea kwenye elimu acheni kuweza wafujaji kibao muajiri walimu wenye sifa karabatini miundombinu......i visited Al Harramain and Kinondoni muslim ss actually they are at pathetic situation.....sijui zilizopo mikoani kama makao makuu panakuwa vile...unaweza kulinganisha na shule ipi ya kikristu iliyopo hapa mjini?? Hakuna uchawi wala kubebana hapo.....Pamoja na kuzawadiwa chuo cha walipa kodi wa nchi hii kule morogoro bado mnapeleka failures.
Apo kwenye Red Wewe ni Muislamu?? Ulihujumiwa?? Wanao walihujumiwa?? unafahamu utaratibu wa kusahihisha Mitihani na kwamba watu hawatumii majina yao....Hao wanaofaulu je imekuwaje hawakuhujumiwa....umewahi kujiuliza mbona Feza SS "hawahujumiwi??" Au ni Wakristo wale?? unaweza fanya utafiti tembelea shule zinazoongoza then urudi kwenye hizi shule zenu zinazoshika mkia majibu utakuwa umeyapata... kiukweli mnasikitisha na msiwe wavivu kufikiri adui wa maendeleo yenu ni ninyi wenyewe...
Apo kwenye Kijani Unadhani kwanini serekali ipo kimya??ni kwasababu nayo ni "ya kanisa??" Yaani kikwete, dk Idrissa, Kawambwa na mtangulizi wake Magembe na Mwantumu wooote hawa waliungana na kanisa kuwahujumu waislamu?? Ivi huwa mnadanganyana au mnadanganywa??
Hawa jamaa wanajikanyaga kila siku....hapo majuzi waligoma kuhesabiwa,ghafla Mufti mkuu akatoa rai na kuomba waislamu wote wajiunge na kuacha mambo ya kusema kwamba hawatoshiriki sensa,Kisha kesho yake sheikh mkuu wa Dsm akasema Mufti sio msemaji wa waislamu tanzania?Hivi mbona hawa watu hawana msimamo?Huu mpasuko uko miongoni mwao na wanavutanavutana sasa sijui tatizo liko wapi......
Si tegemeo letu tupewe majibu na watu wasiohusika na matatizo hayo.
Ingekuwa bora majibu yangetoka kwa hao tunaowalenga lakini kwa bahati mbaya wako kimya.
Mengi tumeeleza na kama unafuatilia maandiko yangu nadhani umeshaelewa tulisemalo.
Yapo majibu yanaweza kutoka ndani ya jamii na yapo yale yanayostahili yatoke kwa wenye dhamana.
Tunasubiri wale wenye dhamana watupe majibu.