Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,492
- 33,051
Ahhh,kumbe habari yenye imekuja kuelekea uchaguzi,maana nao imekuwa posted juzi tu.
Waliokosa Madaraka BAKWATA utawajua
Hembu tuambie huyo Abdul Skykes alikuwa nani na alifanya kazi sehem zipi wakati wa uhai wake,
Ili tujue unafikia wake.
Halafu Uandishi wenyewe wa kizamani kweli,hauna ushahidi wa kutosha.
Hembu aseme ni viongozi gani kwa majina waliowekwa kizuizini kisa udini wakati huo.
Ili nimtajia viongozi wakubwa wa Kiislam waliokuwa madarakani wakati huo
Aaache inafiki,ndio wale wale,nyie mnachangia humu ila yeye amewasaidia tu kuwawekea kitabu chake cha uandishi mbovu kweli sijawahi kuona.Yaani mwenye akili kabisa unaweza ukasoma hapo ukaelewa?
Yaani hiyo ndio eti sehem ya Kwanza,huko mwisho kutaeleweka kweli.Hovyo kabisaa,aibuu
Na kwanini Kenya na Uganda wao hawalalamiki kuhusu kuvunjwa kwa umoja huo ila sie tu.
Hivi hujui hata Wakristo kuna Taasis zao zilipata kashkash kubwa sana kwenye baadhi ya Nchi?
Hata kama huo umoja ungekuwepo,bado BAKWATA ingeundwa tu.Hizo Nchi zoote za Kiarabu zina Taasisi zao ndani ya nchi na zinajitegemea kama BAKWATA,na pia wanataasisi ya Nchi za Kiarabu na pia kuna Mabaraza ya Taasisi za Kiislam duniani ambapo BAKWATA imo.
Na sio kweli kwamba Baraza la Waislam Kenya na Baraza la Waislam Uganda na BAKWATA hawashirikiani.Wanashirkiana saana tu.Na ukifuatilia kuna Mikutano mikubwa imekuwa ikiandaliwa na taasisi hizi.Na hata ukifuatilia Maziko makubwa ya Viongozi wadini Taasisi hizi zimekuwa zikitoa watu maalum kwenda Kuhudhuri mazishi.
Historia ukiigeuza unavyotaka wewe,basi itakupeleka kulingana na akili yako inavyotaka.
Halafu Mwambie Mwandishi,Vitabu au makala haziandikwi hivyo
Zanzibar Spices,
Ombi langu kwako ni tujikite katika hili darsa langu.
Ningefurahi kama utaniuliza maswali kutoka katika hii BAKWATA Sehemu ya
Kwanza ili tusichanganye maudhui.
Ikiwa unaona ni muhimu nikupatie majibu kwa haya maswali yako bora
ufungue uzi mwingine.
Kuhusu uandishi wangu nakuwekea hapa baadhi ya vitabu na ''papers,''
nilizoandika:
1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children's book).
3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).
13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).
14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).
15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).
16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, and Nairobi.
17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.
18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.