BAKWATA ni tawi la Kanisa

BAKWATA ni tawi la Kanisa

Status
Not open for further replies.
wanataka wawe huru kuunda taasisi yao wenyewe
Hata wakiunda taasisi gani bado watalalamika tu, hawa ndugu zetu hawawezi kuwa huru maana wamemkataa wa kuwaweka huru. Mungu ndio muhukumu wa wanadamu lkn wao wameamua kuchukua nafasi yake kuwaua watu wengine wakijifanya wao wana haki. Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio.
 
kweli kabisa niwaimsikia shekhe Ponda akisema eti ikulu na ofisi za bakwata ni parokia..
 
jaribuni kutafuta historia ya EAST AFRICA MUSLIM WELFARE SOCIETY NA HII YA BARAZA LA WAISLAM TANZANIA....Mtajua maana yake... lakini niseme tu kwamba BAKWATA SI TAWI LA KANISA ILA NI TAASISI YA SERIKALI, NA SI YETU SISI WAISLAMU.....

Wewe Shiite au Sunni?
 
Aah sasa hicho chombo si kinadhungumziaga Dini Yao iweje tena waseme ni tawi la kanisa?
Hii naifananisha na mtu anaelilia kitu asichokijua.
 
Sikuwepo wakati nchi hii inaingia mikononi mwetu ila nilicho kikuta ni kwamba NCHI HII HAINA DINI kuwa SI YA WAISILAMU SIO YA WAKRISTO WALA FREEMASON WALA WALE WENYE IMANI ZAO WANAZO ZIJUA WENYEWE! hawa wenzetu sijui huwa wanatafutaga nn! Mf mahakama ya kadhi' na wakisto wana mahakama ipi? na kwa lipi haswa'! watakua na magereza yao au watawafunga misikitini!

Niliwahi kumsikia ustadhi mmoja akiwambia wenzake na kuwahimiza wasomeshe sana watoto wao ili hapo mbereni wasipate tabu kupitisha mambo Yao kama mahaka ya kadhi nk.
Lakini wamesahau kuwa nchi hii inaongozwa na sheria isiyo ya dini lakini ili kuitumikia lazima uApe kwa vitabu vitakatifu
 
Huko ndio ukweli.Madrasa zinafungwa hawajishughulishi ila likija swala la mwezi ndio wanajifanya wana mamlaka ya kuwafungulisha waislam
 
Mwalim nyerr alisema dhambi ya ubaguzi haiishi ni kama kula nyama ya mtu...ukiwabagua wale baadae mnabaguana wenyewe,angalia bokoharam wanavyoua waislam wenzao na kujilipua kwenye misikiti
 
Nyerere baba mleziii eeeh,, ule wimbo naupenda sana. Jamaa alikuwa mastermind wa vitu vingi sana aisee
 
Mwalim nyerr alisema dhambi ya ubaguzi haiishi ni kama kula nyama ya mtu...ukiwabagua wale baadae mnabaguana wenyewe,angalia bokoharam wanavyoua waislam wenzao na kujilipua kwenye misikiti

Huyo Nyerere mwenyewe alikuwa mbaguzi namba moja iweje aseme kwamba dhambi ya ubaguzi itatumaliza??
 
Kua BAKWATA ni tawi la serikali na imeundwa kuisaidia serikali pamoja na Chama Tawala (CCM) hii naiamini kabisa, haina shaka na ni ukweli mtupu. Bakwata ni taasisi mojawapo tu kundi moja na Jumuia ya Wazazi CCM, UWT & UVCCM.

ila Kua BAKWATA ni tawi la kanisa hii siiamini na haina ukweli wowote.

Haya ndio maneno ya mitaani na yapo siku nyingie kwenye watu wenye Uelewa finyu,
Hii hoja yako dhaifu kama mti kichwa maji na inavyoongelewa mitaani ukiigeuza inakuwa kwamba
CUF ni tawi la UAMSHO na Waislam wenye misimamo mikali ndio maana wamejitenga kwenye Kugawana Majimbo
na Chadema ni Wakatoliki
Sasa UKAWA imekaaja hapo kama sio kinafikia

Haya mambo ya Dini kuingiza na Siasa ni sheeda sana,maana wengi ni wafuata mkumbo tu.Uelewa zero kabisaaa.
 
jaribuni kutafuta historia ya EAST AFRICA MUSLIM WELFARE SOCIETY NA HII YA BARAZA LA WAISLAM TANZANIA....Mtajua maana yake... lakini niseme tu kwamba BAKWATA SI TAWI LA KANISA ILA NI TAASISI YA SERIKALI, NA SI YETU SISI WAISLAMU.....

Mbona mnataka mahakama ya kadhi itambuliwe na katiba ya serikali ya Tanzania na iongozwe kwa pesa za serikali?
Je ni nini tofauti kati ya Bakwata na mahakama ya kadhi?
 
BAKWATA ni Tawi la CCM, iliundwa baada ya kuvunjwa EAST AFRICA MUSLIMS WELFARE SOCIETY ambayo hii ndo ilikua kwa ajili ya waislam wote.

We siku zote hoja yako ni hiyo tena Dhaifu saana.
Society unayoingolea ni kwa Ajili ya East Africa ni sawa na useme CAF na TFF.
Ikifa CAF,TFF itaendelea kuwepo.
Huwezi kusema kwamba TFF isiwepo itegemee CAF,sasa ndani ya nchi chombo gani kitasimamia utendaji.

Hapa kuna watu wanataka tu Kupotosha Watu.
Haiwezekani kuigeuza Tanzania kuwa Dola ya Kiislam hata siku moja,kama baadhi ya Wanaojiita Waislam michepuko.

Uislam ni dini inayojitanua yenyewe bila machafuko wala nini,na ina njia zake za amani.Ila watu wanaona hoja ya kupinga kila kitu kwao ndio njia ya kujitanua.

Leo hii kuna Wajinga wanasema ISI ni sehem ya Wamarekani,we unaona hii Akili ya mtu haswaa?
Yaani Watu wao kwa wao wanapigana halafu mtu anakuambia eti fulani ndio anachonganisha,sasa wewe kama Muislam kweli huna akili?huoni tabu kuuwa Waislam wenzio?huoni Tabu kuuwa watoto wa kiislam?Kisa unasema unaeneza dini.Unanunuliwa kwa hela ili Utoe uhai wako na wenzio?

Hii akili ni ya kipumbavu sana,na mbaya zaidi wapo wanaofadhiliwa kwa kupewa pesa na kuwarubuni waislam michepuko kama hawa.

Wewe Chombo kama BAKWATA,ambacho hadi makao makuu ya Uislam Saudia ndio kinatambulika,na kila nchi inachombo chake cha Kushughulikia Waislam wa nchi husika,hizo Nchi za Africa Mashariki zoote zina vyombo vyao.
na Vyombo hivi ndio pekee vyenye kupata mialiko ya mikutano mikuu ya Kiislam kwenye Mamlaka ya Saudi kama Makao Makuu.

Hao wanaosema BAKWATA ipo ki CCM,ni wale wanaotaka kwamba iwe inasaidia harakati za uhasama.
Na ndio hao wanaosema kwamba BAKWATA in mfumo Kristo,sasa hii akili kweli.

Ila Wasiwape tabu sana,Sie ndani ya Uislam tunawajua hao,ndio wale wanaomwagia Tindikali Maaskofu,wanaochoma makanisa nk.Ikitokea kwao watasema mpaka povu la kule litoke.
Sasa wanataka wapate nafasi ili wahakikishe kwamba Ukristo unaondoka Tanzania kwa njia hii ya vurugu.
Wanajidanganya saana,na wanapotosha sana UISLAM,uislam ni dini ya amani.

We mtu anasema eti Waislam wamenyiwa elim,huu si wendawazim?
Ulikatazwa kwenda shule?na hii mentality imekaa kwa baadhi ya Waislam michepuko mpaka leo na vizazi vyao vikiamini hivyo.

Mbona viongozi wakuu wengi ni Waislam na Wakristo hawa reiz issue ya udini?
Tuache kulalamika.
Wenzetu wakristo wakijenga Kanisa,basi pembeni kuna Shule au Zahati.Sie tukijenga Msikitini pembeni tunaweka Maduka.
We unategemea nini hapo.

Wakristo wakienda Kanisani Jpili,sadaka mtu anatoa kwa moyo mmoja na sala moja ni mamilioni ya pesa
Sie ukienda Kusali Ijumaa msiikiti umejaa,mtu anatoa coins za miambili,na tajiri unamuona anatoa elfu mbili saana katoa elfu tano.
We unategemea mtakuwa sawa?

Sasa mchawi sio Ukristo,wala CCM.Mchawi ni Waislam Michepuko.

Na pia niweke wazi hili,Nchi zoote za Kiislam,Mabaraza yake yote yapi chini ya Serikali.
Kwa sie tuliesoma Uganda ni kwamba kuna Kipindi Museven akitaka kupitisha Sheria kadhaa anaita viongozi wa dini husika hasa kupitia Taasis Kuu ya Waislam nchi mwake pale anapoona kuna muingiliano fulani ili kuweka sawa.

We kuna Taasisi ipi ambayo haina usajili wa Serikali.Hahahah aisee watu akili za ajabu kweli.

Labda niweke wazi hapa.
Wanaoichukia BAKWATA ni maadui wakubwa saana wa Ukristo na Wakristo ila wanapenda kutumia kivuli cha kusema BAKWATA ni sehem ya CCM au tawi la Kanisa.
Watapindua maneno eee lakini dhamira yao ni moja tu

Na ndio maana nawauliza hivi nyie mnachuki na wakrsito,mbona kiongozi wetu Mtume Mohammad(S.A.W) alieneza dini kwa amani na watu hao alikuwa nao karibu sana.Ili ueneze dini ni lazima uwe karibu saana na yule asie dini yako ili iwe rahisi sana kumshawishi abadilishe dini,anaweza kuvutiwa na mwenendo wako kisha akaona Uislam ndio dini ya kufuata.Lakini leo anaona watu mnauwana nyie kwa nyie,Taasisi yenu ya Dini hamuitaki.Chuki dhini ya Ukristo ipo juu.Nani atakubali.

Na wakati huo wapo Viongozi au Maswahaba wa Mtume Mohammad(S.A.W) ambao baba zao walikuwa Wakristo.Ila mbona walikuwa wanaishi nyumba moja,wanakula pamoja.Na wengi wao walibadilisha dini kuwa waislam baada ya kuona mwenendo mzuri wa Uislam na wala hawakutengana eti kisa Dini.
Sasa kama ingekuwa ni uadui huu basi hata wao Vingozi wetu wa enzi hizo za Mitume wangefukuza hadi wazazi wao waliokuwa wakristo.
Vita ilitokea tu pale ambapo mhusika kaja rasmi kwa vita,ila vita ya maneno ilimalizwa kwa maneno ya hekma na kueleweshana.

Msipotoshe watu juu ya chuki zenu kwa Ukristo,fuateni Qur`aan,na sio kufuata mkumbo tu ya chuki za dini.
Kama wewe Muislam na Muumini wa kweli,basi mwenendo wako uwe mwema ili umshawishi Mkristo aingie kwenye Uislam.
Njia hizo zimewashinda kwa kuwa wengi Dini wamevamia kusoma kijuu juu,na pia njaa ndio inawamaliza na kuona kwamba wakiwa na misimamo fulani basi kuna makundi yatawapa misaada.Huu upuuuuzi ,mtupu.Usiuze utu wako kwa Pesa
 
Duuuu!!!!!ngoja waje tuskie
 
Jamani makubwa nayasikia hapa kupitia Star TV.Wachambuzi maustaadh wanaeleza hadith za Mtume hasa mfungo na sikukuu ya Idi.Sasa hapa kwenye hitimisho ndio wamesema waislam waachwe waunde chombo chao wenyewe na si hii BAKWATA.

Wamesema Uundwaji na BAKWATA umechambuliwa vizuri na mwenzetu Mohamed Said kwamba malengo ya BAKWATA sio mazuri.Mwisho kabisa wamesema BAKWATA ni tawi la Kanisa....

My Take:

R.I.P Mwalimu Nyerere na mafunzo yako juu ya mshikamano

Wanamajlis,
Nimeona huu uzi kuhusu BAKWATA na jina langu limetajwa.

Nimesoma ''post'' za wachangiaji wengi na inaelekea wengi wetu hatuijui
historia ya BAKWATA.

Historia ya BAKWATA inafungamana na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Ilikuwa baada ya uhuru kupatikana kwa juhudi kubwa sana ya Waislam
ndipo mwaka wa 1963 pakazuka chokochoko baina ya Waislam na serikali
ya Julius Nyerere.

Yoyote atakae kujua historia hii ni muhimu sana akasoma kitabu cha Abdul
Sykes.

Kitabu hiki kina sehemu tatu na hii sehemu ya tatu ndiyo ya mwisho na
nimeipa jina: ''Njama Dhidi ya Uislam.''

Hapa ndipo nilipoeleza historia ya BAKWATA kwa urefu na ukamilifu wake.
Juu ya haya In Sha Allah naanza hapa chini kutoa darsa ambalo litakuwa
na sehemu nane.

Tuanze na hii sehemu ya kwanza:
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA KWANZA

''Ilituweze kuuelewa vyema kisa kizima cha mgogoro ni muhimu kwanza kuelewa chanzo chake,
hadhi za wahusika wakuu na nafasi zao katika mgogoro ule. Mwisho, ni muhimu kuweka bayana
na kuchambua nafasi ya Julius Nyerere, serikali yake, chama cha TANU na vyombo vya dola
katika mgogoro ule. Hii itasaidia kuelewa kama kweli ulikuwepo mgogoro katika EAMWS, au
mgogoro ulibambikizwa na watu katika TANU, serikali na ndani ya Waislam wenyewe ili
kuwadhoofisha Waislam kwa nia ya kuwa usije Uislam ukawa na nguvu katika Tanzania hivyo
kuwawezesha Waislam kushika madaraka ya nchi.''
 
Huko kwenye nchi za kikristo,waprotestant na wakatoliki wameuwana sana,hasa Irelanda ya kaskazini,na mpaka leo hakujatulia.Sudani ya kusini,wakristo wanauwana,Kongo wakristo wanauwana,Kusini Uganda wanauwana,Kenya wameuwana maelfu,Askofu Kibwetere kaua maelfu,wazungu wengi wameja nchi za Oman,Dubai,Qatar ,Bahrain,Abudhabi,Saud Arabia,Kuwait,nk.kwa kuona ndiko kuliko na Amani.

Nawewe acha uongo kuna wakimbizi kutoka ulaya au Afrika wanao kimbilia uarabuni?na hata hayo yanayotokea S.sudani sio maauji ya kidini kama somalia Alfaganistan nk
 
Waislamu wananishangaza wanadai BAKWATA imeundwa na Serekali na ni tawi la Kanisa.Nasema sawa Waislam hao hao kila siku wanataka kuundiwa Mahakama ya Kadhi na serekali sijui nayo itakuwa tawi la Kanisa.

Nani kawazuia waIslam kuunda chombo chao.

hata hiyo dini yao ni zao la Roman Empire
 
Wanamajlis,
Nimeona huu uzi kuhusu BAKWATA.

Nimesoma post za wachangiaji wengi na inaelekea wengi wetu hatuijui
historia ya BAKWATA.

Historia ya BAKWATA inafungamana na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Ilikuwa baada ya uhuru kupatikana kwa juhudi kubwa sana ya Waislam
ndipo mwaka wa 1963 pakazuka chokochoko baina ya Waislam na serikali
ya Julius Nyerere.

Yoyote atakae kujua historia hii ni muhimu sana akasoma kitabu cha Abdul
Sykes.

Kitabu hiki kina sehemu tatu na hii sehemu ya tatu ndiyo ya mwisho na
nimeipa jina: ''Njama Dhidi ya Uislam.''

Hapa ndipo nilipoeleza historia ya BAKWATA kwa urefu na ukamilifu wake.
Juu ya haya In Sha Allah naanza hapa chini kutoa darsa ambalo litakuwa
na sehemu nane.

Tuanze na hii sehemu ya kwanza:
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA KWANZA

Ahhh,kumbe habari yenye imekuja kuelekea uchaguzi,maana nao imekuwa posted juzi tu.
Waliokosa Madaraka BAKWATA utawajua
Hembu tuambie huyo Abdul Skykes alikuwa nani na alifanya kazi sehem zipi wakati wa uhai wake,
Ili tujue unafikia wake.

Halafu Uandishi wenyewe wa kizamani kweli,hauna ushahidi wa kutosha.
Hembu aseme ni viongozi gani kwa majina waliowekwa kizuizini kisa udini wakati huo.
Ili nimtajia viongozi wakubwa wa Kiislam waliokuwa madarakani wakati huo

Aaache inafiki,ndio wale wale,nyie mnachangia humu ila yeye amewasaidia tu kuwawekea kitabu chake cha uandishi mbovu kweli sijawahi kuona.Yaani mwenye akili kabisa unaweza ukasoma hapo ukaelewa?
Yaani hiyo ndio eti sehem ya Kwanza,huko mwisho kutaeleweka kweli.Hovyo kabisaa,aibuu

Na kwanini Kenya na Uganda wao hawalalamiki kuhusu kuvunjwa kwa umoja huo ila sie tu.
Hivi hujui hata Wakristo kuna Taasis zao zilipata kashkash kubwa sana kwenye baadhi ya Nchi?

Hata kama huo umoja ungekuwepo,bado BAKWATA ingeundwa tu.Hizo Nchi zoote za Kiarabu zina Taasisi zao ndani ya nchi na zinajitegemea kama BAKWATA,na pia wanataasisi ya Nchi za Kiarabu na pia kuna Mabaraza ya Taasisi za Kiislam duniani ambapo BAKWATA imo.
Na sio kweli kwamba Baraza la Waislam Kenya na Baraza la Waislam Uganda na BAKWATA hawashirikiani.Wanashirkiana saana tu.Na ukifuatilia kuna Mikutano mikubwa imekuwa ikiandaliwa na taasisi hizi.Na hata ukifuatilia Maziko makubwa ya Viongozi wadini Taasisi hizi zimekuwa zikitoa watu maalum kwenda Kuhudhuri mazishi.

Historia ukiigeuza unavyotaka wewe,basi itakupeleka kulingana na akili yako inavyotaka.

Halafu Mwambie Mwandishi,Vitabu au makala haziandikwi hivyo
 
We siku zote hoja yako ni hiyo tena Dhaifu saana.
Society unayoingolea ni kwa Ajili ya East Africa ni sawa na useme CAF na TFF.
Ikifa CAF,TFF itaendelea kuwepo.
Huwezi kusema kwamba TFF isiwepo itegemee CAF,sasa ndani ya nchi chombo gani kitasimamia utendaji.

Hapa kuna watu wanataka tu Kupotosha Watu.
Haiwezekani kuigeuza Tanzania kuwa Dola ya Kiislam hata siku moja,kama baadhi ya Wanaojiita Waislam michepuko.

Uislam ni dini inayojitanua yenyewe bila machafuko wala nini,na ina njia zake za amani.Ila watu wanaona hoja ya kupinga kila kitu kwao ndio njia ya kujitanua.

Leo hii kuna Wajinga wanasema ISI ni sehem ya Wamarekani,we unaona hii Akili ya mtu haswaa?
Yaani Watu wao kwa wao wanapigana halafu mtu anakuambia eti fulani ndio anachonganisha,sasa wewe kama Muislam kweli huna akili?huoni tabu kuuwa Waislam wenzio?huoni Tabu kuuwa watoto wa kiislam?Kisa unasema unaeneza dini.Unanunuliwa kwa hela ili Utoe uhai wako na wenzio?

Hii akili ni ya kipumbavu sana,na mbaya zaidi wapo wanaofadhiliwa kwa kupewa pesa na kuwarubuni waislam michepuko kama hawa.

Wewe Chombo kama BAKWATA,ambacho hadi makao makuu ya Uislam Saudia ndio kinatambulika,na kila nchi inachombo chake cha Kushughulikia Waislam wa nchi husika,hizo Nchi za Africa Mashariki zoote zina vyombo vyao.
na Vyombo hivi ndio pekee vyenye kupata mialiko ya mikutano mikuu ya Kiislam kwenye Mamlaka ya Saudi kama Makao Makuu.

Hao wanaosema BAKWATA ipo ki CCM,ni wale wanaotaka kwamba iwe inasaidia harakati za uhasama.
Na ndio hao wanaosema kwamba BAKWATA in mfumo Kristo,sasa hii akili kweli.

Ila Wasiwape tabu sana,Sie ndani ya Uislam tunawajua hao,ndio wale wanaomwagia Tindikali Maaskofu,wanaochoma makanisa nk.Ikitokea kwao watasema mpaka povu la kule litoke.
Sasa wanataka wapate nafasi ili wahakikishe kwamba Ukristo unaondoka Tanzania kwa njia hii ya vurugu.
Wanajidanganya saana,na wanapotosha sana UISLAM,uislam ni dini ya amani.

We mtu anasema eti Waislam wamenyiwa elim,huu si wendawazim?
Ulikatazwa kwenda shule?na hii mentality imekaa kwa baadhi ya Waislam michepuko mpaka leo na vizazi vyao vikiamini hivyo.

Mbona viongozi wakuu wengi ni Waislam na Wakristo hawa reiz issue ya udini?
Tuache kulalamika.
Wenzetu wakristo wakijenga Kanisa,basi pembeni kuna Shule au Zahati.Sie tukijenga Msikitini pembeni tunaweka Maduka.
We unategemea nini hapo.

Wakristo wakienda Kanisani Jpili,sadaka mtu anatoa kwa moyo mmoja na sala moja ni mamilioni ya pesa
Sie ukienda Kusali Ijumaa msiikiti umejaa,mtu anatoa coins za miambili,na tajiri unamuona anatoa elfu mbili saana katoa elfu tano.
We unategemea mtakuwa sawa?

Sasa mchawi sio Ukristo,wala CCM.Mchawi ni Waislam Michepuko.

Na pia niweke wazi hili,Nchi zoote za Kiislam,Mabaraza yake yote yapi chini ya Serikali.
Kwa sie tuliesoma Uganda ni kwamba kuna Kipindi Museven akitaka kupitisha Sheria kadhaa anaita viongozi wa dini husika hasa kupitia Taasis Kuu ya Waislam nchi mwake pale anapoona kuna muingiliano fulani ili kuweka sawa.

We kuna Taasisi ipi ambayo haina usajili wa Serikali.Hahahah aisee watu akili za ajabu kweli.

Labda niweke wazi hapa.
Wanaoichukia BAKWATA ni maadui wakubwa saana wa Ukristo na Wakristo ila wanapenda kutumia kivuli cha kusema BAKWATA ni sehem ya CCM au tawi la Kanisa.
Watapindua maneno eee lakini dhamira yao ni moja tu

Na ndio maana nawauliza hivi nyie mnachuki na wakrsito,mbona kiongozi wetu Mtume Mohammad(S.A.W) alieneza dini kwa amani na watu hao alikuwa nao karibu sana.Ili ueneze dini ni lazima uwe karibu saana na yule asie dini yako ili iwe rahisi sana kumshawishi abadilishe dini,anaweza kuvutiwa na mwenendo wako kisha akaona Uislam ndio dini ya kufuata.Lakini leo anaona watu mnauwana nyie kwa nyie,Taasisi yenu ya Dini hamuitaki.Chuki dhini ya Ukristo ipo juu.Nani atakubali.

Na wakati huo wapo Viongozi au Maswahaba wa Mtume Mohammad(S.A.W) ambao baba zao walikuwa Wakristo.Ila mbona walikuwa wanaishi nyumba moja,wanakula pamoja.Na wengi wao walibadilisha dini kuwa waislam baada ya kuona mwenendo mzuri wa Uislam na wala hawakutengana eti kisa Dini.
Sasa kama ingekuwa ni uadui huu basi hata wao Vingozi wetu wa enzi hizo za Mitume wangefukuza hadi wazazi wao waliokuwa wakristo.
Vita ilitokea tu pale ambapo mhusika kaja rasmi kwa vita,ila vita ya maneno ilimalizwa kwa maneno ya hekma na kueleweshana.

Msipotoshe watu juu ya chuki zenu kwa Ukristo,fuateni Qur`aan,na sio kufuata mkumbo tu ya chuki za dini.
Kama wewe Muislam na Muumini wa kweli,basi mwenendo wako uwe mwema ili umshawishi Mkristo aingie kwenye Uislam.
Njia hizo zimewashinda kwa kuwa wengi Dini wamevamia kusoma kijuu juu,na pia njaa ndio inawamaliza na kuona kwamba wakiwa na misimamo fulani basi kuna makundi yatawapa misaada.Huu upuuuuzi ,mtupu.Usiuze utu wako kwa Pesa

safi sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom