Sasa hapa ndio mnapotaka kuuposhoa Uislam.
Yaani wewe Bonge la Muongooo
Nyie matapeli wa dini kama alvyosema mdau mmoja hapo juu mnatabu saana kwa kukariri na ku copy tu
Na wengie ni wale mliotaka Madaraka BAKWATA kwa nguvu mkapigwa chini,njaa ikaaanza.
We tangu lini Bi Titi ukamtegemee aeneze Uislam?
Uislam unajieneza wenyewe na Nyerere hakuna na Chuki kama unavyojaribu kushawishi watu
We Bi Titi Uislam wake wenyewe Mashaka eti kabisaaa mnatunga Kitabu cha kusema ndio alikuwa katika watu wenye kupigani Uislam.
Dini ni Imani na sio kuona mtu anaija jina lenye kuelekea kama Uislam basi ukajua ni Muislam,Nenda Misri,kuna wachungaji wanaitwa majina ya Mahmood,Hussein,Jamal nk.
Sasa watu wamekariri kwamba Jina tu umeishakuwa Muislam
Hembi angalie hii picha ya Bi Titi na halafu Compare na Mtoa hoja mbovu eti alikuwa anatetea Uislam
Muislam gani atatete kichwa Wazi,Pika Kimini Kanzu,shame on yyyyoooo
Labda alikuwa anawateteta nyie Waislam Michepuko ila Sio sie Waislam wenye kuamini kwamba dini inajiendesha yenyewe na ina njia zake za Amaani saana za kueneza dini.Na maisha unajipangia mwenyewe,sio yanakushinda kisa eti mfumo wa Serikali na BAKWATA ebboo
Hahafu usitulazimishe kusoma kitabu kisicho na hoja
Haya mleta Hoja anasema etu huyu ndio alikuwa anataka kutetea Uislam,Uislam unaujua au unafuata tu wewe
View attachment 269134
View attachment 269134