Ndugu mgalatia Nadhani unashindwa kuelewa kuwa leo ktk huu ulimwengu wanaoongoza kwa uharibifu wa maadili ni hao hao wanaodai kumpokea yesu.
Ndoa za jinsia moja, uuzaji wa poda, ubakaji wa watoto, human trafficking, utapeli ,human Trafficking and so on.
Kuhusu Vita na mauwaji dunia nzima inaona namna gani Nchi zinazoongozwa na viongozi wa Kikristo zinavyovamia nchi za waislamu na kuua ma alfu ya watoto wasio na hatia. Na hakuna nchi yyt yenye Kiongozi wa Kiislamu imevamia au kurusha mabomu na kuangamiza watoto wasio na hatia.
More over The crusaders walivamia na Kuchinja zaidi ya watoto milion 2 kwa kutumia jina La Yesu. Na baadhi yao kuamua mpaka KULA NYAMA ZA WATOTO wa KIISLAMU waliowaua. Gonga hapa uone unyama wa Wakristo (Crusaiders)
Crusades
Watu wasio na hatia zaidi ya milion 6 waliuawa na Mkatoliki Hitler kwa kudai kuwa anafanya kazi ya Bwana Yesu.
Kwa jina hilo hilo la yesu Historia inatufunza kuwa Watu zaidi ya Milion 200 wamepoteza maisha yao through out the History worldwide.
Sasa unapoandika vitu jaribu kufikiri kidogo usije onekana mropokaji usie na elimu hapa Jukwaani.