BAKWATA ni tawi la Kanisa

BAKWATA ni tawi la Kanisa

Status
Not open for further replies.
Jamani makubwa nayasikia hapa kupitia Star TV.Wachambuzi maustaadh wanaeleza hadith za Mtume hasa mfungo na sikukuu ya Idi.Sasa hapa kwenye hitimisho ndio wamesema waislam waachwe waunde chombo chao wenyewe na si hii BAKWATA.

Wamesema Uundwaji na BAKWATA umechambuliwa vizuri na mwenzetu Mohamed Said kwamba malengo ya BAKWATA sio mazuri.Mwisho kabisa wamesema BAKWATA ni tawi la Kanisa....

My Take:

R.I.P Mwalimu Nyerere na mafunzo yako juu ya mshikamano

Tatizo la waislam ni kujiona wao ni bora kuliko watu wengine duniani jambo ambalo linawatesa mpaka vifo vyao
na hawaishi kulalamika kuwa wanaonewa hata kama utakaa naye nyumba moja anataka akubadili uishi atakavyo yeye hata kama yeye ni zoba anataka equalization na ukimzidi hata darasani anaanza kukushughulikia kwa ktumia ule utaratibu wao wa makaratasi meupe. Dawa yao imeshapatikana hawatafanya vurugu mpaka ipite miaka kumi kwa Pombe hatajali makunyanzi wala itikafu
 
Na nyie mtatawaliwa na mzungua mpka mwisho wenu hata kama mnautajiri wa mafuta lakini mtaishia kuuwana tu na HAMTOFAIDI CHOCHOTE KWA UTAJIRI WENU MWENZENU DUBAI KALIONA HILO UKIENDA UTAKUTA VI MINI KAMA SINZA NA HUDUMA ZA MADANGURO KIBAO NA MAISHA YANAENDELEA KAZI KWENU NA UJINGA WENU

Kwa hio we dada zako kuvaa vimini umeshajiona mjanja sio?
Nyie ndio mnaotujazia watoto wa Zinaa mitaani kwa sababu ya kuiga wazungu.
Haya sasa wazungu wanasema Mwanamme aoe mwanamme mwenzake, we umeshapata wa kwako?
Sisi wakileta hayo mambo tunaua. Hakuna nyodo za kishoga kwetu.

Nyie wafuata mzungu mnaoogopa kufa iko siku mtaoa mpk watoto wenu.
Kimburu wahed.
 
kwa hio we dada zako kuvaa vimini umeshajiona mjanja sio?
Nyie ndio mnaotujazia watoto wa zinaa mitaani kwa sababu ya kuiga wazungu.
Haya sasa wazungu wanasema mwanamme aoe mwanamme mwenzake, we umeshapata wa kwako?
Sisi wakileta hayo mambo tunaua. Hakuna nyodo za kishoga kwetu.

Nyie wafuata mzungu mnaoogopa kufa iko siku mtaoa mpk watoto wenu.
Kimburu wahed.

hakuna aliyebishana na mzungu akashinda waulize babu zako wote saadamu hussein , gadafi na wenzake walivyoleta nyodo nini kiliwapata huko saudia kwenyewe watu wapiga urabu kama kawa na nyie mmebaki kulalamika utatukana utauwa lakini kila uchao uisilamu unazidi kuporomoka kwa sababu ya masheria yasiyotekelezeka, syria wanachinjana kuna mzungu? Povu lisikutoke jibu yemeni kuna mzungu? Jibu hoja tena yemeni ni saudi na irani zinapigana ndani ya nchi nyingine je kuna ------ hapo? Wewe umeona dhambi ni zinaa tu zingine unazozifanya chini ya uvungu huzioni? Halafu ile dua ya kulaani wafiraji iko kitabu gani vile, au unadhani ushoga hatujui umeletwa na nani kamruti ni mkristo? Taarabu waijua asili yake nini usikurupuke kutukana nijibu maswali yangu huna sababu ya kunitukana .
 
Teh teh teh.
Kijana unajua kutukanwa wewe?
Hapo juu unasema Tusipomkubali mzungu tutakufa tu. Na mimi nimekwambia bora kufa kuliko kuiga mzungu,
Ni kweli Saddam na viongozi wengine wameuawa kwa Fitna ya mzungu kwa sababu MAKAFIRI fitina ni moja ya ibada zenu kubwa.
Hata hapa nchini Hamuishi kuingilia masuala ya waislamu.
Na hao wanamme ni bora kufa kuliko kukubali mila za kikafiri.

Wewe unaewathamini wazungu tayari wameeshanza kuwalazimisha viongozi wako wakubali Ndoa za jinsia moja.
Na wewe kwa kuwapenda hao wazungu itabidi tu utafute mwanamme mmoja uoe.

Hili linafanyika makanisani kila siku mkuu. Mpk Papa ameanza kulikubali lkn sisi washoga wakikamatwa ni hukumu moja tu. KIFO!
Hayo yanayofanyika chini ya uvungu unayajua wewe na hao wanajificha nyuma ya kivuli cha kanisa. Sisi hukumu zetu ziko wazi.
Ndio maana Hakuna ktk Dunia hii nchi yyt yenye hukumu za wasodomi kuuawa ispokuwa NCHI ZA WAISLAMU PEKE YAKE.

Sasa kaa sawa uone uzungu ni nini!
 
Jamani makubwa nayasikia hapa kupitia Star TV.Wachambuzi maustaadh wanaeleza hadith za Mtume hasa mfungo na sikukuu ya Idi.Sasa hapa kwenye hitimisho ndio wamesema waislam waachwe waunde chombo chao wenyewe na si hii BAKWATA.

Wamesema Uundwaji na BAKWATA umechambuliwa vizuri na mwenzetu Mohamed Said kwamba malengo ya BAKWATA sio mazuri.Mwisho kabisa wamesema BAKWATA ni tawi la Kanisa....

My Take:

R.I.P Mwalimu Nyerere na mafunzo yako juu ya mshikamano

Wanamajlis,
Kwa bahati mbaya sana naona mjadala unakwenda mrama kwa ajili ya
ghadhabu.

Binafsi yangu ningependa sana watu wajue historia ya BAKWATA ili pasiwe
tena na shaka ni nani aliyeianzisha na kwa madhumuni yapi.

Tuingie sehemu ya pili ya Historia ya BAKWATA.
Hii ni darsa nilizungumza Msikiti wa Mtambani:

Mohamed Said: Historia ya Bakwata - Mtambani Part 2
 
Teh teh teh.
Kijana unajua kutukanwa wewe?
Hapo juu unasema Tusipomkubali mzungu tutakufa tu. Na mimi nimekwambia bora kufa kuliko kuiga mzungu,
Ni kweli Saddam na viongozi wengine wameuawa kwa Fitna ya mzungu kwa sababu MAKAFIRI fitina ni moja ya ibada zenu kubwa.
Hata hapa nchini Hamuishi kuingilia masuala ya waislamu.
Na hao wanamme ni bora kufa kuliko kukubali mila za kikafiri.

Wewe unaewathamini wazungu tayari wameeshanza kuwalazimisha viongozi wako wakubali Ndoa za jinsia moja.
Na wewe kwa kuwapenda hao wazungu itabidi tu utafute mwanamme mmoja uoe.

Hili linafanyika makanisani kila siku mkuu. Mpk Papa ameanza kulikubali lkn sisi washoga wakikamatwa ni hukumu moja tu. KIFO!
Hayo yanayofanyika chini ya uvungu unayajua wewe na hao wanajificha nyuma ya kivuli cha kanisa. Sisi hukumu zetu ziko wazi.
Ndio maana Hakuna ktk Dunia hii nchi yyt yenye hukumu za wasodomi kuuawa ispokuwa NCHI ZA WAISLAMU PEKE YAKE.

Sasa kaa sawa uone uzungu ni nini![/QUOTE

Lakini hujaniambia Kamruti wamjua au laa, kuuwa mtauwa lakini hamtamaliza tatizo utauwa mmoja nawatakuja mia je hapo mjinga nani? Nguvu nyingi akili kidogo mtauwa mpaka watoto wenu lakini tatizo liko palepale kwa kuwa mnatumia masaburi kufikiri. Taarabu ni ya Papa au umkwepa swali kwa kuwa unajua ukweli unauma siyo?

Kama babu zako SAADAMU HUSSEIN NA GADAFI wameuliwa kwa fitina, ndiyo ukubali kwamba mzungu yuko juu yenu kwa kuwa mlijua ni fitina na mkakubali kuwauwa wenzenu mna akili kweli nyie au mna matope kichwani? Mbona mkiambiwa ukweli hamtaki kutafuta jibu bali kuuwana tu, haya endeleeni kama mtashinda. Syria leo mwaka wa tano mnaendelea kumtumikia shetani kwa kumwaga damu zisizo na hatia eti mnajidanganya mnamtumikia Mungu, Mungu hatumikiwi kwa kumwaga damu ya binadamu wenzenu.

Hali ya watu wa Syria wanavyoteseka vile hata kwa akili ya kichaa hivi Mungu amewaumba binadamu wauwawe na yeye afurahi huyo Mungu ni wa wapi hali ya maisha ya watu wa Syria ni mbaya sana na wanasaidiwa na wazungu ambao bado mnawalaumu tu kuwa ni wabaya, mngekuwa nyie kwa nyie ingefika wakati mkawa mnawachemsha watoto wenu kwenye sufuria na kuwala mkisema mnamtumikia Mungu?

Mkuu usiwe shabiki wa ujinga angalia ukweli na ubadilike mnachofanya siyo. Tulia na ufikiri vizuri mmepotea wewe na kundi lako ni bora wewe uachane nalo na roho isikuume,, kwani Mungu amekukomboa kupitia JAMII FORUM usione aibu ni pm nitakusaidia huko uliko siko. Nakushukuru hata kwa majibu yako kwani unanithibitishia jinsi gani unavyohitaji msaada wa haraka sana kukutoa kwenye kundi la mauwaji ambayo naamini hata wewe hupendi kuuwa binadamu wenzako ila unajlazimisha kutokana na kutokujua ukweli pole sana. Mwenyezi subhana wataalah akusamehe dhamb zako na ubadilike.
 
BADO MMOJA unamwaga uharo ovyo jukwaani na kupoteza wakati wa waungwana.
Wewe kwa imani yako Mzungu ndio mungu wako. Na mpk leo 2015 unaweka picha yake chumbani kwako na kuipigia goti halafu unataka kusema nini hapa?

Yaani mwenye Kuua sana ndio juu ya vichwa vya watu sio?
Halafu unasahau kuwa mpk leo inamini mungu wako pia ALIUAWA KIFO CHA LAANA na hao hao unawasifia kuwa Wababe?
Mbona nyie wagalatia mzigo namna hii?
Nikukute Pm uliambiwa mimi msodomi? Mnfnsssssss! Nyambaff kabisa.
Mkubwa mzima Unaiga mzungu mpk kunya bila Kuchamba?

Wenye Tabia za kula nyama za watoto wao wametajwa kwenye andiko. Na kamwe sio Waislamu.
Soma hapa.

YEREMIA 19:9

Nami nitawalazimisha kula nyama ya wana wao, na nyama ya binti zao, nao watakula kila mmoja nyama ya rafiki yake, wakati wa mazingira na dhiki, ambayo adui zao, na watu wale watafutao roho zao.

WEWE Mkristo ndio uneambiwa utakula nyama wa mtoto wako. Na wenzako huko Nyuma walishakula sana.

MAKAFIRI wanachonganisha na Kuua waislamu Kila siku bila hatia yyt halafu leo mnajisifu kuwa Ni Mahodari.
Endeleeni KUUA na kuwasifia Wauwaji lkn Kumbuka MAKAFIRI WOTE pia Mtakufa. And that is the fact miss Pastor.
Fainali iko JAHANNAMU.

Sasa endelea Kurusha maneno ya mipasho lkn Mwisho wa MAKAFIRI Hauko mbali.
 
Last edited by a moderator:
Waislamu wananishangaza wanadai BAKWATA imeundwa na Serekali na ni tawi la Kanisa.Nasema sawa Waislam hao hao kila siku wanataka kuundiwa Mahakama ya Kadhi na serekali sijui nayo itakuwa tawi la Kanisa.

Nani kawazuia waIslam kuunda chombo chao.

Za kuambiwa changanya na zako mkuu, uliwasikia wapi waislamu wakiomba kuundiwa mahakama ya kadhi na serikali?
 
jaribuni kutafuta historia ya EAST AFRICA MUSLIM WELFARE SOCIETY NA HII YA BARAZA LA WAISLAM TANZANIA....Mtajua maana yake... lakini niseme tu kwamba BAKWATA SI TAWI LA KANISA ILA NI TAASISI YA SERIKALI, NA SI YETU SISI WAISLAMU.....

Nyie mnataka kila kitu mfanyiwe kama watoto.sasa lini mtakua na kuacha kulialia na kutaka kuonewa huruma za kijinga.tazama mnavyolia muundiwe mahakama ya kadhi .kichekesho.ndani ya serikali wapo pia wakristo tena mwawaita makafiri,leo mwawataka makafiri wawaundie mahakama ya kadhi!mnajielewa?jitafakarini!
 
Waislam ukiwaacha wenyewe bila usimamizi madhubuti watamalizana na watamaliza wasio waislam, waislam wanahitaji kuongozwa na sio kujiongoza,mwl alilijua hilo ndio maana akaamua kuwaanzishia bakwata, vinginevyo wangemalizana, maana wao kwa wao hawaelewani,washia hawaelewani na wasuni nk.

Jiheshimu. Waislamu wanao uwezo wa kujiongoza wao wenyewe, waislamu wanapendana nani wamoja. Lengo la kuanzishwa Bakwata ilikuwa kuvunja umoja wa waislamu.
 
Teh teh teh.
Kijana unajua kutukanwa wewe?
Hapo juu unasema Tusipomkubali mzungu tutakufa tu. Na mimi nimekwambia bora kufa kuliko kuiga mzungu,
Ni kweli Saddam na viongozi wengine wameuawa kwa Fitna ya mzungu kwa sababu MAKAFIRI fitina ni moja ya ibada zenu kubwa.
Hata hapa nchini Hamuishi kuingilia masuala ya waislamu.
Na hao wanamme ni bora kufa kuliko kukubali mila za kikafiri.

Wewe unaewathamini wazungu tayari wameeshanza kuwalazimisha viongozi wako wakubali Ndoa za jinsia moja.
Na wewe kwa kuwapenda hao wazungu itabidi tu utafute mwanamme mmoja uoe.

Hili linafanyika makanisani kila siku mkuu. Mpk Papa ameanza kulikubali lkn sisi washoga wakikamatwa ni hukumu moja tu. KIFO!
Hayo yanayofanyika chini ya uvungu unayajua wewe na hao wanajificha nyuma ya kivuli cha kanisa. Sisi hukumu zetu ziko wazi.
Ndio maana Hakuna ktk Dunia hii nchi yyt yenye hukumu za wasodomi kuuawa ispokuwa NCHI ZA WAISLAMU PEKE YAKE.

Sasa kaa sawa uone uzungu ni nini!

Lakini hujaniambia Kamruti wamjua au laa, kuuwa mtauwa lakini hamtamaliza tatizo utauwa mmoja nawatakuja mia je hapo mjinga nani? Nguvu nyingi akili kidogo mtauwa mpaka watoto wenu lakini tatizo liko palepale kwa kuwa mnatumia masaburi kufikiri. Taarabu ni ya Papa au umkwepa swali kwa kuwa unajua ukweli unauma siyo?

Kama babu zako SAADAMU HUSSEIN NA GADAFI wameuliwa kwa fitina, ndiyo ukubali kwamba mzungu yuko juu yenu kwa kuwa mlijua ni fitina na mkakubali kuwauwa wenzenu mna akili kweli nyie au mna matope kichwani? Mbona mkiambiwa ukweli hamtaki kutafuta jibu bali kuuwana tu, haya endeleeni kama mtashinda. Syria leo mwaka wa tano mnaendelea kumtumikia shetani kwa kumwaga damu zisizo na hatia eti mnajidanganya mnamtumikia Mungu, Mungu hatumikiwi kwa kumwaga damu ya binadamu wenzenu.

Hali ya watu wa Syria wanavyoteseka vile hata kwa akili ya kichaa hivi Mungu amewaumba binadamu wauwawe na yeye afurahi huyo Mungu ni wa wapi hali ya maisha ya watu wa Syria ni mbaya sana na wanasaidiwa na wazungu ambao bado mnawalaumu tu kuwa ni wabaya, mngekuwa nyie kwa nyie ingefika wakati mkawa mnawachemsha watoto wenu kwenye sufuria na kuwala mkisema mnamtumikia Mungu?

Mkuu usiwe shabiki wa ujinga angalia ukweli na ubadilike mnachofanya siyo. Tulia na ufikiri vizuri mmepotea wewe na kundi lako ni bora wewe uachane nalo na roho isikuume,, kwani Mungu amekukomboa kupitia JAMII FORUM usione aibu ni pm nitakusaidia huko uliko siko. Nakushukuru hata kwa majibu yako kwani unanithibitishia jinsi gani unavyohitaji msaada wa haraka sana kukutoa kwenye kundi la mauwaji ambayo naamini hata wewe hupendi kuuwa binadamu wenzako ila unajlazimisha kutokana na kutokujua ukweli pole sana. Mwenyezi subhana wataalah akusamehe dhamb zako na ubadilike
 
bado mmoja unamwaga uharo ovyo jukwaani na kupoteza wakati wa waungwana.
Wewe kwa imani yako mzungu ndio mungu wako. Na mpk leo 2015 unaweka picha yake chumbani kwako na kuipigia goti halafu unataka kusema nini hapa?

Yaani mwenye kuua sana ndio juu ya vichwa vya watu sio?
Halafu unasahau kuwa mpk leo inamini mungu wako pia aliuawa kifo cha laana na hao hao unawasifia kuwa wababe?
Mbona nyie wagalatia mzigo namna hii?
Nikukute pm uliambiwa mimi msodomi? Mnfnsssssss! Nyambaff kabisa.
Mkubwa mzima unaiga mzungu mpk kunya bila kuchamba?

Wenye tabia za kula nyama za watoto wao wametajwa kwenye andiko. Na kamwe sio waislamu.
Soma hapa.

Yeremia 19:9

nami nitawalazimisha kula nyama ya wana wao, na nyama ya binti zao, nao watakula kila mmoja nyama ya rafiki yake, wakati wa mazingira na dhiki, ambayo adui zao, na watu wale watafutao roho zao.

Wewe mkristo ndio uneambiwa utakula nyama wa mtoto wako. Na wenzako huko nyuma walishakula sana.

Makafiri wanachonganisha na kuua waislamu kila siku bila hatia yyt halafu leo mnajisifu kuwa ni mahodari.
Endeleeni kuua na kuwasifia wauwaji lkn kumbuka makafiri wote pia mtakufa. And that is the fact miss pastor.
Fainali iko jahannamu.

Sasa endelea kurusha maneno ya mipasho lkn mwisho wa makafiri hauko mbali.

nilitarajia matusi kwa hiyo sishangai kukusikiliza nilishazoea kukishi na watoto wa mjakazi hajira wewe unyemwabudu mwarabu kakutengenezea hata baiskeli unaitumia?
 
Huko kwenye nchi za kikristo,waprotestant na wakatoliki wameuwana sana,hasa Irelanda ya kaskazini,na mpaka leo hakujatulia.Sudani ya kusini,wakristo wanauwana,Kongo wakristo wanauwana,Kusini Uganda wanauwana,Kenya wameuwana maelfu,Askofu Kibwetere kaua maelfu,wazungu wengi wameja nchi za Oman,Dubai,Qatar ,Bahrain,Abudhabi,Saud Arabia,Kuwait,nk.kwa kuona ndiko kuliko na Amani.
Soma magazeti uelewe.huko hawauani kwa sababu ya ukristo wao.syria,iraq na kwingine huko kwa wenzenu wanachijana kwa sababu ya uislam wao-huyu ni mshia sio mwenzetu chinja au huyu suni sio mwenzetu chinja.huo ndio uhalisia.waislamu wa kweli wajitenge na ujinga huu na kusimamia imani ya kweli.
 
Muulize Gwajima.
Halafu usidanganye watu hapa.
Kuna 43,000 Christian denominations duniani na Inategemewa kufika Madhehebu 55,000 ifikapo mwaka 2025.

We huna habari kuwa Ugalatia ni dili siku hizi? Kila mtu anafungua Duka lake la kondoo na kupiga hela kwa raha zake kilainiii!

Tukiyataja yote hapa tutajaza Server.
Gonga hapa uone balaa mwenyewe.

List of Christian Denominations & Their Beliefs | churchrelevance.com

Sikushangai kwa usemayo maana waislamu mnajua ukristo zaidi kuliko uislamu.
Asilimia zaidi ya hamsini za nyumba za waislamu hamna kur an au hata kijitabu chochote cha kiislamu lakini hutakosa magazeti ya kikristo humo ndani. Hata wewe nina imani huna kur an nyumbani kwako lakini hukosi literature ya namna moja au nyingine ya kikristo. Hata redio zenu hua mnatune mambo ya kikristo, hata kwenye mihadhara Manzese mnaongea ukristo tu maana, There is nothing to discuss about islam apart from Boko halal, ISIS, alshbaab etc
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom