BAKWATA ni tawi la Kanisa

BAKWATA ni tawi la Kanisa

Status
Not open for further replies.
Huko kwenye nchi za kikristo,waprotestant na wakatoliki wameuwana sana,hasa Irelanda ya kaskazini,na mpaka leo hakujatulia.Sudani ya kusini,wakristo wanauwana,Kongo wakristo wanauwana,Kusini Uganda wanauwana,Kenya wameuwana maelfu,Askofu Kibwetere kaua maelfu,wazungu wengi wameja nchi za Oman,Dubai,Qatar ,Bahrain,Abudhabi,Saud Arabia,Kuwait,nk.kwa kuona ndiko kuliko na Amani.

Haya ndio maneno ya mitaani na yapo siku nyingie kwenye watu wenye Uelewa finyu,
Hii hoja yako dhaifu kama mti kichwa maji na inavyoongelewa mitaani ukiigeuza inakuwa kwamba
CUF ni tawi la UAMSHO na Waislam wenye misimamo mikali ndio maana wamejitenga kwenye Kugawana Majimbo
na Chadema ni Wakatoliki
Sasa UKAWA imekaaja hapo kama sio kinafikia

Haya mambo ya Dini kuingiza na Siasa ni sheeda sana,maana wengi ni wafuata mkumbo tu.Uelewa zero kabisaaa.

Zanzibar Spices,
Ombi langu kwako ni tujikite katika hili darsa langu.

Ningefurahi kama utaniuliza maswali kutoka katika hii BAKWATA Sehemu ya
Kwanza ili tusichanganye maudhui.

Ikiwa unaona ni muhimu nikupatie majibu kwa haya maswali yako bora
ufungue uzi mwingine.

Kuhusu uandishi wangu nakuwekea hapa baadhi ya vitabu na ''papers,''
nilizoandika:

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

2. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children’s book).

3. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

4. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

5. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

6. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

7. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

8. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

9. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

10. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

11. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

12. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003).

13. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004).

14. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA)Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004).

15. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006).

16. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, and Nairobi.

17. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban.

18. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Kaka uko deep sana
 
BAKWATA ni Tawi la CCM, iliundwa baada ya kuvunjwa EAST AFRICA MUSLIMS WELFARE SOCIETY ambayo hii ndo ilika kwa ajili ya waislam wote.

Mkuu information is power, na mimi mmojawapo sina uelewa mzuri ili niende sambamba wenzangu. Hivi hicho combo kilichovunjwa(EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY) kilikuwa cha afrika mashariki kama jina lake linavyojitanabaisha? na kama ni hivyo baada ya kila nchi ya afrika mashariki kuwa na utawala wake je chombo hicho bado kingeweza kuendelea kuwa na uhalali wa kusimamia shughuli za kiislamu katika nchi husika?

Bado mimi nadhani tatizo ni mfumo wa utawala baada ya Uhuru maana kila taasisi serikali ilikuwa inajaribu kudhibiti utendaji wake wa kila siku,sasa ndugu zangu mkishindwa kutambua chanzo hasa cha tatizo itakuwa mnatafuta adui wa kufikirika ambaye kwenu ni rahisi, kanisa. Maana wamekuja viongozi waislamu akina Mwinyi na Jk bado shutuma zipo,mkianza kuelewana wenyewe na kuwa wamoja bila kupingana kama ansar sunni,shia,hapa nchini BAKWATA,nk.Itaonekana ni kawaida yenu na wanaowapinga wanaweza waka take advantage kuwa Hao kupingana ni kawaida yao.

Siitetei BAKWATA kuwa chombo cha waislamu pekee kama wenyewe hamuafiki,naamini hili la kuingiza na kanisa katika madai yenu is off the mark,na haitowasaidia bali mnazidi kuwapa hoja wanaowapinga. Maana mimi hapa sioni kwa nini chuki zitupiwe kanisa mwishowe na waumini wa kanisa wanaanza kuwa na chuki dhidi ya uislamu na waislamu.We will all be looser mimi mtoto wangu ni muislamu inaniwia vigumu kufikiria kuwa yeye ni adui yangu,naona wanaoingiza Siasa za chuki za kidini ni wa kukemea.
I stand to be corrected
 
Kua BAKWATA ni tawi la serikali na imeundwa kuisaidia serikali pamoja na Chama Tawala (CCM) hii naiamini kabisa, haina shaka na ni ukweli mtupu. Bakwata ni taasisi mojawapo tu kundi moja na Jumuia ya Wazazi CCM, UWT & UVCCM.

ila Kua BAKWATA ni tawi la kanisa hii siiamini na haina ukweli wowote.
Mkuu information is power, na mimi mmojawapo sina uelewa mzuri ili niende sambamba wenzangu. Hivi hicho combo kilichovunjwa(EAST AFRICAN MUSLIM WELFARE SOCIETY) kilikuwa cha afrika mashariki kama jina lake linavyojitanabaisha? na kama ni hivyo baada ya kila nchi ya afrika mashariki kuwa na utawala wake je chombo hicho bado kingeweza kuendelea kuwa na uhalali wa kusimamia shughuli za kiislamu katika nchi husika?

Bado mimi nadhani tatizo ni mfumo wa utawala baada ya Uhuru maana kila taasisi serikali ilikuwa inajaribu kudhibiti utendaji wake wa kila siku,sasa ndugu zangu mkishindwa kutambua chanzo hasa cha tatizo itakuwa mnatafuta adui wa kufikirika ambaye kwenu ni rahisi, kanisa. Maana wamekuja viongozi waislamu akina Mwinyi na Jk bado shutuma zipo,mkianza kuelewana wenyewe na kuwa wamoja bila kupingana kama ansar sunni,shia,hapa nchini BAKWATA,nk.Itaonekana ni kawaida yenu na wanaowapinga wanaweza waka take advantage kuwa Hao kupingana ni kawaida yao.

Siitetei BAKWATA kuwa chombo cha waislamu pekee kama wenyewe hamuafiki,naamini hili la kuingiza na kanisa katika madai yenu is off the mark,na haitowasaidia bali mnazidi kuwapa hoja wanaowapinga. Maana mimi hapa sioni kwa nini chuki zitupiwe kanisa mwishowe na waumini wa kanisa wanaanza kuwa na chuki dhidi ya uislamu na waislamu.We will all be looser mimi mtoto wangu ni muislamu inaniwia vigumu kufikiria kuwa yeye ni adui yangu,naona wanaoingiza Siasa za chuki za kidini ni wa kukemea.
I stand to be corrected

Mkuu ulikua unataka kum-quote mtu mwingine nini ukakosea ukani-quote mimi bahati mbaya? Maana mie nlishasema tatizo ni BAKWATA ambayo ingetakiwa kuwatetea Waislam kua tawi au puppet wa CCM, hakuna nlipotaja mahali kua Wakristo ndio chanzo cha matatizo ya Waislam. Pia nirudie tena wala Bakwata sio tawi la Kanisa lolote hapa Tanzania.

Binafsi naichukulia BAKWATA kama taasisi ya kawaida tu ambayo mtu(muislam?) anaweza kuamua kuwepo au kutokuwepo humo kama anaona haimsaidii kwa lolote. Kwa Tanzania ziko taasisi nyingi za kiislam na BAKWATA ikiwemo hivyo mtu (Muislam?) anaweza kuwemo huko kwingine na asiwemo Bakwata.

I stand to be corrected as well!!
 
nimekupata mkuu,no love lost
 
We siku zote hoja yako ni hiyo tena Dhaifu saana.
Society unayoingolea ni kwa Ajili ya East Africa ni sawa na useme CAF na TFF.
Ikifa CAF,TFF itaendelea kuwepo.
Huwezi kusema kwamba TFF isiwepo itegemee CAF,sasa ndani ya nchi chombo gani kitasimamia utendaji.

Hapa kuna watu wanataka tu Kupotosha Watu.
Haiwezekani kuigeuza Tanzania kuwa Dola ya Kiislam hata siku moja,kama baadhi ya Wanaojiita Waislam michepuko.

Uislam ni dini inayojitanua yenyewe bila machafuko wala nini,na ina njia zake za amani.Ila watu wanaona hoja ya kupinga kila kitu kwao ndio njia ya kujitanua.

Leo hii kuna Wajinga wanasema ISI ni sehem ya Wamarekani,we unaona hii Akili ya mtu haswaa?
Yaani Watu wao kwa wao wanapigana halafu mtu anakuambia eti fulani ndio anachonganisha,sasa wewe kama Muislam kweli huna akili?huoni tabu kuuwa Waislam wenzio?huoni Tabu kuuwa watoto wa kiislam?Kisa unasema unaeneza dini.Unanunuliwa kwa hela ili Utoe uhai wako na wenzio?

Hii akili ni ya kipumbavu sana,na mbaya zaidi wapo wanaofadhiliwa kwa kupewa pesa na kuwarubuni waislam michepuko kama hawa.

Wewe Chombo kama BAKWATA,ambacho hadi makao makuu ya Uislam Saudia ndio kinatambulika,na kila nchi inachombo chake cha Kushughulikia Waislam wa nchi husika,hizo Nchi za Africa Mashariki zoote zina vyombo vyao.
na Vyombo hivi ndio pekee vyenye kupata mialiko ya mikutano mikuu ya Kiislam kwenye Mamlaka ya Saudi kama Makao Makuu.

Hao wanaosema BAKWATA ipo ki CCM,ni wale wanaotaka kwamba iwe inasaidia harakati za uhasama.
Na ndio hao wanaosema kwamba BAKWATA in mfumo Kristo,sasa hii akili kweli.

Ila Wasiwape tabu sana,Sie ndani ya Uislam tunawajua hao,ndio wale wanaomwagia Tindikali Maaskofu,wanaochoma makanisa nk.Ikitokea kwao watasema mpaka povu la kule litoke.
Sasa wanataka wapate nafasi ili wahakikishe kwamba Ukristo unaondoka Tanzania kwa njia hii ya vurugu.
Wanajidanganya saana,na wanapotosha sana UISLAM,uislam ni dini ya amani.

We mtu anasema eti Waislam wamenyiwa elim,huu si wendawazim?
Ulikatazwa kwenda shule?na hii mentality imekaa kwa baadhi ya Waislam michepuko mpaka leo na vizazi vyao vikiamini hivyo.

Mbona viongozi wakuu wengi ni Waislam na Wakristo hawa reiz issue ya udini?
Tuache kulalamika.
Wenzetu wakristo wakijenga Kanisa,basi pembeni kuna Shule au Zahati.Sie tukijenga Msikitini pembeni tunaweka Maduka.
We unategemea nini hapo.

Wakristo wakienda Kanisani Jpili,sadaka mtu anatoa kwa moyo mmoja na sala moja ni mamilioni ya pesa
Sie ukienda Kusali Ijumaa msiikiti umejaa,mtu anatoa coins za miambili,na tajiri unamuona anatoa elfu mbili saana katoa elfu tano.
We unategemea mtakuwa sawa?

Sasa mchawi sio Ukristo,wala CCM.Mchawi ni Waislam Michepuko.

Na pia niweke wazi hili,Nchi zoote za Kiislam,Mabaraza yake yote yapi chini ya Serikali.
Kwa sie tuliesoma Uganda ni kwamba kuna Kipindi Museven akitaka kupitisha Sheria kadhaa anaita viongozi wa dini husika hasa kupitia Taasis Kuu ya Waislam nchi mwake pale anapoona kuna muingiliano fulani ili kuweka sawa.

We kuna Taasisi ipi ambayo haina usajili wa Serikali.Hahahah aisee watu akili za ajabu kweli.

Labda niweke wazi hapa.
Wanaoichukia BAKWATA ni maadui wakubwa saana wa Ukristo na Wakristo ila wanapenda kutumia kivuli cha kusema BAKWATA ni sehem ya CCM au tawi la Kanisa.
Watapindua maneno eee lakini dhamira yao ni moja tu

Na ndio maana nawauliza hivi nyie mnachuki na wakrsito,mbona kiongozi wetu Mtume Mohammad(S.A.W) alieneza dini kwa amani na watu hao alikuwa nao karibu sana.Ili ueneze dini ni lazima uwe karibu saana na yule asie dini yako ili iwe rahisi sana kumshawishi abadilishe dini,anaweza kuvutiwa na mwenendo wako kisha akaona Uislam ndio dini ya kufuata.Lakini leo anaona watu mnauwana nyie kwa nyie,Taasisi yenu ya Dini hamuitaki.Chuki dhini ya Ukristo ipo juu.Nani atakubali.

Na wakati huo wapo Viongozi au Maswahaba wa Mtume Mohammad(S.A.W) ambao baba zao walikuwa Wakristo.Ila mbona walikuwa wanaishi nyumba moja,wanakula pamoja.Na wengi wao walibadilisha dini kuwa waislam baada ya kuona mwenendo mzuri wa Uislam na wala hawakutengana eti kisa Dini.
Sasa kama ingekuwa ni uadui huu basi hata wao Vingozi wetu wa enzi hizo za Mitume wangefukuza hadi wazazi wao waliokuwa wakristo.
Vita ilitokea tu pale ambapo mhusika kaja rasmi kwa vita,ila vita ya maneno ilimalizwa kwa maneno ya hekma na kueleweshana.

Msipotoshe watu juu ya chuki zenu kwa Ukristo,fuateni Qur`aan,na sio kufuata mkumbo tu ya chuki za dini.
Kama wewe Muislam na Muumini wa kweli,basi mwenendo wako uwe mwema ili umshawishi Mkristo aingie kwenye Uislam.
Njia hizo zimewashinda kwa kuwa wengi Dini wamevamia kusoma kijuu juu,na pia njaa ndio inawamaliza na kuona kwamba wakiwa na misimamo fulani basi kuna makundi yatawapa misaada.Huu upuuuuzi ,mtupu.Usiuze utu wako kwa Pesa

Mkuu uwe na Idd njema,nimejifunza kitu kwa ufafanuzi wako.
 
Jamani makubwa nayasikia hapa kupitia Star TV.Wachambuzi maustaadh wanaeleza hadith za Mtume hasa mfungo na sikukuu ya Idi.Sasa hapa kwenye hitimisho ndio wamesema waislam waachwe waunde chombo chao wenyewe na si hii BAKWATA.

Wamesema Uundwaji na BAKWATA umechambuliwa vizuri na mwenzetu Mohamed Said kwamba malengo ya BAKWATA sio mazuri.Mwisho kabisa wamesema BAKWATA ni tawi la Kanisa....

My Take:

R.I.P Mwalimu Nyerere na mafunzo yako juu ya mshikamano

Wanamajls,
Tatizo ninaliliona hapa katika mnakasha huu ni kuwa darsa ninazotoa hapa
sioni zikiakisiwa katika michango.

Bila ya kusoma hizi darsa wachangiaji hawataijua historia ya kweli ya BAKWATA
na watakuwa wanazungumza kwa hisia zao tu.

Naweka hapa Historia ya BAKWATA Sehemu ya 3:
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA TATU

''Tuhuma zile dhidi ya Aga Khan na EAMWS hazikuweza kuthibitishwa na
Halmashauri Kuu ya TANU ikaliacha jambo lile kwa wakati ule. Lakini
Nyerere alikuwa amefedheheka. Kuanzia hapo akajenga chuki dhidi ya
Bibi Titi na kumweka Rajab Diwani na Selemani Kitundu karibu yake.
Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1965 Bibi Titi na Tewa wakapoteza
viti vyao kwa watu ambao walikuwa hata hawafahamiki A.M. Mtanga na
Ramadhani Dollah. Iliaminika kuwa Nyerere alikuwa anahusika na kuanguka
kwa Bibi Titi na Tewa. Kuanzia hapo mambo yakawa dhahiri. Nyerere alikuwa
amewatangazia vita wote wawili, Bibi Titi na Tewa. Nyerere alikuwa sasa ana
imani kuwa wale maadui zake wawili walikuwa wamekwisha kisiasa. Lakini
kilichokuwa kikimuudhi Nyerere zaidi ilikuwa taarifa ambazo alikuwa akizipata
kuwa Tewa alikuwa akipewa mapokezi makubwa sana na Waislam katika ziara
zake huko mikoani kama rais wa EAMWS.''
 
BADO MMOJA unamwaga uharo ovyo jukwaani na kupoteza wakati wa waungwana.
Wewe kwa imani yako Mzungu ndio mungu wako. Na mpk leo 2015 unaweka picha yake chumbani kwako na kuipigia goti halafu unataka kusema nini hapa?

Yaani mwenye Kuua sana ndio juu ya vichwa vya watu sio?
Halafu unasahau kuwa mpk leo inamini mungu wako pia ALIUAWA KIFO CHA LAANA na hao hao unawasifia kuwa Wababe?
Mbona nyie wagalatia mzigo namna hii?
Nikukute Pm uliambiwa mimi msodomi? Mnfnsssssss! Nyambaff kabisa.
Mkubwa mzima Unaiga mzungu mpk kunya bila Kuchamba?

Wenye Tabia za kula nyama za watoto wao wametajwa kwenye andiko. Na kamwe sio Waislamu.
Soma hapa.

YEREMIA 19:9

Nami nitawalazimisha kula nyama ya wana wao, na nyama ya binti zao, nao watakula kila mmoja nyama ya rafiki yake, wakati wa mazingira na dhiki, ambayo adui zao, na watu wale watafutao roho zao.

WEWE Mkristo ndio uneambiwa utakula nyama wa mtoto wako. Na wenzako huko Nyuma walishakula sana.

MAKAFIRI wanachonganisha na Kuua waislamu Kila siku bila hatia yyt halafu leo mnajisifu kuwa Ni Mahodari.
Endeleeni KUUA na kuwasifia Wauwaji lkn Kumbuka MAKAFIRI WOTE pia Mtakufa. And that is the fact miss Pastor.
Fainali iko JAHANNAMU.

Sasa endelea Kurusha maneno ya mipasho lkn Mwisho wa MAKAFIRI Hauko mbali.

Nakushauri umpokee YESU KRISTO awe bwana na Mwokozi wako nawe utakuwa na AMANI.Tofauti na hapo utahangaika Duniani na Akhera.
 
Wanamajls,
Tatizo ninaliliona hapa katika mnakasha huu ni kuwa darsa ninazotoa hapa
sioni zikiakisiwa katika michango.

Bila ya kusoma hizi darsa wachangiaji hawataijua historia ya kweli ya BAKWATA
na watakuwa wanazungumza kwa hisia zao tu.

Naweka hapa Historia ya BAKWATA Sehemu ya 3:
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA TATU

''Tuhuma zile dhidi ya Aga Khan na EAMWS hazikuweza kuthibitishwa na
Halmashauri Kuu ya TANU ikaliacha jambo lile kwa wakati ule. Lakini
Nyerere alikuwa amefedheheka. Kuanzia hapo akajenga chuki dhidi ya
Bibi Titi na kumweka Rajab Diwani na Selemani Kitundu karibu yake.
Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1965 Bibi Titi na Tewa wakapoteza
viti vyao kwa watu ambao walikuwa hata hawafahamiki A.M. Mtanga na
Ramadhani Dollah. Iliaminika kuwa Nyerere alikuwa anahusika na kuanguka
kwa Bibi Titi na Tewa. Kuanzia hapo mambo yakawa dhahiri. Nyerere alikuwa
amewatangazia vita wote wawili, Bibi Titi na Tewa. Nyerere alikuwa sasa ana
imani kuwa wale maadui zake wawili walikuwa wamekwisha kisiasa. Lakini
kilichokuwa kikimuudhi Nyerere zaidi ilikuwa taarifa ambazo alikuwa akizipata
kuwa Tewa alikuwa akipewa mapokezi makubwa sana na Waislam katika ziara
zake huko mikoani kama rais wa EAMWS.''

Ndio maana wenye Akili hatutaki MAHAKAMA YA KADHI iundwe na Serikali wala kuingizwa kwenye Katiba ya Nchi maana nayo itakuwa kama BAKWATA na Mwishowe itakuwa ni Kitengo cha Kanisa.
 
Jamani makubwa nayasikia hapa kupitia Star TV.Wachambuzi maustaadh wanaeleza hadith za Mtume hasa mfungo na sikukuu ya Idi.Sasa hapa kwenye hitimisho ndio wamesema waislam waachwe waunde chombo chao wenyewe na si hii BAKWATA.

Wamesema Uundwaji na BAKWATA umechambuliwa vizuri na mwenzetu Mohamed Said kwamba malengo ya BAKWATA sio mazuri.Mwisho kabisa wamesema BAKWATA ni tawi la Kanisa....

My Take:

R.I.P Mwalimu Nyerere na mafunzo yako juu ya mshikamano

Kuna baadhi ya waislam wanadhani dini yao ndiyo amani. Nenda Iran, saudia, pakistan, yemen, egypt etc uone kama kuna amani. Tuwe macho na hao matapeli wa kidini
 
Kanisa,Msikiti..
yote ni majengo ya imani zilizochipukia kwa watu weupe wanaotuita sisi WAAFRIKA manyani.
Walileta imani hizi wakidai Waafrika hatuna ustaarabu wala imani sahihi ya Kimungu.
Mungu alileta Mitume kwenye jamii zilizozama katika dimbwi la maovu.
fungua macho uone nani alipotea kati ya watu weupe na weusi.
Mpende Mungu mpende ndugu yako mpende jirani yako.
Madhehebu unayoyabeba ni imani yako tu juu ya hatima yako baada ya maisha haya.

Hii ndio busara hakika, we ni mtuu wa maana saaana. Sijui niseme nini ila hazina kama hizi ni muhimu kwa JF.
 
Lengo la dini ni lipi?
Mbona inafikia dini kuleta machafuko badala ya amani?
Kila mtuabaki na imani yake maana kila mtu ana nafsi yake na atahukumiwa peke yake.
Nashangaa sana sijui watu wanalilia haki gani.
Tumuabudu Mungu wetu na kutenda yaliyo mema hilo ndilo jambo jema.
 
Nilishampenda mpk nikafunga nae ndoa.
Hio haitoshi?

Hilo halitoshi.Hakikisha huna Majungu,Fitina,Chuki,Mihemko na Umbea.Ukiona unahubiri amani na Upendo bila hisia za kujitoa mhanga au kujilipua ujue Yesu ameshaingia Moyoni mwako.
 
Hilo halitoshi.Hakikisha huna Majungu,Fitina,Chuki,Mihemko na Umbea.Ukiona unahubiri amani na Upendo bila hisia za kujitoa mhanga au kujilipua ujue Yesu ameshaingia Moyoni mwako.

Mihemko mbona imejaa sana makanisani?
Ina maana hao wachungaji wanaobaka hawajampokea yesu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom