we ugonini wacha kuwatukana waislam,maneno yako niyakuwadhalilisha waislam na imani yao,je waislam wangemvamia sister wakamvua kilemba na kumburuza ungekaa kimya?cheza na mtu usicheze na imani yake.CCM inacheza sana na akili za waisilamu maana ni rahisi sana kuwanasa. Wao ukitaka kuwateka tumia dini tu hata kama jana uliwatoa ngeo kama ni mwenzao mtapatana. Nadhani pengine ndivyo wananavyo fundishwa(ubinafisi wa kidini mpendelee mwisilami mwenzako)
Cha ajabu ni kwamba hawaamini kwamba CCM kamwe hawataweza kutimiza matakwa ya waisilamu yaliyo kinyume na katiba ya nchi hii hata kama mwenyekiti wake ni mwiisilamu. Atawandanganya tu na mwisho wa siku atawaambia hayo ni mambo yenu fanyeni wenyewe na huo ndo ukweli.
Hakuna Raisi nchi hii hata kama atakuwa shehe,padre au mchungaji atakayekubali kuvunja katiba ya nchi kwa ajili ya kuipendelea dini moja dhidi ya nyingine. Wenzetu waisilamu hawataki kukubaliana na hili wanadhani Raisi akiwa mwisilamu basi anaweza kupendelea uisilamu kitu ambacho hakitakaa kitokee nchi hii!
Kama Raisi wa Tanzania anataka asimalize hata mwezi Ikulu basi apendelee dini yake kwa uwazi aone kama kundi la pili litaogopa na kukaa kimya.
Kama kuna waisilamu wanaona CDM haimtendei haki (japo haijawahi kuwa na mamlaka ya kutenda au kutowatendea haki watanzania) aendelee kubaki ccm kama anaona kwake issue ni dini zaidi kuliko vita vya ufisadi na maisha magumu tuliyonayo watanzania kwa sasa. Hakuna anayemlazimisha mtu kuwaunga mkono chadema ila ni watu wenyewe wameua kutoka mioyoni mwao.
Hatuwadharau wenzetu waisilamu ila Imekuwa too much utafikiri wao ni yule mtoto kitinda mimba ambaye hagusi hata kidogo analia 'mamaaaaaa eti ....... ananishikakichwani'! Ndugu zetu lazima wajiamini waondokane na ile inferiority comprex na kudhani kuwa kuna mtu anawdharau.
Inashangaza sana kwanini kunakuwa na watu wao hujihisi kunyanyaswa tu kila wakati bila hata kuyaona manyanyaso yenyewe.
But nina marafiki zangu tumesoma nao ni waisilamu lakini wanajiamini sana na ni wapenzi wa chadema wa kufa mtu.
ndugu zetu jiaminini kwanza bila hivyo itasumbua sana na hatutakaa tutatue matatizo ya msingi ya nchi yetu. Kumbukeni mtaendelea kutumiwa tu na ccm kama toilet paper wakati wa uchaguzi wakishapata mnabaki palepale labda na nyie muwe mafisadi wakati dini hairusu.
Tuweni kitu kimoja bila kujali dini zetu tumshughulikie adui wa watanzania wote ambaye ni ccm. Hata Kama baadhi yenu mtakataa bado Mungu akisema ndiyo hakuna atakayezuia.
Mungu ibariki Tanzania!