Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Status
Not open for further replies.
wewe mpu.mbavu hujui hitoria ya nchi hii. waislamu ndo waliodai uhuru wa nchi hii wameuawa wengi (fikiria kuhusu akina Abshiri bin Salim, hasan Omari Bin makunganya, Mkwawa, Kinjekitile, na wengine wengi na hata waasisi wa Pre-TANU (TAA)) wakati wakiristo wakiwakumbatia kwa mwanvuli wa dini (kumbuka kule uchagani na uhayani waliandamana kupinga Tz kupata uhuru eti hatujawa tayari). Nahata nyerere alipokuja wakamkaribisha na kumlipa mshahara baada ya kuacha kazi Pungu sec. Lakini hapa unataka kutuaminisha kuwa wakristo ndo wanamapinduzi? waislam wana mfano, ni upi mfano wa wakristo.
Achana na hii histora uchara uliyosoma shuleni kwenu, jifunze historia ya ukweli ujue ukweli. Anyway tunajua kua uhuru tuliodai haukutusaidia, sasa tupo kwenye harakati za kutafuta uhuru wa pili ambao naamini hatutafanya makosa tena. Tuliweza na sioni sababu kwa nini tushindwe. We shall win, by any means. do not matter is today, tommorow or after. we shall have it.

Mkuu mbona unaanza kwa matusi? Huo sio ustaarabu. Pili acha udini, kumbuka wakati wale wazee wanapigania uhuru wa Tanganyika hawakupigania kama waislaam, la hasha bali wengi wao dini yao ilikuwa uislaam. Kama walipigania kidini basi wasingewakaribisha Mwl. Nyerere na wengine kama akina Oscar Kambona katika chama cha TAA na baadaye TANU. Au unasemaje kuhusu yule mwanachama aliyekuwa tajiri mkubwa na mfadhili mkuu wa TAA na baadaye TANU Mhe. John Rupia. Ilikuwaje naye awe katika mapambano hay? Kama wangekuwa na dhana mbovu ya udini kama yako, nadhani kwa ubinafsi huo mpaka leo tungekuwa chini ya wakoloni.
 
Feedback, una matatizo sana ya akili...Mbona Papa anawatawala ama hili hulioni?

Christianity is super natural faith,. Hao magamba ni wepesi wa kueneza chuki zisizo na mpango,pale wajeshi na makamanda wa igunga wala hakuna aliekua na nia wala ya kuudhalilisha uislamu kama baadhi ya chip minder walivyo take advantage.waislamu ni watu waelewa hakuna mjinga wa wakuburuza kaeni mkijua. Vazi haliwezi kua uislamu ila imani ya mtu na MUNGU wake katika nafsi.wangapi wanavaa hijabu nakanzu alafu ni watenda maovu mwanzo mwisho!? Anyway alakini wapumbavu wachache wapo na hawatoacha kuburuzwa.vipi wale waliopakia meli kupita kiasi na kusababisha maafa sio waislamu!!?? Waislamu kuweni makini na hao watu wenyekauli gombanishi.
 
Hivi Mtemi Mkwawa (aiyewapiga Wajerumani) alikuwa Muislam? Nilithani alikuwa akiabudu Mizimu...mwe...

Kuna tetesi kuwa Mkwawa alikuwa mbioni kusilimu ila sijapata confirmation ila bado nafuatilia historia huko iringa kwani aliwapinga wajerumani walikuwa wanataka kubadilisha imani zao.

Labda nikuulize vidume vya Majimaji walikuwa dini gani??

Udini huanzia pale mnapoanza kuona jamii moja ni bora kuliko nyengine. Udini ni pale unapoanzia kwa kuona jamii fulani inafaa kuendelea kufaidika na nchi wakati jamii nyengine haifai kufaidika. Udini huanza pale unapokuwa unaibagua jamii moja kuliko nyengine. Na kwa definition hii ya udini Nyerere WENU FAILED MISERABLY ndio maana alipojibiwa na waislamu pale mtoro hakutamka tena hadharani nadharia yake ya unafiki kuhusu udini!!! Hebu kaeni kimya nyie msiojua kitu kuhusu nchi hii!
 
Padri Ruzoka na Kadinal Pengo waiache Chadema isimame peke yake! Chadema bila Kanisa la Roman Catholic inawezekana!
 
Baadhi ya taasisi za kiislamuu na waumini wa dini hiyo hapa JF wameonesha hasira na machukizo kwa CHADEMA kwa kutoa matamko makali na vitisho vyenye masharti. Hasira hizo ni kwa kitendo cha kusukwa sukwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga kulikofanywa na baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA na kusababisha kuodondoka kwa “hijab”.

  1. Je, ni hijab au zaidi ya hijab kwa CHADEMA?
  2. Je, ni hijab (makosa kwa dini ya kislamuu) ngapi CCM na serikali yake imewavua waislamu toka kuanzishwa kwake? je, mlitoa tishio kama hili na je, lilipokataliwa mlichukua hatua gani?
  3. CCM imewafanyia “makosa” mengi, je, mtawaagiza waombe radhi na kuwatishia “kuwaadhibu” kama hawajafanya hivyo:-
    1. Mauaji ya waislamu wa Mwembechai yaliyofanywa na serikali ya CCM
    2. Muislamuu mwenzenu aliyekufa Arusha wakati wa maandamano ya CHADEMA
    3. Wastaafu – miongoni mwao ni waislamu- wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki pale ambapo walipigwa na kudhalilishwa na Polisi na kuendelea kunyanyaswa
    4. Waislamu zaidi ya elfu moja wanasadikika kufa maji baada ya boti
    5. Imechangia umaskini wa watanzania wengi ikiwa ni pamoja na waislamu
    6. Imewafanya waislamu walio wengi – kama mnavyodai - kuwa na elimu duni
    7. Kuwakatalia mahakama ya kadhi
    8. Serikali kuingia MOU na taasisi/madhehebu ya kikristo
Na mengineyo
 
Radio clouds jioni hii ilikuwa inaongoza kipindi cha kulaani kile wanachodai ni kudhalilisha uislam kwa wafuasi wa chadema kumvua hijab dc wa igunga.Tatizo ni kwamba hii radio clouds inazungumza kiuchochezi ili waislam waichukie chadema.My take:Kwanini clouds inazungumzia swala ambalo liko mahakamani?
 
Who told you? lakini pia rudi kwa post ya yule anayewakebehi waislam ambaye haswa ndo mlengwa wa post yangu. hivi sio waislam waliopigania uhuru wa nchi hii tangu mkoloni mjerumani? halafu jamaa analeta kashfa za kijinga?

unijibu mimi tu. walipigania uhuru kwa uislam wao ama utanzania wao. nikuonye mapema, amwabudeye mungu kwa roho yake aabudu kweli bali aabuduye kwa dini atumia akili yake kwa hasara yake.
 
Ningewashauri waislam wangeandamana kwa hii issue ya Mweka hazina wa CCM MBUNGE MWIGULU kuzini na mke wa imam pale Igunga maana kama maandiko ndani ya quraan inavyosema"msiikaribie zinaa";ni dhahiri kabisa kosa la kuzini ni kubwa kuliko kumvua mtu hijab!

Otherwise wanaweza kuandamana kuhusu hijab kama wana lao jambo lingine la kisiasa zaidi la kimaadili!
 
wewe mpu.mbavu hujui hitoria ya nchi hii. waislamu ndo waliodai uhuru wa nchi hii wameuawa wengi (fikiria kuhusu akina Abshiri bin Salim, hasan Omari Bin makunganya, Mkwawa, Kinjekitile, na wengine wengi na hata waasisi wa Pre-TANU (TAA)) wakati wakiristo wakiwakumbatia kwa mwanvuli wa dini (kumbuka kule uchagani na uhayani waliandamana kupinga Tz kupata uhuru eti hatujawa tayari). Nahata nyerere alipokuja wakamkaribisha na kumlipa mshahara baada ya kuacha kazi Pungu sec. Lakini hapa unataka kutuaminisha kuwa wakristo ndo wanamapinduzi? waislam wana mfano, ni upi mfano wa wakristo.
Achana na hii histora uchara uliyosoma shuleni kwenu, jifunze historia ya ukweli ujue ukweli. Anyway tunajua kua uhuru tuliodai haukutusaidia, sasa tupo kwenye harakati za kutafuta uhuru wa pili ambao naamini hatutafanya makosa tena. Tuliweza na sioni sababu kwa nini tushindwe. We shall win, by any means. do not matter is today, tommorow or after. we shall have it.

Mkuu mi nadhani kuna misunderstanding hapa, hakuna anaepinga kuwa waislamu walidai uhuru ila issue hapa ni je, bado wanadhamira ya dhati ya kupigania uhuru wa pili wa nchi yetu? Kama ni ndiyo inakuwaje kuyashikia bango mambo ambayo yanatugawa na kutufanya badala ya kushambulia adui tunashambuliana sisi kwa sisi? Au ndio tumekuwa wanaharakati waliosahau malengo? Jamani hebu tuzinduke basi na tutumie akili zetu alizotujaalia Mola wetu japo kwa uchache badala ya kutumia nguvu njingi kupinga mambo yasiyo ya msingi wala tija kwa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
hivi uyo mwananke amevuliwa mtandio akiwa anaswali ama akiwa ameenda kuleta vurugu
kwa makusudi katika mkutano wa cdm? mi naishi na waislam hapa, ni bonge la watu wastaarabu,
na waelewa, hawana shida na mtu. napata kigugumizi kuamini kama huyo dc ni mwislamu wa
imani au ni mwislamu wa kuzaliwa ktka familia ya kiislamu, na pia kwa nini bakwata na basuta
waingilie mambo ya kisiasa? mi nilidhani ccm ndo walalamike kwani mwanajinsia wao amevuliwa
kitambaa kichwani.kitendo cha bakwata ba basuta kusema mtandio ni hijabu? nashangaa, labda
watuambie ndo waliomtuma.
 
Baadhi ya taasisi za kiislamuu na waumini wa dini hiyo hapa JF wameonesha hasira na machukizo kwa CHADEMA kwa kutoa matamko makali na vitisho vyenye masharti. Hasira hizo ni kwa kitendo cha kusukwa sukwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga kulikofanywa na baadhi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA na kusababisha kuodondoka kwa “hijab”.
  1. Je, ni hijab au zaidi ya hijab kwa CHADEMA?
  2. Je, ni hijab (makosa kwa dini ya kislamuu) ngapi CCM na serikali yake imewavua waislamu toka kuanzishwa kwake? je, mlitoa tishio kama hili na je, lilipokataliwa mlichukua hatua gani?
  3. CCM imewafanyia “makosa” mengi, je, mtawaagiza waombe radhi na kuwatishia “kuwaadhibu” kama hawajafanya hivyo:-
    1. Mauaji ya waislamu wa Mwembechai yaliyofanywa na serikali ya CCM
    2. Muislamuu mwenzenu aliyekufa Arusha wakati wa maandamano ya CHADEMA
    3. Wastaafu – miongoni mwao ni waislamu- wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki pale ambapo walipigwa na kudhalilishwa na Polisi na kuendelea kunyanyaswa
    4. Waislamu zaidi ya elfu moja wanasadikika kufa maji baada ya boti
    5. Imechangia umaskini wa watanzania wengi ikiwa ni pamoja na waislamu
    6. Imewafanya waislamu walio wengi – kama mnavyodai - kuwa na elimu duni
    7. Kuwakatalia mahakama ya kadhi
    8. Serikali kuingia MOU na taasisi/madhehebu ya kikristo
Na mengineyo

Hijabu katika hili ni vazi tuu tena ndio utakuta yeye DC Fatuma ndio mbaya zaidi hata kuliko Hijabu,

Hayo yote uliyo yataja hopo juuu hawakumbuki eeeh? Huyo Mufti nadhani nae kadanganywa na CCM au wazeee wenzake wa baraza nadhani ni njaaaa inawasumbua sana hao.
 
Ningewashauri waislam wangeandamana kwa hii issue ya Mweka hazina wa CCM MBUNGE MWIGULU kuzini na mke wa imam pale Igunga maana kama maandiko ndani ya quraan inavyosema"msiikaribie zinaa";ni dhahiri kabisa kosa la kuzini ni kubwa kuliko kumvua mtu hijab!

Otherwise wanaweza kuandamana kuhusu hijab kama wana lao jambo lingine la kisiasa zaidi la kimaadili!

hawataandamana,wanasubiri kumpiga mawe yule mwanamke hadi afe
 
Hapa nafikiri inabidi issue za kidini ziwe zinapelekwa jukwaa la dini. Tunapotezeana muda na pesa kubishania ujinga ambao hautakaa utusaidie nchi hii.

Kuna wtu humu akiona tu dini yake imetajwa masaburi yanawasha anaanza story za kijinga tu kama hii eti mkwawa sijui alikuwa mwisilamu sijuiwaisilamu ndo waliopigania uhuru. Ujinga tu tumesoma wote historia hakukua na kupigana wala nini wazungu walitoa uhuru wa TZ bure.

Tunaongelea mambo ya wakolono wa miaka ya 47 wakati leo hii tuna matatizo zaidi ya wakati wa ukoloni. Tunafikiria shallow kama hatujafika hata darasa la saba.

Kama dini yako unaipenda ni ya kwako nenda kaitumikie sisi wengine haituhusu.

Mnakera sana hapa ni jukwaa la siasa siyo dini.

Mod tunaomba mtu akileta udini ndani la jukwaa la siasa ale ban aende akahubiri dini yake huko!
 
Kwanza alivaa kimini na hiyo kwa uislam ni shubuha. Atoke zake, mwivi huyo. Na ataenda motoni.
 
Naheshimu mawazo yenu,ila cdm waangalie kwa makini juu ya hili suala kinachozungumziwa ni tukio la kuvuliwa hijab na si kingine,wajaribu kueleza uma ilikuwaje hijab ikavuliwa wakati mtu walishamdhibiti?na sikufananisha na ahadi za ccm za mahakama ya kazi kwani hazihusiani na udhalilishaji huu.kama dc alikuwa na makosa haikupaswa kufikia kuvuana nguo na kuwekana uchi.
 
<br />
<br />
Mkuu! Naona wengi wanajichanganya,mimi sitetei mambo DC aliyofanya! Ieleweke hivyo,na tafadhali isomeni post vizuri. Kumbukeni ni lazima kuiheshimu imani ya mtu! Kama wangetumia busara yote yangefika huku? Mimi nasisitiza CDM watuombe radhi! La sivyo kitakachofuatia watakijutia na kuomba radhi wakati huo watakuwa wamechelewa! Jamani mbona mambo yapo wazi? Tatizo kubwa la JF ni ushabiki. Ma great thinker wako wapi? Bandubandu humaliza gogo na kidogokidogo hujaza kibaba,hizi ni lawama CDM wanajikusanyia. Sijasahau kadhia ya uchaguzi mwaka jana kwa CDM kuwadharau Waislam kwa kumchukua mgombea mwenza darasa la saba,hii ni dharau ya hali ya juu! Na dharau nyinginezo,haya hayajengi na hayawezi kufanywa na watu makini.

Kwani katiba inazuia mtu wa darasa la 7 kuwa mgombea mwenza?
 
Naheshimu mawazo yenu,ila cdm waangalie kwa makini juu ya hili suala kinachozungumziwa ni tukio la kuvuliwa hijab na si kingine,wajaribu kueleza uma ilikuwaje hijab ikavuliwa wakati mtu walishamdhibiti?na sikufananisha na ahadi za ccm za mahakama ya kazi kwani hazihusiani na udhalilishaji huu.kama dc alikuwa na makosa haikupaswa kufikia kuvuana nguo na kuwekana uchi.[/QUOTE

Jamani mbona mnapenda kukuza hata mambo madogo? Tangu lini kuvua hijab ni kuwa uchi? Ingekuwa hivyo si ingekuwa balaa? wanawake wangapi wa kiislamu wanaranda mitaani bila hijab? Au mtu akiwa DC ndio anakuwa muislamu sana? Yawezekana hijab ilivuka bahati mbaya ktk hizo prukshani za kubishania alichoenda kukifanya huko!
 
Hapa nafikiri inabidi issue za kidini ziwe zinapelekwa jukwaa la dini. Tunapotezeana muda na pesa kubishania ujinga ambao hautakaa utusaidie nchi hii.

Kuna wtu humu akiona tu dini yake imetajwa masaburi yanawasha anaanza story za kijinga tu kama hii eti mkwawa sijui alikuwa mwisilamu sijuiwaisilamu ndo waliopigania uhuru. Ujinga tu tumesoma wote historia hakukua na kupigana wala nini wazungu walitoa uhuru wa TZ bure.

Tunaongelea mambo ya wakolono wa miaka ya 47 wakati leo hii tuna matatizo zaidi ya wakati wa ukoloni. Tunafikiria shallow kama hatujafika hata darasa la saba.

Kama dini yako unaipenda ni ya kwako nenda kaitumikie sisi wengine haituhusu.

Mnakera sana hapa ni jukwaa la siasa siyo dini.

Mod tunaomba mtu akileta udini ndani la jukwaa la siasa ale ban aende akahubiri dini yake huko!

Asante sana. Umesema yote hakika kuna mijitu inakera sana na mambo yao ya kidini!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom