bi mkora
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 259
- 113
Kabla hujaenda kumuuliza mwalimu wa madrasa, wewe binafsi unaichukua CDM simply kwa sababu ni muislam?Acha nikamuulize shehe wa mtaa. Nitakujulisha .
Kabla hujaenda kumuuliza mwalimu wa madrasa, wewe binafsi unaichukua CDM simply kwa sababu ni muislam?Acha nikamuulize shehe wa mtaa. Nitakujulisha .

Kama mtandio unaitwa hijabu basi hijabu haina maana.
Ya wizi au ya chuki?Unaweza ukadhibitisha maneno yako mkuu?
Mimi sio mwislamu lakini ni CCM damu na ninachukia CDM vibaya sana.Kabla hujaenda kumuuliza mwalimu wa madrasa, wewe binafsi unaichukua CDM simply kwa sababu ni muislam?
Ya wizi au ya chuki?
Nakusanya ushahidi halafu nimpelekee mtikila akashitaki mahakamaniya chuki dhidi ya waislamu.
Nafurahi kuona umeamua kubadili dini coz umechoshwa na uislam. jumapili tutakubatiza na utaitwa Furaha.Mimi sio mwislamu lakini ni CCM damu na ninachukia CDM vibaya sana.

Josephine Mushumbusi na hawala wake
Maswali ya kipuuzi kawaulize wanao. Mtu mjinga siku zote yale mambo yasiyo na maana ndiyo anayopoteza muda mwingi kujadili na kuacha yale ya msingi kwa vile hataki/hawezi kutumia ubongo wake.Niambie tofauti kati ya Kanzu na Hijab, muislamu?
Bwana Furaha c umeshakuwa mkristu sasa naomba utulize mshono watu wazima tuendelee na mjadala. FF ni panya kama wewe, koma kunifananisha naye.View attachment 37575Unajua kila siku zinavyo kwenda unajaribu kumuiga FF humu JF lakini umechemsha

wewe sio muislamu, waislamu wote ni sawa na mwili kinapouma kidole mwili mzima unauma, sasa wewe amevuliwa hijabu muislamu mwenzako unasema huungi mkono, kama wewe ni muislam ni mnafiki au huijui dini yako, cdm itabaki hapa hapa duniani dini unakwenda nayo kwa mungu wako,
Huwezi kufika kiwango cha huyo dada, ni maji marefu kwakoBwana Furaha c umeshakuwa mkristu sasa naomba utulize mshono watu wazima tuendelee na mjadala. FF ni panya kama wewe, koma kunifananisha naye.View attachment 37575
Wewe wasema, punguza jazba then karibu tule kitimoto bwana Furaha.View attachment 37576Huwezi kufika kiwango cha huyo dada, ni maji marefu kwako
Poa tu, sema tukutane wapi tupate hiyo kituWewe wasema, punguza jazba then karibu tule kitimoto bwana Furaha.View attachment 37576
Matumishi ya CCM na Nape utayajua tu, kila kitu bila kuchanganya mambo ya dini roho zao haziridhiki. Hiyo ya dini ni wajinga tu ndio unaweza kuwapigia propaganda hizo na kuwachota wengine no.CDM lazima ikubali kuweka mgombea mislamu ndio hapo itapata msaada wa waislamu, msaada huo utakuja kwa kura na pesa. Bila nguvu ya waislamu chama hakitaendelea.
CCM inapata support ya wailsamu na wakristo lakini nyie ni support ya baadhi ya wakristo tena ni wa kikatoliki tu.
Njoo hapa igunga kuna bar inaitwa tausi bar.Poa tu, sema tukutane wapi tupate hiyo kitu

Unajua kila siku zinavyo kwenda unajaribu kumuiga FF humu JF lakini umechemsha
Bibie sio wote ni majobless, sie tuna kazi zetu. Sio waendekeza upambe upate hela ya kula.Njoo hapa igunga kuna bar inaitwa tausi bar.