Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,711
Udini ni dalili ya mwanasiasa kufirisika kimawazo...
Kuna baadhi ya habari nimezisikia kwenye uchambuzi wa magazeti redioni asubuhi ya leo, zimenipa mawazo kuwa kuna kazi kubwa na ngumu sana mbele ya safari kama kuna nia ya kweli ya kuleta uhuru wa pili hapa nchini.
Hili tukio lililotokea siku chache zilizopita ambalo liko mahakamani sasa limefanywa kuwa la kidini. ajenda hapa ni kutaka kuwagawanya watu na kuendelea kuwatawala kama alivyofanya mkoloni mzungu yaani ''divide and rule'' ndivyo anavyofanya mkoloni mweusi akishirikiana na waganga njaa ili kulinda maslahi yake. Yaani kazi ni ngumu kweli kweli.
Hapana hapana,Dini ya Kiislamu sio ya kinafiki ila baadhi ya viongozi wetu wa dini ni wanafiki sana. Mbona kule Irani walimpiga yule mwanamke mzinzi mpaka akafa huku amevaa hijabu, mbona hawakumvua kusudi asije akadhalilisha dini yetu ya kiislamu????!!!!! Na hakukuwa na laana zozote za kuwalaani wa Irani kwa kudhalilisha dini ya kiislamu? Mbona wanaojitolea muhanga wanavaa hijabu na kanzu kwa nini basi tusilaamu kuwa wanadhalilisha uislamu??? Mbona wanmapinduzi wa Misri,Libya, Yemeni waliandamana wakivaa hizo hijabu na wakalipuliwa kwa mabobu na kuuawa huku wamevaaa hayo mavazi na hatukutokea mitaani kusema kuwa waliouawamedhalilisha dini ya kiislamu!!! Nasema hivyo sababu dini yetu ni ya mapendo na haiungi mkono kuua. Ni hayo machache ambayo hata wenzetu hawatuelewiKweli naamini zaidi kuwa uislamu ni dini ya kinafiki sana..................ilipotokea pemba watu kuuawa...waislamu waliilaani sn ccm.....ilipotokea mwembeyanga waislamu walilaani sana kwa kuwa huko kote ni waislamu na wala hawakusema kuwa hawaruhusiwi kuandamana.....ilipotokea pale arusha wakombozi wetu kuuawa km ngedere waislamu walikuwa wa kwanza kuisemea ccm na kuilaani chadema na kufurahia vifo vya raia wema.........kweli uislamu ni dini ya kinafiki sana
wewe mpu.mbavu hujui hitoria ya nchi hii. waislamu ndo waliodai uhuru wa nchi hii wameuawa wengi (fikiria kuhusu akina Abshiri bin Salim, hasan Omari Bin makunganya, Mkwawa, Kinjekitile, na wengine wengi na hata waasisi wa Pre-TANU (TAA)) wakati wakiristo wakiwakumbatia kwa mwanvuli wa dini (kumbuka kule uchagani na uhayani waliandamana kupinga Tz kupata uhuru eti hatujawa tayari). Nahata nyerere alipokuja wakamkaribisha na kumlipa mshahara baada ya kuacha kazi Pungu sec. Lakini hapa unataka kutuaminisha kuwa wakristo ndo wanamapinduzi? waislam wana mfano, ni upi mfano wa wakristo.Kwa mtindo huo, hata suala la mabadiliko ya katiba litageuzwa kuwa la kidini! Itakuwa ni masikitiko makubwa na huzuni pale waislamu watakaporubuniwa na vibaka wa ccm kwa masilahi yao binafsi kwamba suala la mabadiliko ya katiba ni kwa ajili ya masilahi ya chadema! Huko ndiko tunakoelekea! Bado tuna safari ndefu lakini tutafika tu!
Udini ni dalili ya mwanasiasa kufirisika kimawazo...
Hivi Mtemi Mkwawa (aiyewapiga Wajerumani) alikuwa Muislam? Nilithani alikuwa akiabudu Mizimu...mwe...wewe mpu.mbavu hujui hitoria ya nchi hii. waislamu ndo waliodai uhuru wa nchi hii wameuawa wengi (fikiria kuhusu akina Abshiri bin Salim, hasan Omari Bin makunganya, Mkwawa, Kinjekitile, na wengine wengi na hata waasisi wa Pre-TANU (TAA)) wakati wakiristo wakiwakumbatia kwa mwanvuli wa dini (kumbuka kule uchagani na uhayani waliandamana kupinga Tz kupata uhuru eti hatujawa tayari). Nahata nyerere alipokuja wakamkaribisha na kumlipa mshahara baada ya kuacha kazi Pungu sec. Lakini hapa unataka kutuaminisha kuwa wakristo ndo wanamapinduzi? waislam wana mfano, ni upi mfano wa wakristo.
Achana na hii histora uchara uliyosoma shuleni kwenu, jifunze historia ya ukweli ujue ukweli. Anyway tunajua kua uhuru tuliodai haukutusaidia, sasa tupo kwenye harakati za kutafuta uhuru wa pili ambao naamini hatutafanya makosa tena. Tuliweza na sioni sababu kwa nini tushindwe. We shall win, by any means. do not matter is today, tommorow or after. we shall have it.
Kuna baadhi ya habari nimezisikia kwenye uchambuzi wa magazeti redioni asubuhi ya leo, zimenipa mawazo kuwa kuna kazi kubwa na ngumu sana mbele ya safari kama kuna nia ya kweli ya kuleta uhuru wa pili hapa nchini.
Hili tukio lililotokea siku chache zilizopita ambalo liko mahakamani sasa limefanywa kuwa la kidini. ajenda hapa ni kutaka kuwagawanya watu na kuendelea kuwatawala kama alivyofanya mkoloni mzungu yaani ''divide and rule'' ndivyo anavyofanya mkoloni mweusi akishirikiana na waganga njaa ili kulinda maslahi yake. Yaani kazi ni ngumu kweli kweli.
wewe mpu.mbavu hujui hitoria ya nchi hii. waislamu ndo waliodai uhuru wa nchi hii wameuawa wengi (fikiria kuhusu akina Abshiri bin Salim, hasan Omari Bin makunganya, Mkwawa, Kinjekitile, na wengine wengi na hata waasisi wa Pre-TANU (TAA)) wakati wakiristo wakiwakumbatia kwa mwanvuli wa dini (kumbuka kule uchagani na uhayani waliandamana kupinga Tz kupata uhuru eti hatujawa tayari). Nahata nyerere alipokuja wakamkaribisha na kumlipa mshahara baada ya kuacha kazi Pungu sec. Lakini hapa unataka kutuaminisha kuwa wakristo ndo wanamapinduzi? waislam wana mfano, ni upi mfano wa wakristo.

Kuna thread ilianzishwa "ni rahisi kumtawala mwislamu kuliko mkristo" they are so cheap.
Who told you? lakini pia rudi kwa post ya yule anayewakebehi waislam ambaye haswa ndo mlengwa wa post yangu. hivi sio waislam waliopigania uhuru wa nchi hii tangu mkoloni mjerumani? halafu jamaa analeta kashfa za kijinga?Hivi Mtemi Mkwawa (aiyewapiga Wajerumani) alikuwa Muislam? Nilithani alikuwa akiabudu Mizimu...mwe...
very usefull post. japokuwa nipo agaist na chama cha majmbazi (ccm)Kwa kuwa hii kijani inawakera mimi naitumia kwa nini naipenda niachieni mwenyewe mi ni vejiteriani.
Hapa hakuna ugumu wowote ndugu yangu mkiamua kugawanyika mtagawanyika, mkiamua kuwa wamoja mtakuwa. Muhimu ni kila mmoja kujali hisia za mwingine. Kutendeana haki. kuacha kubaguana kwa kigezo chochote. kama ninastahiki usininyanyapae kwa ajili ya imani yangu, nipe ninachostahiki. kama sistahiki basi niambie ukweli usinipendelee na kumnyima anayestahiki.
mkuu matusi mengine yanakera hasa pale ukweli unapofichwa.Mi naamini yanayoitwa matusi, yanakuwa matusi pale tu unapoamin kwamba ni matusi.
Feedback, una matatizo sana ya akili...Mbona Papa anawatawala ama hili hulioni?Kuna thread ilianzishwa "ni rahisi kumtawala mwislamu kuliko mkristo" they are so cheap.
Who told you? lakini pia rudi kwa post ya yule anayewakebehi waislam ambaye haswa ndo mlengwa wa post yangu. hivi sio waislam waliopigania uhuru wa nchi hii tangu mkoloni mjerumani? halafu jamaa analeta kashfa za kijinga?