Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,303
Mkandara nisaidie kidogo, alosema mwanamke avae hijab ni mtume/mitume au Kur-an?
Kuvulia hijab inaweza kuwa si kudhalilisha uislam lkn ni kumdhalilisha aliyevuliwa, sawa na mwanamke mwengine kuvuliwa blouse au mwanamme kuvuliwa suruwali.
Ikiwa mtandio kwake ni vazi la kila siku basi amedhalilishwa kuvuliwa huko.
Jee vyama vya Kiislam vina haki na wajibu wa kumtetea? Bila ya shaka vina haki hiyo kwa vile aliyedhalilishwa ni Muislam na hiyo ndio kazi yao.
Vyama vya kutetea haki za wanawake pia vingetoa tamko nisingelishangazwa kwa vile wangelikuwa wanatetea haki ya mwanamke mwenzao