Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Status
Not open for further replies.
Hijabu hapo haipo tena,moja ni hii inayopeperuka hewani.Vile vile haipo kwa vile muislamu tena mke wa mtu anashikwashikwa na watu wahuni.

ukikosa busara katika maamuzi yako, hayo ndiyo malipo yake
 
Mwizi wa kura wanamtetea hata kama alikwenda amevaa hijab?!

nadhani hujui umuhimu wa hijab kwa m.mke wa kiislam .. sanasana akiwa ameivaa kwa hiyari yake... kubali mmekosea
 
Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho walichofanya chadema kwa mujibu wa uislam ni kama wamewadhalilisha waislam wote Duniani kwa hiyo amewataka viongozi wa CHADEMA kuwaomba radhi waislamu.

Naibu mufti akiwa mjini Tabora alisema Fatuma ana imani yake japo ni DC, heshimuni imani yake kwani waliomchagua wanajua kuwa imani yake inamtaka avae hijab alisema sheikh mohamed issa wa Answar Sunna.

CHANZO: Taarifa ya habari Radio Imaan
Ndiyo shida ya wenzetu, ukigusa tu suala linalohusiana na imani yao hata kama ni la kipuuzi basi ni shida tupu. Nguvu nyingi akili kidogo. Wezi wa kura, majambazi, malaya na wafanya uchafu wa ina yoyote vaeni hijab kwani watetezi wenu wapo. Chanzo cha habari chenyewe kinanuka udini tu.
 
andhani hujui umuhimu wa hijab kwa m.mke wa kiislam .. sanasana akiwa ameivaa kwa hiyari yake... kubali mmekosea
Mbona Mwigulu alimvua mke wa mtu hijabu yake gesti hatujawasikia? toeni unafiki wenu.
 
Ndiyo shida ya wenzetu, ukigusa tu suala linalohusiana na imani yao hata kama ni la kipuuzi basi ni shida tupu. Nguvu nyingi akili kidogo. Wezi wa kura, majambazi, malaya na wafanya uchafu wa ina yoyote vaeni hijab kwani watetezi wenu wapo. Chanzo cha habari chenyewe kinanuka udini tu.
Kuna thread ilianzishwa "ni rahisi kumtawala mwislamu kuliko mkristo" they are so cheap.
 
Kuna thread ilianzishwa "ni rahisi kumtawala mwislamu kuliko mkristo" they are so cheap.

That is it! I concur with that conclusion 100% It is very easy to mobilize them simply because most of them are suffering from "infiriority complex". This is just pyschological and not religious.
 
Kama ambavyo Chadema itapata malipo yake kwa ukosefu wa busara wa viongozi wake.

sio maana yangu hata kidogo, namaanisha malipo ya DC kwa ujinga wake wa kuvaaa koti la umma wakati chupi yake ni kijani tupu.
 
chadema waombe radhi tu. lkn bakwata hawa wanafiki, walikuwa kimya waislam wa mwembe chai walipodhalilishwa na ccm

kwa watanzania tulivyo, mwisho wa siku yote yatafunikwa tu na maisha yataendelea. hizi ni mbio za panya ardhini, mwisho wake ni kwenye malumalu/tiles
 
That is it! I concur with that conclusion 100% It is very easy to mobilize them simply because most of them are suffering from "infiriority complex". This is just pyschological and not religious.

Wenye superiority complex mbona mnahangaika kujitetea?

Christian are even cheaper waliambiwa JK ni chagau la Mungu wakampa 80%

How easy are they jusst corrupt the Padre you are done..
 
Mbegu hii ya udini ilipandwa na Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010, hivi sasa imeanza kusitawi na karibuni matunda yataonekana. Ole wake JK na genge lake, dhambi hii itawatafuna mpaka siku wanaingia kaburini
 
Viongozi wa mabaraza nafikiri walitoa tamko wakiwa kisaikolojia wako katika dunia nyingine lakini si yetu na si Tanzaniaje a hii. Kama ni wa kweli wa dhamira zao basi wameamua kupotosha ukweli ili kuleta chuki za kidini na kijamii.Mwenyezi Mungu aepushe maana uko mitaani sisi ni Watanzania na hatuulizani dini. Huyo DC alituhumiwa na waliomkamata. Na kila siku tunahubiriwa polisi jamii na ulinzi shirikishi. Sasa mtuhumiwa utamkamataje lazima mshike ili asikimbie. Lengo lilikuwa kumkamata na hijab kama aliivaa kwa sababu ya kuwa mwislamu mzuri hilo linahitaji mada yake.

Halafu Bakwata na Basuta rudisha akili yene Tanzania. Je, polisi ni watu wa kuaminiwa katika utendaji wao wa kila siku. Mali yako siku hizi ikiibwa ukaenda kutoa taarifa polisi unaambiwa na maaskari kwamba nenda umkamate mwizi wako umlete. CDM wamemkuta dc anafanya kilicho kinyume na sheria na taekuwaratibu wamemkamata na kumuhoji wengine mnaona nong'wa. Je angeakuwa amebakwa angesema. Na kwanini mabaraza ya dini mna react kwa kauli ya mtu anayeona mambo kwa urefu wa pua yake-Nape? Msiwape watu vichwa wakajiona wao wana busara kumbe pumba na ni maamuma.

Halafu Bakwata/Basuta muelewe kuna dada na mama zetu wa kiislamu wanafanyiwa vitendo vya aibu mno kuliko kukamatwa kwa dc. Angalia changu doas barabarani, mama ntilie wakikimbizwa na mgambo, watoto wanawekwa kambi/danguro nk. Haya ndio ya kukemea kwa nguvu zote ili mpate heshima yenu na busara lakini sio chuki ya CDM na ukiristo mkafikiri ndio mwisho wa matatizo
 
Kwa mtindo huo, hata suala la mabadiliko ya katiba litageuzwa kuwa la kidini! Itakuwa ni masikitiko makubwa na huzuni pale waislamu watakaporubuniwa na vibaka wa ccm kwa masilahi yao binafsi kwamba suala la mabadiliko ya katiba ni kwa ajili ya masilahi ya chadema! Huko ndiko tunakoelekea! Bado tuna safari ndefu lakini tutafika tu!
 
Waislam bana, eti kavuliwa hjab! Teh teh teh, mbona mahakamani sikuisikia hyo ikitajwa? Au cm ya mkononi ina HESHIMA kushinda hicho kitambaa? Me naona kuna hatari ya hizo LAANA wanazoitupia CDM zote zikawangukia huyo Shost.
 
Waacheni wailee ikomae wanasahau hii ndo inayoenda kuisambaratisha CCM 2015. Mungu ameamua kuwamaliza CCM wao bado hawajatambua hilo. Wanazidi kulikoroga wenyewe ikifika siku ya kulinywa kila mtu atataka kukwepa lakini lazima walinywe na kupumuzika kwa amani 2015.

Mungu ibariki Tanzania!
 
Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho walichofanya chadema kwa mujibu wa uislam ni kama wamewadhalilisha waislam wote Duniani kwa hiyo amewataka viongozi wa CHADEMA kuwaomba radhi waislamu.

Naibu mufti akiwa mjini Tabora alisema Fatuma ana imani yake japo ni DC, heshimuni imani yake kwani waliomchagua wanajua kuwa imani yake inamtaka avae hijab alisema sheikh mohamed issa wa Answar Sunna.

CHANZO: Taarifa ya habari Radio Imaan

Unaposema DC alikuwa na imani yake ulitaka kutuambia nini??Kumbuka rais wa Syria alitoa amri ya rai kupigwa risasi hawataki uongozi wake kipindi kizima cha mfungo hilo nyie hamkuliona au imani ya Asad sio kama ya waisalmu wengine na wenye imani.

Sioni tofauti kubwa ambayo Naibu mufti anayo ipigia kelele kati ya Asad(Rais wa syria) na huyu Fatma DC, huyu DC alikwenda mahali pasipo na alikuwa namalengo ya kikampeni sasa alipofumuana huko alipenda wamnyenyekeee kwa kuwa yeye ni DC ana imani fulani hakujua huko aliko kuwani kubaya je imani yake inamtuma hivyo? au anatafuta sympath ya Kidini kuepusha alichokuwa akikifanya,

Kwani sheria inasemaje yeye kama yeye alistahirikuwa maeneo hayo? Alafu wasitufanye sie wajinga kwani tunajua fika kuwa DC/RC ni makada wa CCM this time of Campaign we know them are the role modal to this sasa wanataka kutuambia nini hakuwa kwenye issue za kisiasa??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom