Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Status
Not open for further replies.
Hivi wale akina mama waliodhalilishwa na wengine kupigwa sana kwenye yale maandamano ya CHADEMA ya Arusha Waislamu walisemaje vile?
 
Bakwata na Basuta mmeliona la hijabu tu, mnasemaje kuhusu redio imaan ya morogoro na vipazia sauti vinavyokashifu wakristo kwa sauti za kupaza? Mnadhani ni nmyie tu ndo mmedhalilishwa? Yametokea na yanaendelea kutokea katika taasisi kubwa ya umma ya elimu ya juu mpya hapa nchini ya mwanachuo kupigwa na kuchomwachomwa vitu na wanachuo waliovaa hijabu hamkukemea ndo kusema nyie moyo wa aina gani ambao wenzenu wanahalali ya kukashifiwa tu?Kemeeni haya ya waumini wenu ama kemeeni mioyo yenu pia kama mnawatuma wafanye haya
Achana na redio zao zisizo na mshiko, sikiliza zile za wakristu usikie, wanawapongeza waislamu kwenye sherehe zao, no grudges yaani! hawa jamaa wamevaa mabomu kwenye viremba vyao, wasikushughu8lishe, their destiny is to die!
 
mkandara tunaomba utupatie mwongozo wa mavazi na hukumu yake katika uislamu katika Qur'an specifically kwa wanawake. nijuavyo mimi ni kuwa tunapaswa kufanya kile alichoamrisha Mwenyezi Mungu na siyo waarabu na wazungu wanafanyaje kama unavyotaka kutuaminisha. watu kutumia vibaya hijab siyo justification ya kukataa maamrisho ya Mungu katika kujisitiri. nakuhakikishia tukio kama lile angefanyiwa sr wa kilemba leo hii nchi ingekuwa haitawaliki na mashinikizo mengi yangetoka (kwa wenye hati miliki ya tz) ya kumtaka raisi ajiuzulu. kama wewe unaona religion is nothing waachie wenye dini yao wafanye walichoamrishwa na Mungu wao na siyo upotoshaji wa makusudi kabisa unaoufanya hapa.
 
Chadema ni adui mkubwa atakae igawa nchi yetu kwa Ukristo na Uislam! Mungu tuepushie mbali balaa hili la Chadema!
Umekosea! This thread is about jumuia mojawapo ya CCM, inaitwa bakwata! I wonder siku CDM tutakapoingia madarakani, sijui watateuliwa na nani!
 
Bakwata na shura ya maimamu jaribuni kutuonesha watanzania kwamba mnatumia kichwa katika kufikiri na kutoa maamuzi na matamko, pia nadhani muwe mnaangalia ni wakati upi mtoe tamko sio kukurupuka tu muda si mrefu tatasikia mnaandamana du hivi kwenye vikao vyenu huwa hakuna watu wenye akiri hata kidogo wakawashauri? mnakera khe !!!!!!!!!!!
 
Chadema ni adui mkubwa atakae igawa nchi yetu kwa Ukristo na Uislam! Mungu tuepushie mbali balaa hili la Chadema!
CDM ni adui wa mafisadi ambao wengi wamo CC Magamba, hapo inaeleweka!Na magamba ni rafiki wakuu wa uchafu na ufisadi!
 
Hivi, mwanamke kibaka akiwa amevaa hijabu na kupigwa NAKWATA watakuja kusema waliompiga waombe radhi ?? nauliza hivi kwasababu mama Kimario alichofanya ni kibayaza zaidi ya mwizi wa simu nk.


Swali la pili, je alivuliwa kweli au purukushani ilisababisha kilemba kitoke?? na kama ni hivyo je mwanamke mwenye hijabu asiguswe kuanzia leo?? hata akiua kwa kuhofia hijabu litaanguka??

Swali la tatu, hivi kweli kabisa bakwata (hao wengine huwa siwaelewi) hili ndilo la kufocus badala ya kuangalia jinsi machangudoa wanavyotumia hijab vibaya hasa mkoa wa Tanga na zanzibar???

IF WEARE REALLY SEROUS KUIMARISHA DINI, BASI BAKWATA WANGEANZA NA HAYO YA JAMII KABLA YA KUINGIA KWENYE SIASA, LAKINI KWASABABU HATA VIONGOZI WA DINI SIKU HIZI NI WANASIASA TU, BASI KWAO HILI PIA NI SAWA
 
Hivi kwanini hawajasema "walimshambulia na kumdhalilisha" kwa sababu ya kabila lake?

Mkuu ukimcheki yule mama naona kama wa kaskazini vile hivyo asinge fee kwenye spin zao, laiti angekuwa wa kutoka mitaa ya kati au kusini wangeitumia hiyo.

Cha ajabu hawa jamaa bwana, dada yao kavuliwa nguo na mweka hazina wa chama, Kimyaaa! kwa sababu aliyemvua nguo ana pesa: dada yao mwingine kaenda kuiba kakamatwa na hijabu (aka kitaamba cha kichwani) kimetoka wanataka kushika bango Du!
 
Kweli naamini zaidi kuwa uislamu ni dini ya kinafiki sana..................ilipotokea pemba watu kuuawa...waislamu waliilaani sn ccm.....ilipotokea mwembeyanga waislamu walilaani sana kwa kuwa huko kote ni waislamu na wala hawakusema kuwa hawaruhusiwi kuandamana.....ilipotokea pale arusha wakombozi wetu kuuawa km ngedere waislamu walikuwa wa kwanza kuisemea ccm na kuilaani chadema na kufurahia vifo vya raia wema.........kweli uislamu ni dini ya kinafiki sana
 
Hivi, mwanamke kibaka akiwa amevaa hijabu na kupigwa NAKWATA watakuja kusema waliompiga waombe radhi ?? nauliza hivi kwasababu mama Kimario alichofanya ni kibayaza zaidi ya mwizi wa simu nk.


Swali la pili, je alivuliwa kweli au purukushani ilisababisha kilemba kitoke?? na kama ni hivyo je mwanamke mwenye hijabu asiguswe kuanzia leo?? hata akiua kwa kuhofia hijabu litaanguka??

Swali la tatu, hivi kweli kabisa bakwata (hao wengine huwa siwaelewi) hili ndilo la kufocus badala ya kuangalia jinsi machangudoa wanavyotumia hijab vibaya hasa mkoa wa Tanga na zanzibar???

IF WEARE REALLY SEROUS KUIMARISHA DINI, BASI BAKWATA WANGEANZA NA HAYO YA JAMII KABLA YA KUINGIA KWENYE SIASA, LAKINI KWASABABU HATA VIONGOZI WA DINI SIKU HIZI NI WANASIASA TU, BASI KWAO HILI PIA NI SAWA


Nadhani tunashindwa kuelewa kuwa haki za msingi za mtu hazifutwi tu kwa sababu ana kosa jengine. Kibaka, Jambazi, Changudoa na mtu mwenye sifa zozote za uhalifu ana haki sawa ya kutimiziwa haki zake za msingi katika wakati wote kama alivyokuwa na haki raia mwema asie na doa la uhalifu. Katiba haisemi kuwa haki za msingi za raia zinafutika iwapo atashutumiwa/atakamatwa kwa kosa la uhalifu.
Haki hiyo ndio inalazimisha mhalifu kupatiwa wakili na serikali licha ya kuwa alikamatwa red handed akifanya uhalifu. Haki hiyo hiyo inamtaka jambazi aliyepigwa risasi baada ya kuua raia asiyekuwa na hatia, kupatiwa matibabu hospitali ili kuokoa maisha yake.

Vyama vya Kiislam vina haki ya kumtetea kwa vile ni Muislam mwenzao na Vyama vya wanawake vina haki ya kumtetea kwa vile ni mwanamke mwenzao, CCM ina haki ya kumtetea kwa vile ni CCM mwenzao.

Ikiwa Bakwata na wengineo hawatimizi wajibu wao kwenye mengine, bado hakuizuwii kutimiza wajibu wao kwenye hili.
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Nimesoma michango ya wana JF jana na leo kwenye hii kadhia sijaona hekima za Chadema kama zipo.
Wengine wanasema hatuombi radhi na wengine wanajitia ufundi wa kutaka kuwafafanulia waislamu maana ya hijabu ili lile tukio lionekane ni upuuzi.
Kwa kweli nawasikitikia Chadema kwani kupitia hii habari wamekwisha,wazungu wanasema they are cornered. Hawajui siasa ni bora wavunje chama watafute shughuli ya kufanya.Yaani mpaka hapa siku moja imekwenda ndio kwanza wanasikiliza maneno ya mashabiki wao.
Mpaka muda huu hawajapata mtu wa kuwatahadharisha juu ya hisia za waislamu na madhara yake huko mbele?.Hawajaona kwamba hapa habari imekuwa tofauti na kampeni za vyama?.Hawajaona kwamba Bakwata kwa hili hawana mzozo na wenzao wengine na si rahisi kuwaparaganya waislamu kupitia maneno ya mashabiki.
 
jamani msiwalaumu hawa wenzetu sio kosa lao!...walichelewa kidogo!...shule nayo..MMH?..waliuona umande SIYO ISHU, ndo maana hata wenzao waliokidogo kubali kubeba misalaba kwa kristo wakafanikiwa kuukanyaga umande wanawageuka..si wanawageuka kwa nia mbaya No! kwa nia ya kuwambia jamani Tulichelewas dunia inataka hivi...rejea kupigwa kibao kwa raisi mwinyi alipokuwa akiwatoa tongotongo

Waarabu wenyewe sasa wame elimika wanamkumbatia mzungu aliye ukanyaga umande miaka mingi! hata sasa Marekani akiipiga Iran Afghanistani watatuma majeshi kumsaidia marekani ..rejea kauli za mataifa ya kiislam kwa RIBYA. swali unadhani ni kwanini? ...wameshtuka! Pili umeckia kuna wanaojitoa mhanga siku hizi eti wakiifia Dini? ..mama wameshtuka wamegundua aliye uona umande miaka mingi na system yake ni mwelevu
GOD BLESS TANZANIA
 
Utaumiza sana kichwa kaka/dada,,,, huo ndio uislamu wenyewe yaani dini imejaa unafiki na uzandiki wa hali ya juu........kazi yao kuropoka , waislamu wanatumia makalio kufikiri


hivi, mwanamke kibaka akiwa amevaa hijabu na kupigwa nakwata watakuja kusema waliompiga waombe radhi ?? Nauliza hivi kwasababu mama kimario alichofanya ni kibayaza zaidi ya mwizi wa simu nk.


swali la pili, je alivuliwa kweli au purukushani ilisababisha kilemba kitoke?? Na kama ni hivyo je mwanamke mwenye hijabu asiguswe kuanzia leo?? Hata akiua kwa kuhofia hijabu litaanguka??

swali la tatu, hivi kweli kabisa bakwata (hao wengine huwa siwaelewi) hili ndilo la kufocus badala ya kuangalia jinsi machangudoa wanavyotumia hijab vibaya hasa mkoa wa tanga na zanzibar???

if weare really serous kuimarisha dini, basi bakwata wangeanza na hayo ya jamii kabla ya kuingia kwenye siasa, lakini kwasababu hata viongozi wa dini siku hizi ni wanasiasa tu, basi kwao hili pia ni sawa
 
Mimi nilijua tu ya kwamba CCM wamezungumzia Hijabu kwa maana maalum. Na nilijua kwa uhakika waislaam watakuja hapa na kupiga makelele kuhusiana na mwanamke kuvuliwa Hijab lakini bila weledi wa maudhui ya uvaaji wa Hijab. Sababu sii kuvuliwa Hijab kwa sababu hata unapokwenbda kupiga picha ya passport mwanamke hulazimika kuivua Hijab..

Mkuu Mkandara

Wanawake wa Kiislam wanapiga picha za passport pamoja na mitandio yao. Wanachotakiwa kufanya ni kurudisha nyuma tu ili uso wote uonekane (kama inavyotumika kwenye picha za Visa za Marekani, Uingereza, URUSSI, Japan, na kwengineko duniani)
 
Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho walichofanya chadema kwa mujibu wa uislam ni kama wamewadhalilisha waislam wote Duniani kwa hiyo amewataka viongozi wa CHADEMA kuwaomba radhi waislamu.

Naibu mufti akiwa mjini Tabora alisema Fatuma ana imani yake japo ni DC, heshimuni imani yake kwani waliomchagua wanajua kuwa imani yake inamtaka avae hijab alisema sheikh mohamed issa wa Answar Sunna.

CHANZO: Taarifa ya habari Radio Imaan

hivi tuchukulie mfano mahakama ya kadhi imepitishwa na kuanzishwa hapa Tanzania. then huyohuyo akafanya madudu ya kuwagafirisha, kwa taratibu zao wangemfanyaje mtu huyo?

kama mwizi anakatwa mkono, malaya anakatwa uueme wake na mwanamke kutupiwa mawe mpaka kufa, Je adhabu ya DC kwa kukiuka misingi ya democrasia ingekuwa nini?

watujuze tafadhali
 
Hivi kwanini hawajasema "walimshambulia na kumdhalilisha" kwa sababu ya kabila lake?
Mkuu hapo umenizindua. Hivi si tuliambiwa Chadema ni chama cha Wachaga? huyu Kimario inakuwaje anaiba shahada na kufanya njama ovu kwa niaba ya CCM wakati chama cha kabila lake ni kingine? Kumbe CCM kuna wachaga nako? Hivi na hao waliomkwida huyo mama hawakujua ni Mchaga?
 
Nimesoma michango ya wana JF jana na leo kwenye hii kadhia sijaona hekima za Chadema kama zipo.
Wengine wanasema hatuombi radhi na wengine wanajitia ufundi wa kutaka kuwafafanulia waislamu maana ya hijabu ili lile tukio lionekane ni upuuzi.
Kwa kweli nawasikitikia Chadema kwani kupitia hii habari wamekwisha,wazungu wanasema they are cornered. Hawajui siasa ni bora wavunje chama watafute shughuli ya kufanya.Yaani mpaka hapa siku moja imekwenda ndio kwanza wanasikiliza maneno ya mashabiki wao.
Mpaka muda huu hawajapata mtu wa kuwatahadharisha juu ya hisia za waislamu na madhara yake huko mbele?.Hawajaona kwamba hapa habari imekuwa tofauti na kampeni za vyama?.Hawajaona kwamba Bakwata kwa hili hawana mzozo na wenzao wengine na si rahisi kuwaparaganya waislamu kupitia maneno ya mashabiki.
CUF na CCM ndiyo wana jua siasa...
 
Mkuu Mkandara

Wanawake wa Kiislam wanapiga picha za passport pamoja na mitandio yao. Wanachotakiwa kufanya ni kurudisha nyuma tu ili uso wote uonekane (kama inavyotumika kwenye picha za Visa za Marekani, Uingereza, URUSSI, Japan, na kwengineko duniani)

swali langu ni kwamba, kwa mambo ya msingi, BAKWATA imekuwa ikipuuzwa na waislamu kwa kuwa haijaweza kusimamia vizuri maslahi yao, je waislamu ni kweli mko pamoja na BAKWATA au ni BAKWATA ya CCM kama siku zote mnavyosema?

kuvuliwa hijabu kwa mtu aliyekosea matakwa ya democrasia si bora na afadhali mtu aliyekamatwa wizi kukatwa mkono au kukatwa uume kwa mjibu wa dini ya kiislamu na kadhi yao?
 
Kwa wote mtaopata nafasi ya kusoma mawazo yangu,

Bakwata na Basuta wamekosea kwa kweli na hata kama wangekuwa na nia nzuri wangetakiwa watumie hekima. Mojawapo ya sifa kuu ya kuwa kiongozi ni kuwa na hekima na hasa unapo react kwa habari uliyoisikia kutoka upande mmoja. Viongozi wa dini wana jukumu kubwa la kuunganisha jamii lakini kwa muda fulani sasa wamekubali kutumika na wanasiasa kuigawa jamii. Kilichotekea kwa Bakwata na Basuta ni mkokotoo wa madhara ya kampeni za uchaguzi uliopita. Hii kutu haijawatoka viongozi wengi wa dini. Kwa nini viongozi wanatakiwa kutumia hekima hasa kwa kesi hii ya Igunga? Sababu zangu ni hizi zifuatazo:

1. Tukio la mkuu wa wilaya ni tukio la taharuki (chukulia kweli huyu mama alivuliwa hijabu/kilemba/kitambaa/mtandio). Sidhani kuwa watu walioenda pale walienda kwa madhumuni yaliyopangwa (contemplated) kwamba wanaenda kumvua kilemba mwanamke muislamu ili wamdharilishe.

2. Katika matukio ya rabsha/vurugu/hasira/kupambana (kutegemea sababu iliyowafanya wananchi wale waende kumkamata) kitu chochote kinaweza kutokea saa zingine hata kuumia au kupoteza maisha. Huwezi kuhitimisha kuwa wahusika walidhamiria kufanya hayo matokeo. Polisi wanaposhughulikia uhalifu mambo mengi hutokea kupoteza mali, majeruhi au hata vifo. Nivigumu sana kuwatuhumu moja kwa moja kwamba walienda kufanya kile kilichotokea.

3. Sasa hivi Igunga ni wakati wa uchaguzi na hali ya mambo ni tete. Vyama vyote vinavogombania vina wafuasi wa dini mbalimbali ikiwemo na dini yetu ya Uislamu. Makosa yanaweza kutendwa na tasisi, jamii, kikundi au mtu mmoja mmoja. Ndiyo maana hata mahakamani kwa kesi hii wamepelekwa watu kama mtu mmoja mmoja na siyo chama. Kama kweli itadhihirika pasipo shaka yoyote kwamba walitenda makosa hayo basi watahukumiwa kama mtu na siyo chama. Makosa yoyote hutendwa na watu wowote ndiyo maana magereza, polisi, mahakama hakuna dini.

4.Unapotoa tamko kwamba Bakwata na Basuta watawaambia waislamu wote wakiadhibu Chadema ni upotokaji mkubwa wa maadili ya dini. Kabla ya kutoa tamko kama hilo ilitakiwa hekima tu ya kuwaita viongozi wa chama hicho na kuongea nao kupata undani upande wao badala ya kutoa tamko lenye mrengo wa kisiasa na kupendelea chama kingine. Viongozi wa dini wanatakiwa kutenda haki na si kuchukua ushabiki wa kimakundi. Kiimani na kiroho kuwaadhibu chadema (nadhani wana maana waislamu tu tusikipigie kura) kwa sababu ambayo haina uthibisho wa kiroho kuna tija gani kwetu waislamu?

5. Mwenyezi Mungu Subhanahu Wataala ana vipomo vikali kuliko sie wanadamu. Na Yeye huona tofauti kuliko sisi wanadamu na kwa hivyo kwa imani yetu Mungu anajua kwa bayana Yule mama alikuwa anafanya nini pale hata kama atakuja na hadithi ya kuficha. Masheikh wetu hawana undani wa siri ya kile alichokuwa akikitenda pale wengine tunatia shaka tu lakina kwa hakika Maulana anajua nini mama yule alikuwa akikifanya pale. Nina mashaka sana na hukumu ya Maimamu wetu inaweza isiwe hukuma ya Mungu. Na kama hawana uhakika kwa nini basi kujiingiza matatizoni na kuwatia doa ambalo lingeweza kuepukwa?

6. Kama kweli Bakwata na Basuta wana nia isiyo ya kisiasa na ya kutowagawa wananchi kufuata dini zao, kwa nini tamko lao lisingewasihi watu wote bila kujali itikadi zao wakiadhibu Chadema? Je nikisema kwamba wanatumiwa na na chama fulani kukisafishia njia nitakuwa nakosea? Ndugu Nape Nnauye kwenye tamko lake juzi aliweka mbele sana habari ya hijabu waislamu wenye hekima tukajua nini kinachotafutwa hapa na CCM wanafurahi sana Bakwata na Basuta wameichukua hiyo agenda.

7. Viongozi wa Bakwata na Basuta, kama Waislamu wote tutakubali maelekezo yenu tusikipigie kura Chadema na kila mmoja wetu akatii, je tuna hakika nani atashinda kwenye uchaguzi ule? Je, waumini wa dini zingine wakiamua vinginevyo itakuwaje? Je Taswira kwa taifa zima itakuwaje siku za usoni?

Mwisho nawasihi tena viongozi wetu wa dini tuwe na hekima kushughulikia mambo tete kwenye jamii badala ya kusukumwa na jazba za makundi fulani fulani. Tutailinda jamii, na tutaheshimika na viongozi wa kisiasa pia. Viongozi wa siasa nao wawe makini kutowaingiza viongozi wa dini kwenye mirengo ya kisiasa. Tishio walilolitoa Bakwata na Basuta si jambo la kuchekelea hata kidogo, linalenga kubomoa jamii na kuimarisha/kupanua ufa wa udini ambao kwa sasa unaendelea kwenda kina zaidi. Tumwombe Mungu alinusuru taifa hili.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Libya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom