Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Status
Not open for further replies.
Hivi ikiwa mtu amevaa hijab na anauza bangi au madawa ya kulevya asisachiwe?

BAKWATA walitaka mkuu wa wilaya asikamatwe kwa kuwa amevaa hijab na hivyo hijab ni takatifu sana haipaswi kuguswa ikiwa imevaliwa hata kama aliyeivaa ametenda jambo baya?

Hii habari ni ya uwongo nashangaa watu wanaingia mkenge kuchangia kwa jazba! Udini utatumaliza

hivi uisilam ni jina na mavazi au ni vitendo?majina mangapi ya kiislam yamehuska kwenye uhalifu tanzania na bakwata hawajaomba radhi kuonyesha kwamba hawaungi mkono?bakwata mnatumiwa kisiasa. mia

Bakwata hawajaomba radhi kwa alichofanya Rajab Madanga. Mia

Too much sasa.

Yule bibi hakukamatiwa msikitini, bali eneo la uhalifu.

Ni sawa na kibaka aibe akiwa amevaa kanzu halafu katika kumwadhibu, kanzu ikichanika wao Bakwata waje juu.

Inafamika visiwa vya Unguja na Pemba vina Idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu, hivyo basi hata waliofariki katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander (RIP) wengi ni Waislamu, mbona hawa wazushi hawakutoa tamko kuilaumu Serikali kwa uzembe??!!

I am a pure Muslim, but siipendi Bakwata kama ilivyo siipendi CCM.

Ka simu kangu ka mchina kamegoma kugonga like. Aiseee hii nimeipenda mkuu

Bornvilla,

..haya ni masuala ya kisiasa, na ni vizuri kuacha kuingiza dini humo.

..Waislamu wasiingie kwenye mtego wa kumtetea huyu mama ambaye bila shaka alikuwa akishiriki ktk uhalifu wa kisiasa.

..wako wenye kustahili utetezi wa Waislamu lakini siyo huyu mama.

Mkuu hatetewi mama ila suala la kumvua hijab/mtandio ambao unaambatana na imani ya dini yake ndilo suala hapa. Hao masheikh hawajaingilia siasa wamesema kuhusu vazi. Mambo haya huanza taratibu na kisha huwa makubwa na mara nyingine hupigwa fwatwa. Kumbukeni yaliyompata Mrema.

Mm ni muislamu kwanza na-declare interest lakini siungi mkono kitendo cha hawa wanaojiona viongozi wa dini yetu kuwa wanatoa matamko ya kipuuuzi km haya, Chadema ni ya waislam na wakristo i.e watanzania. Dini hairuhusu muislam kufanya vikao vya uhalifu (wizi) kisa eti kavaa hijabu. Ina maana leo sheikh mkuu akimbaka mtoto wa miaka tisa akiwa kavaa kanzu na kibaraghashia tutaacha kumshika? DC kwanza hajavuliwa hijabu hawa viongozi wetu wanatumiwa na wanasiasa mafisadi kiasi cha kufanya cc waumini wao kuwadharau.

wewe sio muislamu, waislamu wote ni sawa na mwili kinapouma kidole mwili mzima unauma, sasa wewe amevuliwa hijabu muislamu mwenzako unasema huungi mkono, kama wewe ni muislam ni mnafiki au huijui dini yako, cdm itabaki hapa hapa duniani dini unakwenda nayo kwa mungu wako,

Mimi nilijua tu ya kwamba CCM wamezungumzia Hijabu kwa maana maalum. Na nilijua kwa uhakika waislaam watakuja hapa na kupiga makelele kuhusiana na mwanamke kuvuliwa Hijab lakini bila weledi wa maudhui ya uvaaji wa Hijab. Sababu sii kuvuliwa Hijab kwa sababu hata unapokwenbda kupiga picha ya passport mwanamke hulazimika kuivua Hijab..

Tukio hilo halikutoa kwa kwa sababu ya imani, sera au ilani ya chama kupinga uvaaji wa Hijabu. Hii inadhihirisha wazi CCM wanatafuta siasa za majitaka na hao masheikh wa BAKWATA na BASUTA ni maamuma wanaotumiwa na CCM pasipo kufikiria kwanza..Kinachokatazwa kisheria ni kukataza wananwake wasivae Hijabu, na Chadema hawana tatizo na Hijab wala haki ya wananwake kuvaa hijab isipokuwa hijab ilimtoka kama vile viatu vilivyotoka...na mbona msizungumzie viatu vyake!

Kweli we Ni VC YANI CCM wanafanya mbinu ZA udini mbona Airport tunawakagua ile si hijabu ni mtandio

Siri zinatoka sasa, yani nyie mlisha tayarisha vijana wa kichaga kupiga waislamu? Halafu mkiambiwa mnataka kuleta vita Tanzania mnabisha.

Inaonekana hata nchi yako huijui, kawaulize wenzio Chuo Cha Polisi kiko wapi.

Hebu nieleze DC alikuwa nafanya nini?, nilichosikia ni kuwa agenda za kikao cha DC zilionekana kuwa ni ( i stand to be corrected): ulinzi na usalama- wageni wanaoingia kijijini watambuliwe, kulinda miapaka ya shule- kupanda minyaa kuzunguka mipaka ya shule. Wewe agenda zako ni zipi?, mnahalalisha ufedhuri wa CDM kwa kusingizia kuwa DC alikuwa nafanya kikao cha kuvuruga uchaguzi?!- CDM kwa hili imekula kwenu.
Mungu ni 'haki' mungu ni 'usawa' na mungu ni 'kweli tupu'. Hivyo nilitegemea BAKWATA kama chombo kinachosimamia maadili ya 'mungu' kupitia dini ya kiislama wangemtaka DC Mama Fatma Kimario kusema 'kweli yote' kuhusu mkutano aliokuwa anafanya mahali/muda kinyume na sheria za vyama vya siasa. Pia BAKWATA wangefanya vema kujiridhisha kuwa huyo DC hakuna anafanya jambo lolote ambalo directly or indirectly lingenyakua haki ya raia yoyote ya kupata kiongozi wanayemtaka katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hayo ndiyo nilitarajia toka kwa BAKWATA kama kweli wanasimamia maadili mema. Mavazi ni jambo la mbali sana ukilinganisha na HAKI ya mtu kupata kiongozi bora.

Pia ni vizuri BAKWATA watathmini tena upya kwamba wanasimamia nini hasa? Kujiingiza kwenye siasa uchwara ni kukivunjia heshma hiki chombo cha waislam. Kwa wameshamhoji huyu DC na kujua alifuata nini pale? Na kulikuwa na ulazima gani kwa yeye (DC) kufanya mkutano hapo wakati kuna mkutano wa chama kingine? Huu ni ustarabu? au hii inakubalika kwa BAKWATA kwamba mtu anaweza kuvuruga shughuli halali yenye manufaa kwa wengi kwa sababu binafsi?

Mimi nilijua tu ya kwamba CCM wamezungumzia Hijabu kwa maana maalum. Na nilijua kwa uhakika waislaam watakuja hapa na kupiga makelele kuhusiana na mwanamke kuvuliwa Hijab lakini bila weledi wa maudhui ya uvaaji wa Hijab. Sababu sii kuvuliwa Hijab kwa sababu hata unapokwenbda kupiga picha ya passport mwanamke hulazimika kuivua Hijab..
Tukio hilo halikutoa kwa kwa sababu ya imani, sera au ilani ya chama kupinga uvaaji wa Hijabu. Hii inadhihirisha wazi CCM wanatafuta siasa za majitaka na hao masheikh wa BAKWATA na BASUTA ni maamuma wanaotumiwa na CCM pasipo kufikiria kwanza..Kinachokatazwa kisheria ni kukataza wananwake wasivae Hijabu, na Chadema hawana tatizo na Hijab wala haki ya wananwake kuvaa hijab isipokuwa hijab ilimtoka kama vile viatu vilivyotoka...na mbona msizungumzie viatu vyake!
Mkuu wangu Mkandara, hii habari ni Gossips tu, aina Source yoyote, ebu angalia Basuta ni nini?

ukiona kenge ameacha kutoa ulimi nje ujue anahitaji dume!!
Nduka, ukombozi upo karibu!!

Kama Igunga vyama vipo zaidi ya 5 na CCm inang'ang'ana na CHADEMA tu, basi ujue dubu kaliwa korodani!!

akina Ritz hao!
Ha! Ha! Ha! Mzimu wa Ritz unazidi kukutafuna usiku kucha unaweweseka.
Ritz ni Pagan hata siku moja uwezi kumkuta kwenye mada za dini hata jukwaa la Dini siwezi kuchangia mpaka nakufa! Nyie ndio mnaangaika angalia sasa wale wote Pro-CDM kwenye hili la Dini wote wameamia Magamba. Ha! Ha! Ha!

kweli waislam mbumbu wa kupambanua mambo!! ccm imewateka na ilani yao ya uchaguzi kuwa wataanzisha mahakama ya kathi wakaipigia kura sasa muislam mwenzao kawapiga chini wanahamia kuichukia CDM mwe! bora mungu akupe akili za Darasani akunyime za kula na kuwaza ubwabwa!!

Acha kashfa,kama unaidic Bakwata fanya hvyo na acha kuwa conclusive kwa waislamu wote

Udini mbaya sana ndio maana mimi nimeamua kuwa Pagan.
Ebu angalia sasa Magwanda wote saizi wameamia Magamba! Ha! Ha! Ha!

We ritz, acha kudai kuwa jukwaa la dini hauingii, mimi nahisi unatumiaga ID ya F.F

Mbunge wa CAF alikuwa Mwanamke alidhalilishwa kweli na Vyombo vya Usalama
1. Alipekuliwa na kuchekiwa na Polisi Mwanamme isivyopaswa na aliomba Mwanamke ampekue
2. Aliwekwa Rumande na Wanaume hata kubadili nguo ilikuwa shida
3. Alipigwa na kulazwa jela na wanaume kwa Wiki Moja

Kama ni upendo kwanini hawakukemea hali hiyo? Ina Maana hakudhalilishwa utu wake? au kwao yeye hafau sababu ni Mkristo?
Au ndio hiyo double standard ambayo nchi yetu chini ya CCM inataka kuibadilisha?

Kama hivyo vyombo vya kidini vanaanza kuangalia Mtu kwa udini ni dhambi hata kwa Mwenyezi Mungu...

Kuchumia tumbo mbaya sana. Inapofikia kuchanganya dini na tumbo ni hatari sana kuliko kuchanganya dini na siasa.

Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho walichofanya chadema kwa mujibu wa uislam ni kama wamewadhalilisha waislam wote Duniani kwa hiyo amewataka viongozi wa chadema kuwaomba radhi waislamu alisema Naibu mufti akiwa mjini Tabora, Fatuma ana imani yake japo ni DC, heshimuni imani yake kwani waliomchagua wanajua kuwa imani yake inamtaka avae hijab alisema sheikh mohamed issa wa Answar Sunna. taarifa ya habari Radio Imani.

Let us be scientific. Kama kuna reasobable suspicion kuwa uhalifu unataka kufanyika/zinapangwa mbinu za kufanya uhalifu na wahusika ni Askofu, sheikh, etc wamevaa mavazi ya dini , huwezi kuacha kumkamata kama sheria inavyotaka eti kwa sababu kavaa kofia ya uaskofu au kanzu etc. After all katika hali ya kumkamata mtuhumiwa, lazima purukushani zitokee, and common sense tells that a cloth just laid on the head without fixing support is likely and very likely to fall out. Tufikiri mbali zaidi tusilete udini maana kinachojitokeza zaidi hapa ni issue ya dini.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom