Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

Status
Not open for further replies.
Mi hata yule dem huwa namuingiza ghetto akiwa kavaa ki-ninja ili majiran wasimtambue, si unajua tena nyumba za kupanga, hijab ni vaz tu na si uislam, ni km jina tu.

Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho walichofanya chadema kwa mujibu wa uislam ni kama wamewadhalilisha waislam wote Duniani kwa hiyo amewataka viongozi wa chadema kuwaomba radhi waislamu alisema Naibu mufti akiwa mjini Tabora, Fatuma ana imani yake japo ni DC, heshimuni imani yake kwani waliomchagua wanajua kuwa imani yake inamtaka avae hijab alisema sheikh mohamed issa wa Answar Sunna. taarifa ya habari Radio Imani.

Kachaguliwa na kina nani?

haya mambo ndio yanawafanya muonekane cheap. Mnakemea kuvuliwa 'hijabu' halafu mnanyamaza juu ya upuuzi aliofanya. Maana asingefanya upuuzi ule hata haya mengine yasingekuwapo. Au aliyoyafanya ni sawa?

..Mashehe wangemkemea huyu mama kwa kuidhalilisha hijab.

..mama amekwenda kufanya uhalifu huku amevalia hijab,vazi lenye heshima na hadhi ktk imani ya Kiislamu.

Bornvilla,

..haya ni masuala ya kisiasa, na ni vizuri kuacha kuingiza dini humo.

..Waislamu wasiingie kwenye mtego wa kumtetea huyu mama ambaye bila shaka alikuwa akishiriki ktk uhalifu wa kisiasa.

..wako wenye kustahili utetezi wa Waislamu lakini siyo huyu mama.

Mkuu! Naona wengi wanajichanganya,mimi sitetei mambo DC aliyofanya! Ieleweke hivyo,na tafadhali isomeni post vizuri. Kumbukeni ni lazima kuiheshimu imani ya mtu! Kama wangetumia busara yote yangefika huku? Mimi nasisitiza CDM watuombe radhi! La sivyo kitakachofuatia watakijutia na kuomba radhi wakati huo watakuwa wamechelewa! Jamani mbona mambo yapo wazi? Tatizo kubwa la JF ni ushabiki. Ma great thinker wako wapi? Bandubandu humaliza gogo na kidogokidogo hujaza kibaba,hizi ni lawama CDM wanajikusanyia. Sijasahau kadhia ya uchaguzi mwaka jana kwa CDM kuwadharau Waislam kwa kumchukua mgombea mwenza darasa la saba,hii ni dharau ya hali ya juu! Na dharau nyinginezo,haya hayajengi na hayawezi kufanywa na watu makini.

Niambie tofauti kati ya Kanzu na Hijab, muislamu?
Hebu tuonyeshe hijabu iko wapi hapo au huo mtandio mweupe ndio mnaita hijabu.

attachment.php

mbona mashehe wanavua wake zao nguo! wake zao pia ni wanawake. logic iko wapi hapo?

Nani apate pa kuanzia au unasema wao wapate pa kuanzia wamenyimwa mahakama ya kadhi sasa wanataka kumalizia hasira zao kwa CDM walie na muislam mwenzao aliyewanyima siyo CDM.

kweli waislam mbumbu wa kupambanua mambo!! ccm imewateka na ilani yao ya uchaguzi kuwa wataanzisha mahakama ya kathi wakaipigia kura sasa muislam mwenzao kawapiga chini wanahamia kuichukia CDM mwe! bora mungu akupe akili za Darasani akunyime za kula na kuwaza ubwabwa!!

Hao bakwata hawana jipya hawana elimu yoyote,ni vilaza wameishia darasani la pili.

Ni lini iliwekwa masharti ya kuvaa hivyo vitambaa kichwani? Mke wa Rais Kikwete siku hizi hauoni nywele zake kabisaa it has been months hata kukimbia anafunga kitambaa halafu kofia

Ni kwa nini? wakati wa utawala wa Mwinyi sikuona hivyo vitambaa kichwani and our Women were respected and cared for why now???

Does it hold anything?

Mkuu! Naona wengi wanajichanganya,mimi sitetei mambo DC aliyofanya! Ieleweke hivyo,na tafadhali isomeni post vizuri. Kumbukeni ni lazima kuiheshimu imani ya mtu! Kama wangetumia busara yote yangefika huku? Mimi nasisitiza CDM watuombe radhi! La sivyo kitakachofuatia watakijutia na kuomba radhi wakati huo watakuwa wamechelewa! Jamani mbona mambo yapo wazi? Tatizo kubwa la JF ni ushabiki. Ma great thinker wako wapi? Bandubandu humaliza gogo na kidogokidogo hujaza kibaba,hizi ni lawama CDM wanajikusanyia. Sijasahau kadhia ya uchaguzi mwaka jana kwa CDM kuwadharau Waislam kwa kumchukua mgombea mwenza darasa la saba,hii ni dharau ya hali ya juu! Na dharau nyinginezo,haya hayajengi na hayawezi kufanywa na watu makini.

who r u? to hell!!!!!!

ccm kwa udini! si kazi kina FF walipinga bakwata ilivyokataa iddi walisema bakwata ni chombo cha kiserikali na sio cha dini! haya,ngoja tuone.

Mkuu! Naona wengi wanajichanganya,mimi sitetei mambo DC aliyofanya! Ieleweke hivyo,na tafadhali isomeni post vizuri. Kumbukeni ni lazima kuiheshimu imani ya mtu! Kama wangetumia busara yote yangefika huku? Mimi nasisitiza CDM watuombe radhi! La sivyo kitakachofuatia watakijutia na kuomba radhi wakati huo watakuwa wamechelewa! Jamani mbona mambo yapo wazi? Tatizo kubwa la JF ni ushabiki. Ma great thinker wako wapi? Bandubandu humaliza gogo na kidogokidogo hujaza kibaba,hizi ni lawama CDM wanajikusanyia. Sijasahau kadhia ya uchaguzi mwaka jana kwa CDM kuwadharau Waislam kwa kumchukua mgombea mwenza darasa la saba,hii ni dharau ya hali ya juu! Na dharau nyinginezo,haya hayajengi na hayawezi kufanywa na watu makini.
Chadema hawana muda wa kuhangaika na waislam ubwabwa, kwanza lawana unazotoa hazina kichwa wala miguu wewe unaona mgombea kuwa darasa la saba ni dharau kwa waislam? hivi waislam mmesoma sana? Waambie Bakwata wahangaike kutafuta michango ya kujenga shule, hospital na mahakama ya kadhi labda ndiyo ya maana zaidi kwa wakati huu kuliko kupoteza muda kuhangaikia kuombwa radhi kwa hijabu ya mhalifu.

udini kitu kibaya sana hasa unapotumiwa kutetea maovu,
kama kungekuwa na sharia hapa nchi hawa bakwata wasingema haya
njaa ya watanzania ni mtaji pekee wa ccm hasa sasa

Mwenye jibu la hili swali tafadhali na atufafanulie. BAKWATA walitoa statement (tamko) gani kuhusiana na yale mauaji ya Arusha 5 January? Kwa ufahamu wangu mmojawapo wa wahanga hao wa Arusha alikuwa mtanzania anayefuata dini ya kiislam. Sasa, kama BAKWATA hawakutoa statement ina maana kwao wanathamini zaidi vilemba kuliko uhai wa mwanadamu? Hivi mtu akiwaita hawa BAKWATA wazushi na 'mashidi' wa dhambi atakuwa amekosea?

Too much sasa.
Yule bibi hakukamatiwa msikitini, bali eneo la uhalifu.
Ni sawa na kibaka aibe akiwa amevaa kanzu halafu katika kumwadhibu, kanzu ikichanika wao Bakwata waje juu.
Inafamika visiwa vya Unguja na Pemba vina Idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu, hivyo basi hata waliofariki katika ajali ya meli ya Mv Spice Islander (RIP) wengi ni Waislamu, mbona hawa wazushi hawakutoa tamko kuilaumu Serikali kwa uzembe??!!
I am a pure Muslim, but siipendi Bakwata kama ilivyo siipendi CCM.

Kumbe!ndo maana wanakomalia mahakama ya kadh wandugu!washndw,hlo la kisiasa haliwahusu.

Mie siwalaumu BAKWATA kwani ndio waliochobakiza..wasipodandia maswala kama hayo watafanya kazi gani?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom