Nimeogopa tu kutaja majina lakini njooni hapa posta ingia mgahawa flani ivi utaskia Aisha, Amina, Fauzia, Abdallah......mwajumaHuu udini wa ndugu zetu unaharibu Taifa letu
Hili jambo ni kweli hata kwa wale wanaotaka kufanya field kwenye meli zake kama wewe sio muislam inakuka kwako, ukimuona mkristo ni kutoka kwa mtu wa serikali.
Inabidi tume ya ajira iangalie hili jamboNimeogopa tu kutaja majina lakini njooni hapa posta ingia mgahawa flani ivi utaskia Aisha, Amina, Fauzia, Abdallah......mwajuma
Mpaka nikawa najiuliza hivi hawaoni ata haya!
Sijaenda tena kula pale!
Hii hatari SasaKweli kabisa, bila kibandiko na hijab imekula kwako, alafu pia lafudhi iwe ya kipemba flani
Wewe ulifukuzwa sababu ulidanganya jinaMimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.
Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza
Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
acha majungu, mbona tumesoma shule za kikristo na tulifuata masharti yote ikiwemo kuhudhuria kanisani hata kujiunga na vikundi vya kwaya kanisani ili tu lengo litimie,nawe kuwa muislamu au fuga mzuzu ili upate ajira.Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Yapo mashirika kibao ya waislam ila hayana ubaguzi wa kiimani. Mimi binafsi ni mpinga ubaguzi wa aina yoyote ile. Yeye si wa kwanza kuleta ndege na hivyo si lazima kupanda zake bro. Ukiona shirika linalalamikiwa mpaka na nchi ujue kunashida hapo.vipi na ndege alizoagiza utasusia kupanda? utajiumiza braza [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama iki kiwanda cha tazara kina ad msikiti ndani pia bado wafanyakazi wanabaguana wenyewe kwa wenyewe ndani mslam wa kitanzania ana treat wa tofauti na wenye asili ya ki asia
Watoto wa bi mkubwa naona vyuma vimekaza. Wanatamani mpaka kazi za migahawani za wapata sifuri za watoto wa bi mdogo Hahaaaaa πππ mpaka mjomba Magu Akitoka madarakani mtafuga mizuzu si mchezo.Sio yeye tu nimegundua migahawa mingi hapa mjini kama boss ni muislam basi wafanyakazi wooooote wanakuwa waislam
Aiseee umeongea ukweli aseee daaahhh kuna udini sana pale.
Kuna mgahawa nimeingia leo asubuhi eti hawauzi soseji kisa wateja wao wa kiislam wanalalamika.....PSHHHHHWatoto wa bi mkubwa naona vyuma vimekaza. Wanatamani mpaka kazi za migahawani za wapata sifuri za watoto wa bi mdogo Hahaaaaa πππ mpaka mjomba Magu Akitoka madarakani mtafuga mizuzu si mchezo.
Ndio huo ubaguzi wa kidini tunaouzungumzia.Kwa sisi waislamu, kuna thwawabu kumpa kipaumbele kimaendeleo Muislamu mwezio, kuliko asiye na imani ya uislamu
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Waislamu ndo zenu hizo...mnaoubaguzi sana....yaani nchi hii 90% wangekuwa waislamu...tayari Sharia ingefanya kazi....hiyo ya kazi ipo sana tu...na inajulikana....Kwa sisi waislamu, kuna thwawabu kumpa kipaumbele kimaendeleo Muislamu mwezio, kuliko asiye na imani ya uislamu
Badala ya kujikita kwenye hoja unamshambulia mtoa hoja? Yaani wewe ubaguzi unaona ni sawa tu kwa sababu ni kampuni binafsi! Ebu tazama jambo kwa fikra pana kwa mustakabali na umoja wa kitaifa ndipo utapata kuona msingi wa hoja ya mleta uziHii tabia ya ulalamishi Wakristo mmeanza lini? Focus kwenye mambo makubwa. Achana na mambo madogo madogo. Kampuni yake ana uhuru wa kuajiri mtu yeyote ambaye yeye anamwona ana vigezo. Ili mtadia havunji sheria.
Hii tabia ya ulalamishi na nyie wakristo mmeanza lini? Mimi naamini kila mtu ana haki ya kuajiri watu anaotaka kwa vigezo vyake.... Vijana mjikite kwenye mambo ya msingi ya kujenga nchi. Hiyo ni Kampuni binafsi ana uhuru kuajiri watu anaowataka kwa kufuata vigezo vyake. Binafsi nachukia sana tabia ya ulalamishi.
alexelias
Jambo baya halihalalishwi na jambo baya jingineKaribu asilimia 96 ya wafanyakazi wa serikali ni wakristo,je tusemeje hapo ?