Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,662
Huwa inawauma sana mkiona msikiti uko eneo la kazini. Usipokuwapo kisha waislam wakawa wanaenda mbali kusali hamchelewi kusema wanapoteza masaa kwenye kusali.Kama iki kiwanda cha tazara kina ad msikiti ndani pia bado wafanyakazi wanabaguana wenyewe kwa wenyewe ndani mslam wa kitanzania ana treat wa tofauti na wenye asili ya ki asia