Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
MADA YAKO NI YA KIPUUZI SANA. NGOJA NIKUPE SOMO KWANZA NATAKA UJUE TANZANIA WAISLAM NI 85% KUBALI USIKUBALI KWA KUTAZAMA KWAKO ANGALIA WALEVI WENGI UTAKUTA WAISLAM WAFUNGWA WENGI WAISLAM MAANA YAKE WAISLAM TANZANIA NI WENGI . NA UKIBISHA ANGALIA MWEZI WA RAMADHAN WAISLAM WANAPOKUWA KATIKA MWEZI HUO WA RAMADHANI UNAONAJE NCHI NZIMA KIMYAAA SIO MABAA SIO DISCO SIO MAHOTEL YOTE KIMYA MALAYA WOTE WANA HESHIMA UHALIFU UNAPUNGUA KABISAAA MPAKA MAKAFIRI WENGINE WANASEMA WAISLAM UKIAMUA MIEZI YOTE WAIFANYE KAMA RAMADHANI SIJUI ITAKUWAJE. NDUGU YANGU WAISLAM WAKILALAMIKA HAWAAJIRIWI SERIKALINI NYINYI MNASEMA WAISLAM HAWAKUSOMA. SASA HAO HAWAKOSOMA WAMEAJIRIWA NA AZAM MADEREVA WA MALORI VIWANDANI BADO MNALALAMIKA KWA HIYO WAAJIRIWE NA NANI NA NGWAJIMA
 
Ofisi ya Heleni Bi Kijo Simba LHRC wafanyakazi wote wakristo,mameneja na wakurugenzi wote Tanesco wakristo

wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
 
Mfumo kristo uliwaacha nyuma sana waislamu, sasa Bakhresa ni muumini mzuri wa hiyo dini wacha awasaidie ndugu zake na dini yake inamuelekeza kufanya hivyo.

Huyu Firdaus inamuhusu na vile vibira.
na mtazid kubaki nyuma hivo hivyo maana elimu kwenu ilipita kushoto
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Asante Mungu chijui dini wala kabila langu..mi nadandia popote penye masrahi ya kunifanya nikamsalimu mende baadar
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Yani wwe ndo umeongea, watu wa north na kanda ya ziwa na mbeya, wanaangalia sana dini na kabila la mtu japo si wote. Nchi hii isingekua sisi watu wa mikoa ya kati na pwani kidogo ubaguzi ungetrendi sana ila sisi ndo kwa upumbavu wetu wa kutekwa na utanu na ujamaa sijui huko nyuma ndo utanzanka uko mbele kuliko udinj na ukabila
 
Siri ya mtungi aijuye....!

Yule mzungu aliitwa kafiri na waulize hao uliowataja hapo juu kuhusu hizo tuhuma ni kweli au la!
Umekosa kazi kwa kukosa sifa, mkulu mbona kabineti imejaa kanda ziwa husemi
 
Ndo maana mo kamkaba koon saiz mafursana yake hayana ishu madukan ni mwendo wa mo tu.
 
Serikali ya magufuli inaudini,ofisi zote za umma 90% ya watumoshi ni wakiristo,mabalozi,makatibu wakiu,mawaziri, Nk.
 
Hilo jee si kibwazaidi? Maana afadhali Azam ni kampuni binafsi lakini nchi YETU wote.na yz waislamu ni zaidi ya 60% .
Lakini ukija vyuoni,kazini,serikalini wanabaki 20% Inakuwaje kama simoakati wa udini?
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Acha uongo huo
 
Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Mbona mnapenda kukuza mambo msioyajua? Katika haya makampuni binafsi hususani ya wahindi na waarabu wanaajiri wafanyakazi wapya kwa kudhaminiwa na na wale wenyeji ili mfanyakazi mgeni akiharibu wanambana mdhamini wake ambaye wako naye hapohapo kazini. Kwa mfano MO wame centralize mambo ya recruiting yanafanywa na ofisi ya HR pale morogoro Rd na local recruit manager sio muislam anaitwa Kaynat hata maofisa wake pale wapo wasio waislam wengi tu. La mwisho waislam ni ndugu kwa hio ni jumbo la mhimu kusaidiana wao kwa wao kwanza.
 
Hujue hapa bhana ukisema watu wanajiona wao mungu kawapendelea lakin hawa jamaa ni wabaguz hyo bakharesa kwa sababu anajulikana we Waite sehemu waambie atanfulie mchungaji kuomba yeye awe wa meisho kama CD za midaharo hutozisikia
 
HILI LIKO WAZI, NA UKIONA MKRISTO KAWEKWA HAPO UJUE WAMEMKOSA MWENYE SIFA UPANDE WA PILI


Yaleyale ya Bw. Dau kuigeuza taasis ya umma kuwa group la dini
 
HILI LIKO WAZI, NA UKIONA MKRISTO KAWEKWA HAPO UJUE WAMEMKOSA MWENYE SIFA UPANDE WA PILI


Yaleyale ya Bw. Dau kuigeuza taasis ya umma kuwa group la dini
Lakini kwanini mnalazimisha kufanya kazi bakhresa, nendeni Coca-Cola, IPP, Star Media au hata Kisena group.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom