Kasome Sheria za ajira,mwambie akupe list ya majina ya staff wake jibu utalipata.Muislam ndugu yake ni muislam.He bu tuwekee hicho kifungu kuthibitisha hoja yako. Pia tuambie ni lini na wapi yeye Bakhressa alisema hatoaniri asiye Muislamu?
Kasome Sheria za ajira,mwambie akupe list ya majina ya staff wake jibu utalipata.Muislam ndugu yake ni muislam.He bu tuwekee hicho kifungu kuthibitisha hoja yako. Pia tuambie ni lini na wapi yeye Bakhressa alisema hatoaniri asiye Muislamu?
Kwa hiyo wakristo wakiwa wengi wameshinda kwa vigezo ,wakislam wakiwa wengi wana udini,Mfano NSSF, si ndio eeh.., swala hapa ni dini kuwa kigezo, ukiona hivyo serikalini basi tambua hao wameshinda kwa vigezo vya ueledi na si dini
Mkuu Ni 98%Karibu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.
Regardless, udini ni uovu, hata wewe kama unabagua watu katika ajiravkwa kigezo cha udini nyumbani kwako, hata kama ni house girl, acha mara mojaJiangalie wewe kwa level yako. Msaidizi wa nyumbani kwako unamuajiri vipi? Mara nyingi ni ndugu au mtu wa kwenu au mnasali naye. Ndicho anachofanya Bakhressa kwa kuwa yeye anaamini watu wa imani yake ndio waaminifu kwake. Hawatomdhuru.
Ajira gani unazungumzia?Jamani muacheni naye awabebe wa upande huo! Wameachwa nyuma sana kwenye ajira.
Usimbishie ni kweli hata pale ICD ni hivyo hvyo kuna mpaka ana majina mawili pale ili kuweka mambo sawa.mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Regardless, udini ni uovu, hata wewe kama unabagua watu katika ajiravkwa kigezo cha udini nyumbani kwako, hata kama ni house girl, acha mara moja
Msaada kati ya mwandishi na huyu nan mwehu..?Wehu! Iyo mambo ilikuwa kipind cha mababu zetu.
Unamaanisha waislam au waarabu koko (former slave traders)?Ni sawa wameachwa nyuma lakini kwanini asilimia kubwa wenye mpunga ni Waislamu?
Kasome Sheria za ajira,mwambie akupe list ya majina ya staff wake jibu utalipata.Muislam ndugu yake ni muislam.
Ila pale azam wamezidi asee wakigundua we Ni mkiristo wanakuzarau sanaKama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Tatizo wakristo wanaiona hii nchi kama ya kwao peke yao tu na waislamu hawahusiki,lakini wajue wanatengenza kitu mbaya sana sanaMfano NSSF, si ndio eeh.., swala hapa ni dini kuwa kigezo, ukiona hivyo serikalini basi tambua hao wameshinda kwa vigezo vya ueledi na si dini
Elewa maana neno 'kama', (IF)Ni wapi na lini nimekwambia mimi nabagua katika ajira?
Elewa maana neno 'kama', (IF)
Wauza mnyama hua wanalalamika wateja hakunaNyi wala nguruwe mna tabu sana,, kama bakhresa anazingua simuende kuomba ajira kwa Mengi au Mohmed enterprise, au kwa FIDA HUSSEN, au kwa manji, ,au la GSM, mna matajiri kibao ambao ni wakristo mnasemaga ,so kaombeni kazi huko kama VIP
nimeuliza swali tu hawa wakristo walioajiriwa azam media kwao ilikuaje?Usimbishie ni kweli hata pale ICD ni hivyo hvyo kuna mpaka ana majina mawili pale ili kuweka mambo sawa.
wivu.com wivu.com wivu.com. wakristo tuache wivuuuuuuuWauza mnyama hua wanalalamika wateja hakuna
kile kipindi chenu cha kushinda na njaa
na ndoa mwendokasi
Kwa haraka pale azam TV wakristo sizan hata kama 10% wanafika ukilinganisha na waislammbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.