Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,020
Mshana, we kama siyo mchawi basi mganga
Na ww uliyoandika haya, uko interested sababu usingekuwa interested usingesoma hizi nyuz zote mpaka huku, hata usingefungua heading kuangalia kilichopo ndaniNa hilo ndio lengo kuu la kuleta hizo mada za kukutisha wewe ili akuteke kiakili kirahisi zaidi,hapo kisha kukamata!! Pole sana ila Ukikua utajua kisha utaishia kujicheka tu.
Nipe muda nitarejea
Kwa mfano ukitaka kufanya kitu flan...kuna hal au kama kitu kinakuambia either ufanye au usifanye...hicho n nn mshana!?
HahahahaaaAngalia usije kuta unaekuja kumuona huko chini ya bahari ni mimi.......naomba uje na umbo la konokono tafadhali........
Hujakana hivyo niliyasema ndo yapo hivyoLakini similiki tunguli hata moja halafu mambo f'lani Kama kawa
Nilifikiri umekuja kumjibia kumbe ni yale yale tu! Haya endelea kuimbisha watu taarabu kwa wanaokuamini na mambo ya kufikirika.
Nimeelewa kumbe siyo tatizo lako, tatizo ni malezi na mazingira uliyokulia. Jamani, msameheni bure huyuJaribu kujichunguza huenda wewe ndio una matatizo ila tunashindwa kukwambia tu,kabla ya kumpoint mtu jichunguze wewe kwanza kama upo clean in 100% Acha kubwabwaja ili uonekane tu na wewe unajua kuandika.
Ungeonekana wa maana kama ungekuwa unapinga kwa hoja, na siyo kupinga kwa kutunisha misuli as if ni ugomviUpi
upingaji wako umekaa kiugomvi sana na inaonekana hukuanza leo.yaani unamfuatilia sana.kiuelewa ni kitu kama ugomvi,pana tatizo
Well saidDizaini me ckuelewii hata dhumuni lako maana unaowapinga na unaotaka kuwakomboa wote hawakuungi mkono lakini bado umekomaa tu adi unatukana wakati watu walikua wanachangia mada mdogo mdogo na kistaharabu mno.palikua panaleta raha sna.ila mzee umetia shuzi kali unataka kuleta machfuko.pliz dnt be too much bro.just leave us alone.tunaelewn vizuri tu tena sna.kila mtu atayashika na kuyaacha kwa uwelew wake.huna haja ya kutuonyesha nani mjinga na mwerevu.humu wote tu watu wazima.
Kwa akili ya darasa la pili tu utajua kuwa baharini kuna vitu vingi coz 75% ya Dunia ni Maji,sasa hapo napo lazima atokee mtu akwambie Baharini kuna vitu vingi vya ajabu kuliko nchi kavu?! Watu mmeshikwa pabaya kweli na kuaminishwa Ushirikina!! Mungu hapendi "SHIRKI"
mkuu hii ya kwanguUngeonekana wa maana kama ungekuwa unapinga kwa hoja, na siyo kupinga kwa kutunisha misuli as if ni ugomvi
Hapo umenifungua macho,inawezekana vichaa wengi wana uwezo huoHutawaona hao tuu utaona na vingine vingi hutakuwa wewe tena na unaweza kuonekana chizi kwakuwa unaona wengine wasivyoviona
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mambo hayaendi hivyo kwa fikra za kibinadamu, na sikushauri kwakuwa kwanza hutakuwa wewe tena na siwezi kukuelekeza huko ...kwa hili KENZY niwie radhi ila milango yao hii hapa View attachment 320290View attachment 320291 waendao huko si binadamu tena na huendi kwa mwili wa nyama kwahiyo achana kabisa na hii habari
Mambo mengi yapo duniani lakini ili kufanikisha utafiti ningeomba ufatilie kwa kina na kuwaona hao watu wanaojua haya mambo kwa kina zaidi.
Ningependa kusikia siku moja umekutana na wachawi na kuwafanyia interview halafu ulete mrejesho naona tutajua mengi zaidi.
Ukihitaji msaidizi I will pump the money
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mambo mengi yapo duniani lakini ili kufanikisha utafiti ningeomba ufatilie kwa kina na kuwaona hao watu wanaojua haya mambo kwa kina zaidi.
Ningependa kusikia siku moja umekutana na wachawi na kuwafanyia interview halafu ulete mrejesho naona tutajua mengi zaidi.
Ukihitaji msaidizi I will pump the money
Upo Uganda nini?Bado sijarejea nipate kwa +256788597559