Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

hivi mshana hizi habari za poseidon,Zeus ni za kweli?
084947c9ef15cf8206c91acdf99cb8e7.jpg
fc6a9db47ebed0e4dda4e0dc3a3e63b0.jpg
poisedon
ced1e3ea4641dfa275f2a6d610311464.gif
 
Baba yule mtu alikuwa hatari, nilikisoma siku nyingi hicho kitabu.
Lakini sehemu ambayo mpaka leo siwezi kuisahau kwenye hicho kitabu, ni pale alipoilinda ngazi kuu(sijui ndio hiyo unaisema).
Mzuvendi alitembeza shoka kuilinda ngazi kuu huku adui mmoja baada ya mwingine wakidondoka na shoka kila lilipopiga lilipiga pigo takatifu.
Mwishowe adui walisimama kumshangaa kuwa alikuwa mtu wa aina gani.
Kala-Mzuvendi, kaka ile mashine ilikuwa hatari.
Pigo moja, pigo lenye nguvu, pigo takatifu.
Sijui Kama kile kitabu bado kipo kwenye maduka ya vitabu.
Nimeipenda hyo simulizi, naomba kujua jina la kitabu na mwandishi wake pia.
 
Back
Top Bottom