Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

M

Bona faiza anapinga kishikaji tu lakini mshikaji anatafuta wa kumuunga mkono kabisa.na kupanik anapanic.wengine wanasema uchawi hakuna lakini wanatuaminisha kwamba likud anaujua kuliko fulani.tunatakiwa kupinga lakini sio kibifubifu.
Wewe umeshakuwa brain washed na huyo Mungu mtu wako,so unajitahidi kum cover bila hata kujitafakari unachokiongea!!
 
IMG_20151101_100737.jpg
 
Umechelewa sana kutuma hiyo quote! Umesha ropoka utumbo hapa kisha ukaenda ku quote pumba kwenye Post zangu,tena zingine zina zaidi ya 2 years ndio una comment leo! Tena huko nikakupotezea kwa kukudharau tu wala sikukujibu! Acha kutapatapa wewe Kiumbe.
Dizaini me ckuelewii hata dhumuni lako maana unaowapinga na unaotaka kuwakomboa wote hawakuungi mkono lakini bado umekomaa tu adi unatukana wakati watu walikua wanachangia mada mdogo mdogo na kistaharabu mno.palikua panaleta raha sna.ila mzee umetia shuzi kali unataka kuleta machfuko.pliz dnt be too much bro.just leave us alone.tunaelewn vizuri tu tena sna.kila mtu atayashika na kuyaacha kwa uwelew wake.huna haja ya kutuonyesha nani mjinga na mwerevu.humu wote tu watu wazima.
 
Hivi huyo unaemtetea hapa huoni matusi na lugha chafu anazotumia? Au wewe unaangalia upande mmoja tu? Huyo jamaa yako kanitukania mpaka mama yangu! Ukimuuliza atajifanya kasahau,mwambie abadilike,ukianzisha mada maana yake unataka ijadiliwe ama sivyo usianzishe mada,ukikashifu watu usifikiri nao hawajui kukashifu! Ukiheshimu watu utaheshimika tu.
 
Dizaini me ckuelewii hata dhumuni lako maana unaowapinga na unaotaka kuwakomboa wote hawakuungi mkono lakini bado umekomaa tu adi unatukana wakati watu walikua wanachangia mada mdogo mdogo na kistaharabu mno.palikua panaleta raha sna.ila mzee umetia shuzi kali unataka kuleta machfuko.pliz dnt be too much bro.just leave us alone.tunaelewn vizuri tu tena sna.kila mtu atayashika na kuyaacha kwa uwelew wake.huna haja ya kutuonyesha nani mjinga na mwerevu.humu wote tu watu wazima.
Dah!! Umeongea kistaarabu sana mkuu, Kama mtu wa kuelewa naamini kutakuwa hakuna tena malumbano.
 
Nungwi kuna mkondo unaofanana na wa Bermuda hizo ni njia za kuelekea kuzimu kwenye ufalme wa giza

Mkuu,siku ukiwa upo gado,tutupie taarifa za Bermuda,nimesikia juu juu tu kuwa chochote kinachokatiza hapo iwe meli au ndege lazima kipotee mazima na hakitaonekana kamwe,ingia chimbo utupe huu ubuyu mkuu ili hata kaka yangu GENTAMYCINE akapate cha kuwasimulia wazanaki wenzake
 
Wewe umeshakuwa brain washed na huyo Mungu mtu wako,so unajitahidi kum cover bila hata kujitafakari unachokiongea!!
Ni bora mungu mtu aonekaye kuliko mungu wa kufikirika ambaye ameumba taifa moja tu tukufu.israel
 
M

Bona faiza anapinga kishikaji tu lakini mshikaji anatafuta wa kumuunga mkono kabisa.na kupanik anapanic.wengine wanasema uchawi hakuna lakini wanatuaminisha kwamba likud anaujua kuliko fulani.tunatakiwa kupinga lakini sio kibifubifu.
Ukiona MTU anapinga uchawi kuna mambo matatu...aidha ni mtoto bado ananyonya hajakutana na kurogwa...au yeye ni mchawi anakasirika..mambo yao yanawekwa wazi hapa au...Tayari amesharogwa sema hajajua
 
Kwani Mshana,
Majini yote yanaishi baharini?
Vipi kwenye ziwa, mito, mapango, miti, vyooni, n.k.
 
Back
Top Bottom