Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Mmmmh! Mkuu mshana jr kuna uhusiano gani kati ya mfupa wa nguruwe na wachawi! Je ni kweli ukilala na huo mfupa wachawi hawakutembelei ? Then kazi za wachawi hufanywa usiku tu?vip mchana ? Loh!
 
Mmmmh! Mkuu mshana jr kuna uhusiano gani kati ya mfupa wa nguruwe na wachawi! Je ni kweli ukilala na huo mfupa wachawi hawakutembelei ? Then kazi za wachawi hufanywa usiku tu?vip mchana ? Loh!
Wachawi huroga muda wote labda ni kwakuwa tu mchana tuko busy sana ndio maana ni kama hatuwaweki akilini kama usiku
Kuhusu mfupa kuna mahali jichawi kajibu vema sana nitafuta kisha takutag
 
Huyu jamaa msanii tu, na wengi mumetekwa na vijistori vyake.
daaaah kuna majukwaa mengi sana humu ndani mkuu, hulazimishwi kuingia wala ukiingia hulazimishi kubaki humo humo, hebu fanya kuama jukwaa kama unaona tunajuzana mambo usioyataka.
Nenda kwnye yale madudu yenu ya MCC na stori za majipu jipu. au nenda kule kwnye maDNA ya tiffah. hapa hupawezi.
 
Jibu murua kabisa
 
Kaka mada hizi ni moto mno.Ukiwa mfuatiliaji wa mambo hapa Duniani,kuna mambo utayafahamu hata bila kuingia huko.Lakini kaka Mshana,nakushauri kwa knowledge uliyonayo,andika kitabu.Hakika kitasomwa mno.
 
Wanaoanguka sababu ni kukosea masharti au kupita sehemu nzito
aiseee naomba kuhuliza.ivi ukilala uchi wa mnyama alafu mchawi akaja kwako usiku anaweza kukubaka au kukulawiti?
?au kukuchezea chezea tu???
 
Mshana vipi ile ndege ilopotea inahusiana na nguvu za Giza manake mpaka leo hawajaiona
 
Mshana vipi ile ndege ilopotea inahusiana na nguvu za Giza manake mpaka leo hawajaiona
Kuna assumptions nyingi sana kwenye upotevu wa ile ndege ishu ya uchawi ikiwa mojawapo
 
Back
Top Bottom