20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
ngoja nitaki atatch hapa....
ngoja nitaki atatch hapa....
Wapi hukoo?Ulipotelea wapi mdau? Kuna mahali nimekutumia mwaliko mara mbili sijakuona
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuwa makini....wakikimezesha kilicho dhaifu utaanguka.......jitahidi kupiga ramli kuelekea kwangu Ili mlinganishe nguvu......
[emoji23] Ila sio mnyama wala fimbo
Kwenye lipi? Kwakuwa mambo ya kiroho si lazima yawe ya kichawi lakini ya kichawi mengi hudili na rohonilishawahi kulijibu hili siku za nyuma kwenye nyuzi nyingine pengine hukuona
Ni kwamba niliishi kusoma na kupractice mambo ya kiroho kwa miaka isiyopungua 20.
Tafsiri sahihi ni ipi mr mshana ni mambo ya kiroho au kichawi?
Usaliti si neno sahihi na ni dhana finyu"]Niko huru sasa na sina nira wala shirika wala viapo na maagano ya haya mambo..ndio maana naweza kuandika kwa uwazi
Ulimua tuu kuwa huru au na wewe ni msaliti?
Usicheke tuambie wewe unayapata au unayajuaje! Kuna maada kule umeanzisha ya watoto nzuri sana inaonekana unajua matatizo yote yayowakumba watoto sasa huku tena we ndo kacha mmmh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo kitu si mchezo kuna mzee wangu mmoja alikuwa akifanya kazi penye boat miaka hiyo ulikuwa ukipiga nae story unaweza usilale usiku kuna vitu vingine mtu akikwambia unaweza sema kamba.Kuna hii moja ya kuwa kuna majoka makubwa huwa yapo majini sasa kuna waqt hupazwa(yaani hunyanyuliwa juu na kupotea mawinguni)na anasema mkiwa hapo ufukweni mnasikia kitu kama minyororo inavuta kitu kizito kisha panakuwa na kawa wingu zito.
Je unaweza kulizungumzia hili?
Hahahahah ndio we ni kiboko unajua hiz mambo
OK bas em nijuze kwann amefilisika????
Na mimi nilitaka kumwuliza swali hilo hilo ulipigaje picha bila mwili wa kawaida na kupata hizo picha naona kama kuna rocket iko speed.we umepataje kuyajua yote haya..?
Usicheke tuambie wewe unayapata au unayajuaje! Kuna maada kule umeanzisha ya watoto nzuri sana inaonekana unajua matatizo yote yayowakumba watoto sasa huku tena we ndo kacha mmmh?
Binadamu huyo huyo mmoja anaweza kuwa na majina na vyeo tofauti lakini je hivi vitu vyaweza kumbadilisha na kuwa kitu tofauti na vile mwenyewe alivyo katika uhalisia wake?Na mimi nilitaka kumwuliza swali hilo hilo ulipigaje picha bila mwili wa kawaida na kupata hizo picha naona kama kuna rocket iko speed.