Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

sasa me nataka wanipeleke mwezini na kunirudisha ntawapataje..?
Mambo hayaendi hivyo kwa fikra za kibinadamu, na sikushauri kwakuwa kwanza hutakuwa wewe tena na siwezi kukuelekeza huko ...kwa hili KENZY niwie radhi ila milango yao hii hapa
1454222206063.jpg
1454222210199.jpg
waendao huko si binadamu tena na huendi kwa mwili wa nyama kwahiyo achana kabisa na hii habari
 
Hizi story za kutunga mshana Jr,nafurahi kusoma kwa sababu unachangamsha genge tu hapa,ila hakuna ukweli wowote.
Ooh vizuri sana kwamba
-maji sio robotatu ya dunia
-mwili wa binadamu robotatu sio maji
-kwamba wachawi hawatumii ungo na fisi kama means za usafiri
-kwamba waganga hawaagizi samaki kwenye shughuli zao za kitabibu
-kwamba hakuna viumbe viitwavyo majini na makazi yake ni baharini
Endelea kufurahia genge kwa story za kutunga sitegemei kila mtu akubaliane nami lakini yule atakayepingana nami basi aje na facts na sio blah blah
 
Mambo mengi yapo duniani lakini ili kufanikisha utafiti ningeomba ufatilie kwa kina na kuwaona hao watu wanaojua haya mambo kwa kina zaidi.
Ningependa kusikia siku moja umekutana na wachawi na kuwafanyia interview halafu ulete mrejesho naona tutajua mengi zaidi.

Ukihitaji msaidizi I will pump the money
 
KENZY nilishawahi kulijibu hili siku za nyuma kwenye nyuzi nyingine pengine hukuona
Ni kwamba niliishi kusoma na kupractice mambo ya kiroho kwa miaka isiyopungua 20.
Katika kupractice mambo ya kiroho ulishawahi kuihisi roho yako..?
kama ulshawi kuihisi hebu nambie na mm unafanyajefanyaje kuihisi roho..?
 
Unaposoma habari za maajabu ya bahari kuna mambo mengi mno ya kutisha ambayo hayajulikani na wengi na hayana tafsiri kamili juu ya uhalisia wake na malengo yake
Kisa kilitokea UK(ukerewe)wamefika katikati ya ziwa bimkubwa mmoja anawaambia jamani nimefika watu wa kachanganyikiwa ikabidi washushe nanga na kuanza kushusha mzigo wake tuweke wapi?anawaambia tupeni tu hapa mzigo ulipoisha jamaa wakaondoka zao.Haya mambo kama hadithi but yanatokea kwenye ulimwengu huu.
 
Mambo mengi yapo duniani lakini ili kufanikisha utafiti ningeomba ufatilie kwa kina na kuwaona hao watu wanaojua haya mambo kwa kina zaidi.
Ningependa kusikia siku moja umekutana na wachawi na kuwafanyia interview halafu ulete mrejesho naona tutajua mengi zaidi.

Ukihitaji msaidizi I will pump the money
Hakuna mchawi halisi atakayekubali mdahalo wa kibinadamu kwakuwa kuna miiko taratibu masharti na viapo vya kazi yake
 
Ooh vizuri sana kwamba
-maji sio robotatu ya dunia
-mwili wa binadamu robotatu sio maji
-kwamba wachawi hawatumii ungo na fisi kama means za usafiri
-kwamba waganga hawaagizi samaki kwenye shughuli zao za kitabibu
-kwamba hakuna viumbe viitwavyo majini na makazi yake ni baharini
Endelea kufurahia genge kwa story za kutunga sitegemei kila mtu akubaliane nami lakini yule atakayepingana nami basi aje na facts na sio blah blah
Kuwa maji ni robotatu ya mwili na dunia ni fact Tena probable kabisa,ila the rest ni Vitu theoretical mno,huwezi prove Hata wewe napenda sana thread zako ila
 
Back
Top Bottom