Hospitali ni makao ya majini na wachawi

Hospitali ni makao ya majini na wachawi

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
976
Reaction score
2,346
Tafiti za kitabibu zikihusisha jicho la tatu zinasema hakuna sehemu ambayo wanakaa majini wengi na wachawi wengi kama kwenye vituo vya afya (Hospital).

Sehemu yoyote ambayo uhifadhiwa maiti basi sehemu hiyo ina wachawi wengi na majini wabaya na wakorofi sana. Lakini pia sehemu wanapofia watu huwa kuna athari ya vivuli vya watu ambavyo majini na wachawi huvitumia.

Mchawi hakuna kitu anakithamini na kukihitaji kama maiti kwasababu maiti mbele ya mchawi ina thamani kubwa kuliko dhahabu. Mwili wa mtu aliyekufa una viungo vingi ambavyo wachawi wanavihitaji.

Kwahiyo hospital nyingi kubwa duniani zina mambo mengi na kuna makundi ya wachawi wanapishana milangoni. Hata vifo vya wagonjwa wengine huwa hawafi kweli bali hutumika kama viumbe wasio na fahamu za hakika kuendesha mambo yao.
 
Kama kuna mtu kaongea jambo la maana na la ukweli ni huyo mbuzi bless on. Majan yana maana sana ila mmeachia mbuzi.

Nenda mda huu hos ukiwa mzma na uzma wako uwaambie nauma ebola kama hujadungwa qxoap ufe.

Unapeleka mtu ajifungue mara ya pili wanampasua anakufa ku nakuletewa ripoti ya kwamba tusingeacha wote wafe kumbe wamemtoa mke wako mafiga yote. (Sijavuta anythng).

Hos mim najua ni mbili tu. Konyagi na kibwenye cha wife ama zimalaya. Nimegundua kukosa usingz ni ugonjwa na ukienda hos watakwambia piriton ndogo na kubwa zote zinafanya kazi moja. Mleta mada am with you 260% maana 100% siku hizi haifanyi kazi.
 
Tafiti za kitabibu zikihusisha jicho la tatu zinasema hakuna sehemu ambayo wanakaa majini wengi na wachawi wengi kama kwenye vituo vya afya (Hospital).

Sehemu yoyote ambayo uhifadhiwa maiti basi sehemu hiyo ina wachawi wengi na majini wabaya na wakorofi sana. Lakini pia sehemu wanapofia watu huwa kuna athari ya vivuli vya watu ambavyo majini na wachawi huvitumia.

Mchawi hakuna kitu anakithamini na kukihitaji kama maiti kwasababu maiti mbele ya mchawi ina thamani kubwa kuliko dhahabu. Mwili wa mtu aliyekufa una viungo vingi ambavyo wachawi wanavihitaji.

Kwahiyo hospital nyingi kubwa duniani zina mambo mengi na kuna makundi ya wachawi wanapishana milangoni. Hata vifo vya wagonjwa wengine huwa hawafi kweli bali hutumika kama viumbe wasio na fahamu za hakika kuendesha mambo yao.

Kwanini wezi wa nyeti hawakufika hospital yoyote ?
 
Do Jinns really exist?

Jinns are explicitly mentioned in Islamic theology. According to the Quran, they are intelligent beings created from smokeless fire, who—like humans—possess free will and are subject to divine judgment. Belief in the unseen, including angels and jinns, is a core tenet for many Muslims

In many Middle Eastern, North African, and East African societies, jinns are considered part of daily life and are frequently used to explain unexplained phenomena, misfortunes, or sudden behavioral and mental health changes.

Science views jinns as part of mythology and folklore, classifying stories about them as projections of the human imagination, cultural traditions, or unexplainable environmental and psychological occurrences. Many reported jinn interactions are evaluated by medical professionals as neurological or psychological issues, such as sleep paralysis or schizophrenia.
 
Back
Top Bottom